Unafiki wa Waarabu wadhihirika duniani

Unafiki wa Waarabu wadhihirika duniani

Status
Not open for further replies.
Wao walivyoua maelfu ya watu World Trade Center ulitegemea nini? Tena waliua watu wa kila taifa duniani watu wasio na hatia. Na watahangaika sana na hii dunia. Wao walishangilia sana. Na kumbuka maneno ya Saddam na Gadafi baada ya tukio lile!. Wamejikataa wenyewe sasa. Aibu

Hata hujui nn kilitokea
 
ni ukweli uliowazi kuwa nchi nyingi za arabuni(si zote)zimezuia kupokea ndugu zao kutoa syria,hiyo ipo wazi.......

Halafu hapo hapo unaambiwa habari za ymma wa waislamu kupendana.

Waarabu/ waislamu wanatakiwa kuona aibu Papa Francis kaagiza makanisa yawapokee wakimbizi huku Mfalme wa Saudi kawachunia.

Wanatakiwa kuona aibu wanakufa majini kukimbilia Ulaya wakati kuna nchi kama Saudi Arabia zipo karibu haziwataki.
 
Wapi nimemchagulia? Nina uwezo gani wa kumchagulia? Unaelewa swali na context yake?

Hujajibu swali.

Saudi Arabia and Qatar are not signatories of UNHCR and thus are not obligated to provide any form of assistance to Refugees.

However, they do offer millions of dollars in aid to help refugees hosted in other countries like Turkey and Jordan.

Besides, as a refugee, I would want to resettle in a country which offers the best possible future prospects for me and my family.

Both Saudi Arabia and Qatar are absolute monarchists.

By the way, majority of the refugees from the conflict in Syria, some 4 million of them, are hosted in Turkey, Jordan and Lebanon not in Germany or the UK.

sources:
businessinsider.com
unhcr.org
 
sasa wanakimbilia ulaya mfano italy au ujerumani...hadi wajue lugha za hizo nchi na kusettle si chini ya miaka 5. Dah vita isikie kwa mwenzio usiombe.
 
Saudi Arabia and Qatar are not signatories of UNHCR and thus are not obligated to provide any form of assistance to Refugees.

However, they do offer millions of dollars in aid to help refugees hosted in other countries like Turkey and Jordan.

Besides, as a refugee, I would want to resettle in a country which offers the best possible future prospects for me and my family.

Both Saudi Arabia and Qatar are absolute monarchists.

By the way, majority of the refugees from the conflict in Syria, some 4 million of them, are hosted in Turkey, Jordan and Lebanon not in Germany or the UK.

sources:
businessinsider.com
unhcr.org

Naongelea kutoka context ya uislamu inayosema kwamba waislamu wote dunia nzima ni umma mmoja.

UNHCR signatory or not.

Kwa nini Waarabu kama wa Saudi hawawachukui hawa waarabu wenzao wakati wana authority kubwa kuliko UN, that of the quran, inayowataka kuwakarimu waislamu wenzao?

Waislamu, especiallybwenye matatizo, wanatakiwa kukarimiwa na waislamu wenzao. Muislamu ukiingia mji mgeni unaenda kuomba hifadhi msikitini, watu wanakupa. Kwa sababu ni mmoja wa "umma". Imekuwaje Saudi Arabia haijasaini mkataba ? Na hata kama haijasaini mkataba, labda haitaki wakimbizi wakristo, inashindwa kuwachukua waislamu in proportion to it's wealth?

Nchi ambayo hatuna liquid resources kama Tanzania tumechukua hundreds of thousands of refugee. Tukiwaita hawa WaSaudi na waarabu wengine wanafiki kwa kujifanya waislamu wazuri huku wanawafungia vioo waislamu na waarabu wenzao tutakuwa tunakosea?

Ukilielewa hili lazima ukubaliane na hoja kwamba kuna unafiki miongoni mwa waarabu.
 
https://www.amnesty.org/en/latest/n...ia-refugee-crisis-international-resettlement/

By December 2014

The six Gulf countries - Qatar, United Arab Emirates, Saudi Arabia, Kuwait and Bahrain - have offered zero resettlement places to Syrian refugees

Germany has pledged 30,000 places for Syrian refugees through its humanitarian admission programme; nearly half the global total of resettlement and humanitarian admission programme places for Syrian refugees and 82 per cent of the EU total.Germany and Sweden together have received 96,500 new Syrian asylum applications in the last three years, representing 64 per cent of all such applications in the EU.Excluding Germany and Sweden, the remaining 26 EU countries have pledged a mere 5,105 resettlement places, or 0.13 per cent of Syrian refugees in the main host countries.

In Europe, too, Internet users are calling out the Gulf states. A Facebook community of Syrians in Denmark recently demanded, "How did we flee from the region of our Muslim brethren, which should take more responsibility for us than a country they describe as infidels?"

The vast majority of the 4 million or so people who have fled conflict and hardship in Syria have gone to neighboring Turkey, Jordan, and Lebanon, where they live in crowded refugee camps.

Thousands have sought to go on to Europe, particularly this year, as the four-year-old Syrian war shows no sign of winding down. They are attracted to Europe by the opportunity to apply for asylum or refugee status and, if accepted, to get jobs and begin rebuilding their lives.

But if social media are bristling over the fact the rich Arab Gulf states do not offer the same welcome, there seems little likelihood the situation will change. The reason is the Gulf Arab states' aversion to granting refugee status, not just to Syrians but to anybody.

"There are some Syrians who have found refuge in the Gulf, especially in Qatar, but they would all generally be on some kind of temporary visas," says Jane Kinninmont, deputy head of the Middle East and North Africa program at Chatham House in London. "The Gulf countries are not signatories to the international conventions on refugee rights that Western countries and indeed most world countries have signed up to."

She says their position appears to be motivated by the presence of so many migrant workers in the Gulf states, including from countries like Pakistan, where there is political unrest and repression.

"Their concern would be that if they started recognizing political asylum it could potentially open the doors for a multitude of their temporary workers to stay permanently and that would raise a lot of quite complex issues."

The number of migrant workers exceeds the native population in every Gulf country except Saudi Arabia and Oman. In all of the Gulf countries, the vast majority of the workforce is foreign, ranging from 88.5 percent in Oman to 99.5 percent in the United Arab Emirates.

source:businessinsider.com
 
Hivi kwanini mwafrika anakirihika kuona mwarabu anahamia Ulaya?

Ningeelewa kuona mwafrika anaumia kuona waarabu wanahamia Afrika. Lakini Ulaya inatuhusu nini?

mkuu nimecheka kweli, kuna watu wako huru bana!
 
Naongelea kutoka context ya uislamu inayosema kwamba waislamu wote dunia nzima ni umma mmoja.

UNHCR signatory or not.

Kwa nini Waarabu kama wa Saudi hawawachukui hawa waarabu wenzao wakati wana authority kubwa kuliko UN, that of the quran, inayowataka kuwakarimu waislamu wenzao?

Waislamu, especiallybwenye matatizo, wanatakiwa kukarimiwa na waislamu wenzao. Muislamu ukiingia mji mgeni unaenda kuomba hifadhi msikitini, watu wanakupa. Kwa sababu ni mmoja wa "umma".

hata wakristo wanaitana ndugu katika yesu kristo,lakini haina maana kuwa uingereza itawapa wakimbizi wa msumbiji ruksa ya kukaa,eti tu kwasababu ni wanakondoo wenzao.

afterall saud na syria ni kama nchi adui
 
Waliosababisha ukosefu wa utulivu katika hayo mataifa ya waarabu ni wakina nani? Hao waliopeleka vita Iraq, Syria, Libya n.k ndio wabebe mzigo wa wakimbizi.

Miongoni mwao Wanaodhamini wapiganaji kama Wahuthi kule Yemen ni Iran wabebe mzigo huo sasa hao Iran na wenzao wa UAE wanaorusha midege huko Yemen na kudondosha mabomu,usiwasahau Russia wanaodhamini uasi Syria na Yemen...
 
hata wakristo wanaitana ndugu katika yesu kristo,lakini haina maana kuwa uingereza itawapa wakimbizi wa msumbiji ruksa ya kukaa,eti tu kwasababu ni wanakondoo wenzao.

afterall saud na syria ni kama nchi adui
Moja.Ndiyo maana mimi nasema hizi habari za dini zote ni unafiki tu.

Pili. Afadhali hao Waingereza wanakubali wakimbizi. Wasaudi hawakubali kabisa.
 
Waliosababisha ukosefu wa utulivu katika hayo mataifa ya waarabu ni wakina nani? Hao waliopeleka vita Iraq, Syria, Libya n.k ndio wabebe mzigo wa wakimbizi.

Wacha kupotosha watu wewe, Waarabu walikuwa na tabia hizo miaka mingi sana kabla hata ya vita ya Iraq.
 
Naongelea kutoka context ya uislamu inayosema kwamba waislamu wote dunia nzima ni umma mmoja.

UNHCR signatory or not.

Kwa nini Waarabu kama wa Saudi hawawachukui hawa waarabu wenzao wakati wana authority kubwa kuliko UN, that of the quran, inayowataka kuwakarimu waislamu wenzao?

Waislamu, especiallybwenye matatizo, wanatakiwa kukarimiwa na waislamu wenzao. Muislamu ukiingia mji mgeni unaenda kuomba hifadhi msikitini, watu wanakupa. Kwa sababu ni mmoja wa "umma". Imekuwaje Saudi Arabia haijasaini mkataba ? Na hata kama haijasaini mkataba, labda haitaki wakimbizi wakristo, inashindwa kuwachukua waislamu in proportion to it's wealth?

Nchi ambayo hatuna liquid resources kama Tanzania tumechukua hundreds of thousands of refugee. Tukiwaita hawa WaSaudi na waarabu wengine wanafiki kwa kujifanya waislamu wazuri huku wanawafungia vioo waislamu na waarabu wenzao tutakuwa tunakosea?

Ukilielewa hili lazima ukubaliane na hoja kwamba kuna unafiki miongoni mwa waarabu.

Nimejibu kuwa wakimbizi wengi wamepokelewa katika nchi za Kiislamu kuliko za Kikristo. ( wakimbizi milioni nne wa Syria wapo Lebanon, Jordan na Uturuki).

Huwezi kutegemea nchi kupokea wakimbizi kwa sababu tu wana dini moja.

Hizi sheria zao wameweka kwa ajili ya usalama wa nchi yao.

Saudi Arabia and Qatar will not open their gates to their fellow Muslims fleeing violence because they are not democratically run nor stable enough to give asylum to people who might have other political agendas or military experience.

They probably learnt from the late King Hussein of Jordan, who was nearly overthrown by some of his subjects who had Palestinian ancestry.

Middle East is a rough neighborhood.

It would make sense to put the security of a country first before religion.

I would do the same thing if I was an Absolute Monarch.
 
Angalia video hii ya Prof. Hans Rosling ambaye anatumia takwimu za sasa kurahisisha watu kuelewa mambo.
Chini yake nimeweka link ya sababu kwanini hawa wakimbizi wanatumia boats na sio ndege. Vinaweza kuamsha mjadala huu

Last edited by a moderator:
Hili swala tulikuwa tunazungumzia juzi tu kazini.

Nchi kama Qatar,utajiri wote kwanini hawawachukui hawa ndugu zao?

Cha ajabu hao waarabu leo wanasaidiwa kesho wanaenda kujilipua kwenye nchi hio hio waliombaa hifadhi.

Hawa watu laana ya kuwa na chuki inawaangamiza vibaya.
 
Hiyo habari ya kujilipua ndiyo wengi wanayohofia.
 
Hili swala tulikuwa tunazungumzia juzi tu kazini.

Nchi kama Qatar,utajiri wote kwanini hawawachukui hawa ndugu zao?

Cha ajabu hao waarabu leo wanasaidiwa kesho wanaenda kujilipua kwenye nchi hio hio waliombaa hifadhi.

Hawa watu laana ya kuwa na chuki inawaangamiza vibaya.
Ndg. OC, pole pole mkuu... mbona unakuja jazba na hasira hivi !! Twende kwa hoja siyo kutoa LAANA isije kukurudia we mwenyewe!! jee waijuwa QATAR na waijuwa SYRIA !!!

Sasa na hawa waAFRIKA wenzetu wanao CROSS mediterenean kwani hawana ndugu na matifa 50 ya Africa sii ndugu zao!!

Na huyu mwaAfrika alikwenda kuwachinja hao kwao ...Jee ushasahau!!

Na huko SOUTH AFRICA
walitufanya nini wa Afrika waliogombania UHURU wao ????????

Tuache kuropoka na kupayuka maneno na mambo tusiyo yajuwa!!!! Major Kiranga Son of Gamba Elungata Tokyo40 FaizaFoxy Maisha Leo
 
Last edited by a moderator:
Kiranga

Unauliza Maswali kisha Unajijibu mwenyewe.
Ni uamuzi wa Nchi Kusaini mkataba wa aina yyt.
Na sio kazi yako kukosoa Uamuzi wao.

Waulize wale MAKAFIRI Walioanzisha hizi vita je! Kabla ya kuanza kuua Viongozi wao ktk hizi nchi za Kiislamu walishawahi kuona Wakimbizi kutoka Syria au libya au nchi yyt ya Kiarabu?

Hitimisho hapa ni Kuwa Wale walioanzisha huu moto wabebe wenyewe Matokeo.
Na bado.
Mpk sasa kuna wakimbizi zaidi ya milion walioingia Europe na wengine zaidi ya Milion 3 wako njiani.
Soon Mtakuwa mnaona Ndevu na hijabu tupu kwenye Tv mitaa ya Europe.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom