Ujio mwema na kwa HESHIMA zote, Kama lafudhi ya kiume itakuwepo kwa pande zote mbili basi ntaendela, Ila pakiwepo matusi basi ntastaafu!! (maana sote tuna ulimi pata huu.... washiriki wote walijue hilo)
Kuanzia masharika ya ardhi hii hadi Magharibi Wanaadamu wote tumeumbiwa kulitumia na kusambaa ndani yake!!
hAPA duniani Nchi za IRAQ na SYRIA ndo zilizopendelewa na Muumba wa kauni hii kwa kwapa CHIMBUKO na UZAWA wa dini kongwe..... Kawapendelea waarabu kwa kuwa LUGHA mama ambao hadi huku kwetu iliweza zaa kiswahili (hilo halina upingifu)
RasiliMali na Mtaji wa SYRIA na IRAQI hadi kufikia mda huu na wakati wa leo ilikuwa KUJITEGEMEA na KUJITOSHELEZA kiuchumi ndani ya nchi zao na KIULINZI ndani mwao...(Uliza vijana wenu waliyosoma na kuishi huko miaka ya 1970,80,90~2010 watawaambia) hadi hii leo wa SYIRIA na MaIraqi wanatumia MASHINA ,Magari,Mitmo ya 1940s kwani wanao uwezo wa kutengeneza vipuri (spares) na kuendeleza techno hizo bila kuhutaji misaada au biashara na Nchi za Magharibi.... Zaidi ni kuwa hawakutegemea uchumi wao kwa kuumia Dollari za kimarekani wala Euro za Ulaya!!
Hiyo pia ni moja ya sababu Nchi za Magharibi kuanzisha zengwe na FITINA juu ya IRAQ na SYRIA na mnyonge wao LIBYA...
Sasa Limenuka mzigo wa wakimbizi waubebe wa Magharibi!!! ulichokitaka wamekipata.....!!
Tupo tunaendelea kuona matokeo ....!!