Unafiki wa Waarabu wadhihirika duniani

Unafiki wa Waarabu wadhihirika duniani

Status
Not open for further replies.
Uarabu sio uislam. watu wengi wana tabia ya kunasibisha uarabu na uislam. Kumbuka kuna biblia zimeandikwa kwa lugha za kiarabu. Sio kweli kwamba wote wanaokimbilia kule ni waislam. Ndio maana nchi nyingine wanasema tutawapokea waarabu wasio waislam.

Unaiogopa Haki kwa kukumbatia batili? Muarabu ni muarabu tu na mswahili ni mswahili tu.
 
mbona unatetea sana waarab kwan na wewe n mmoja wao?au ndo mambo ya udini maana haichelew kusikia islam na arab
Mkuu 1701... Wee unafikiri mimi naficha asili yangu ..? !! YEWS, naam kwa kila ufakhari na majivuno na kwa SAUTI ya JUU na mbele ya umma na halaiki nakiri kuwa mimi na MWARAABU khaswa na nimezaliwa na wazizi wa kiarabu na kwenye uhai ntakuwa mwaarabu na ktk mauti naishia Uarabu.!! (umeona na kusikia hiyo) !! Hivyo nakukaribisha/nawakaribisha kwa suali lolote mulipendalo ulizeni bila staha!!

Mfamaji mkuu acha dharau na kebehi, ulimwengu wa sasa nani siyo mtumwa ?? ( tunatozwa kodi usiku na mchana ) tunapandishiwa gharama za kila aina ktika maisha.... tunawekewa vikwazo ktk uhuru wa kujieleza,nk,nk !! Sasa FYI, mswahili ndo alokufundisha kuzungmza lugha na kukutambulisha kuishi mbagala, baada ya wewe kutokea ndani ya mapango na mashimo ya Sewage!!! umeona sasa kilichokufika?!!
 
Last edited by a moderator:
hawa wazungu wasipo kuwa makini miaka 50 ijayo europe itakuwa nusu na robo ni muslm
 
Hukuwaona watusi na wahutu walio uana kwa msaada wa Kanisa ! ?
Hukuiona Kenya yenye wakimbizi wa ndani, ambao mpaka leo wanasota !?
mnafiki wewe!
 
Uarabu sio uislam. watu wengi wana tabia ya kunasibisha uarabu na uislam. Kumbuka kuna biblia zimeandikwa kwa lugha za kiarabu. Sio kweli kwamba wote wanaokimbilia kule ni waislam. Ndio maana nchi nyingine wanasema tutawapokea waarabu wasio waislam.

In all reality, waarabu wasio waislamu ni asilumia ngapi ya waarabu wote?
 
German kusiko na waislamu as a dominant religion.

Hujajibu swali kwa nini Waarabu hawakimbilii Saudi Arabia na Qatar kwa waarabu waislamu wenzao wanakimbilia Germany kwa wazungu wakristo.

Hujajibu swali hili.

Unamchagulia mkimbizi pa kukimbilia!?
 
Mtoa mada unakua mkali watu wakieleza point, nilichogundua umeandaa majibu yako kwa hiyo yeyote atakaeenda tofauti na ww unampinga.
Halafu umeleta mada wakati huijui vizuri bara Arab. Kwa mfano unauliza umoja wao wa UAE. Sio kila nchi ipo UAE ni taifa kama ilivyo Tanzania. Rudi shule kwanza.

Suala la kukimbilia Ulaya halina sababu maalum, mimi naweza sema hivyo. Hakuna nchi inayotenga sehemu ya Wakimbizi. Na wakishakuja huwezi kuwafukuza. Jordan inayo wakimbizi wengi tu wa Syria na Uturuki pia. Wachache sana huenda ulaya na huwez kuwalazimisha sehemu ya kwenda.

Fitina za wamagharibi kila taifa la kiarabu wanaziogopa. Nani ajitokeze kutoa msaada wa hadharani?

Waache waende kokote tu, hata chura wanapenda maji ila siyo yamoto.
 
Hata hujaweza kuelewa ninachoandika.

Muda wangu kuweza kusoma hiyo article, inabidi wewe unayenipa hiyo article unionyeshe japo kwa muhtasari kwamba hiyo article itajibu swali langu.

Swali langu linauliza, kwa nini waislamu wanakimbilia Germany kusiko waislamu na hawakimbilii Saudi Arabia na Qatar kuliko na waislamu wenzao?

Sasa kama hilo ni swali langu, halafu wewe unaniletea link ya article inayosema "Europe needs immigrants", bila ya kunieleza jinsi gani hiyo article ambayo kichwa chake kinaonyesha haijibu swali langu, itajibu swali langu, kwa nini niisome?

Swali uliloulizwa hujajibu, unalojibu -Europe needs immigrants or not- silo nililouliza.

Kwa nini nisome hiyo article?
Iraq kuna vita, Syria kuna vita, Saudia inapigana ba Yemen, UAE imepoteza askari 45 kule Yemen siku mbili zilizopita. Jordan kuna tension ya hali ya juu. Lebanon kuna tension, Hizbullah wanapigana Syria. Uturukia inasumbuliwa na waasi wa Kikurdi. wakimbizi waende wapi?
 
Sidhani kama uko sahihi na unafahamu vizuri jiografiavya mashariki ya kati.. Kuna nchi hizi ambazo hazina vita wala rabsha ..Iran.. Falme za kiarabu.. Kuwait.. Oman.. Bahrain… ama unajitoa ufahamu tu?
 
unapitia wapi kutoka Syria ili ufike Kuwait, Oman na Bahrain? Falme za kiarabu inashiriki vita ya Yemen na Syria,
 
Tushawapa jibu,wanakwenda kule kimkakati,au hujui kuna sharia law sikuhizi hata uingereza?..hivi vitu vinaenda taaaaratibu hadi watajaa huko
 
unapitia wapi kutoka Syria ili ufike Kuwait, Oman na Bahrain? Falme za kiarabu inashiriki vita ya Yemen na Syria,

Point yako haikuwa means ya kufika wanakoenda rather nchi za kiarabu hazijatulia zina tension.. Na sijui kwann mawazo yako wakimbizi wanatoka syria tu
 
ni ukweli uliowazi kuwa nchi nyingi za arabuni(si zote)zimezuia kupokea ndugu zao kutoa syria,hiyo ipo wazi.......
 
nchi kama sudan,imepokea wakimbizi wa syria zaidi ya 1 milion mpaka dakika hii bila ya visa wala masharti yoyote,...
 
Major, karibu migogoro yote inayotokea nchi za kiarabu imetengenezwa na nchi za Ulaya ikiongozwa na Marekani. Ukianzia Libya, Syria, Iraq, Afghanistani, Pakistan, Egypt, Yemen na kwingineko. Ikifahamika wazi kwamba migogoro hii italeta shida kubwa sana...shida ya wakimbizi kwenye nchi jirani kama Saudi Arabia, Lebanon, Jordan, Qatar, na UAE.

Hii maana yake ni kwamba,wakati shida itakapozikumba nchi walizofanikiwa kuchochea mapigano basi hata nchi jirani zilizo na utulivu zitaonja adha ya shida ya wakimbizi kutoka nchi zote zilizochafuka.

Katika hali kama hiyo, hakuna nchi itakayokuwa na ahueni na mkakati wa nchi za Ulaya na Marekani utakuwa umetimia.

Nadhani wakimbizi hawa sasa wamefikiri vema, badala ya kuzisumbua nchi jirani, waislam wenzao na waarabu wenzao, wameona njia bora ni kuwafuata hukohuko Ulaya bila kujali safari hizo zinawagharimu kiasi gani. Hii ni kuzifanya nchi wachochezi nao wavune wanachokipanda, wapokee adha ya wakimbizi ambao kiukweli ni mzigo mkubwa sana unaozielemea nchi za mashariki.

Hii ndio sababu kwanini wakimbizi hawa wamechagua kwenda Ulaya na si Saudi Arabia japokuwa ipo idadi kubwa tu ya wakimbizi nchini Uturuki, Lebanon, Jordan na Libya kiasi.

Binafsi nawapongeza na kuwaunga mkono kwamba kadri Marekani na Ulaya wanapojitajidi kutengeneza na kuchochea machafuko nchini mwao basi na wao wajitahidi kukimbilia Ulaya mamia kwa maelfu halafu baada ya miaka 10-20 tuone matokeo.
 
Last edited by a moderator:
Point yako haikuwa means ya kufika wanakoenda rather nchi za kiarabu hazijatulia zina tension.. Na sijui kwann mawazo yako wakimbizi wanatoka syria tu

Wasomali walikuwa wakikimbilia Yemen, kwa sasa hakufai na nchi haina Rais. Iran na Saudia zinapigana Yemen. Kwa sasa inabidi wapite Libya ambako hakuna serikali ili wavuke kwenda Uropa
 
Major, karibu migogoro yote inayotokea nchi za kiarabu imetengenezwa na nchi za Ulaya ikiongozwa na Marekani. Ukianzia Libya, Syria, Iraq, Afghanistani, Pakistan, Egypt, Yemen na kwingineko. Ikifahamika wazi kwamba migogoro hii italeta shida kubwa sana...shida ya wakimbizi kwenye nchi jirani kama Saudi Arabia, Lebanon, Jordan, Qatar, na UAE.

Hii maana yake ni kwamba,wakati shida itakapozikumba nchi walizofanikiwa kuchochea mapigano basi hata nchi jirani zilizo na utulivu zitaonja adha ya shida ya wakimbizi kutoka nchi zote zilizochafuka.

Katika hali kama hiyo, hakuna nchi itakayokuwa na ahueni na mkakati wa nchi za Ulaya na Marekani utakuwa umetimia.

Nadhani wakimbizi hawa sasa wamefikiri vema, badala ya kuzisumbua nchi jirani, waislam wenzao na waarabu wenzao, wameona njia bora ni kuwafuata hukohuko Ulaya bila kujali safari hizo zinawagharimu kiasi gani. Hii ni kuzifanya nchi wachochezi nao wavune wanachokipanda, wapokee adha ya wakimbizi ambao kiukweli ni mzigo mkubwa sana unaozielemea nchi za mashariki.

Hii ndio sababu kwanini wakimbizi hawa wamechagua kwenda Ulaya na si Saudi Arabia japokuwa ipo idadi kubwa tu ya wakimbizi nchini Uturuki, Lebanon, Jordan na Libya kiasi.

Binafsi nawapongeza na kuwaunga mkono kwamba kadri Marekani na Ulaya wanapojitajidi kutengeneza na kuchochea machafuko nchini mwao basi na wao wajitahidi kukimbilia Ulaya mamia kwa maelfu halafu baada ya miaka 10-20 tuone matokeo.
kwa ufafanuzi huu nimekuelewa.....................
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom