Ambiente Guru
JF-Expert Member
- May 21, 2012
- 2,623
- 1,096
Mbona wakimbizi vijana wa Syria wanaoingia Ulaya wana afya nzuri na miili kama askari? Hakuna dhaifu,. Wametembia maili 100 kwa miguu ,mpaka kwa mpaka? Mmh nina wasiwasi...
Heshima Mkuu, mbona kawaida lugha nyepesi inafahamika... sema/uliza sehemu usiyoifahamu ?!! sina jazba ktk hili la SYRIA na IRAQisijaelewa mkuu tafadhali,rahisisha lugha kidogo afu mihemko pia eka pembeni mkuu hoja ni nzit mnoo ulyotoa.
huo ni mkakati wa islamization of the world..... Wazungu hawauelewi.... Wanakimbilia huko na kuanzisha jumuiya zao. After some years, watakaokuwepo watalikumbuka hili!!!!
Waliosababisha ukosefu wa utulivu katika hayo mataifa ya waarabu ni wakina nani? Hao waliopeleka vita Iraq, Syria, Libya n.k ndio wabebe mzigo wa wakimbizi.
Hahahaha, vipi umesahau ya Rwanda?
Hiyo ni mipango ya Allah hao Waislam kwenda hukohuko walikofitinishwa wakausimamishe Uislam.
Wanaenda ulaya kuwasilimisha na kuwafundisha ustaaraf....subur uone after 20 yrs...Italy itakuwa na misikiti ya kutosha tu.....
Kweli Mkuu imekuwa zahma, pia huku Dubai wazungu wa ULAYA,RUSSIA na AMERICA wamejaa wanatuwa na kuja kwa ndege kutafuta kazi na kuchakaraikia fursa za AJIRA ktk sekta zote hadi wanawake zao wapo pembezoni mwa HOTELi sijui wanataka biashara gani....?!??!?
Major Nyenyere Mkuu hakuna matusi hapa tunatafakari Crisis zana Civilization za kibinaadamu....... Elungata Syria ina Historiya na ni TAIFA la mwanzo hapa duniani hivyo itaheshimika hadi siku ya mwisho, Nenda ukatembelee maonyesho ya biashara zao ambazo zimpo humu mikoani na Dar (nchini) uone ufanisi wa kazi zao!!!
Kanyigo changia lako, hata ya Rwanda na wakimbizi wa Burundi,south sudan na Wahamijai haramu yote inafaa !!!
Link Europe Doesn't Have Enough Immigrants - Bloomberg ViewKiislamu wanawaita watu makafiri, halafu haweshi kuwakimbilia wakipata matatizo. Mbona nchi za kiarabu/ kiislamu nyingi tu na waarabu wanakimbilia Germany?
Wanaenda ulaya kuwasilimisha na kuwafundisha ustaaraf....subur uone after 20 yrs...Italy itakuwa na misikiti ya kutosha tu.....
Ustaarabu kama wa Syria sasa hivi sio?
Oh My highiest RESPECT !! Samahani sana..... Wandugu kweli inasikitisha kuona maafa na hali mbaya ya wakimbizi....kote Duniani siyo jambo la kukodolea macho, Linaweza ibuka nchi yeyote hapa Duniani.!!Hahahaaaaa uncle wewe?
Usiwe muongo mkuu. Hiyo sudani ya kusini unayoisemea huijui. Albashiri mwarabu ndiye aliyeua wasudani zaidi ya milioni 3 kwa lengo la kuwaua wote weusi wa kusini ili achukue ardhi Yao yenye utajiri wa mafuta. Ndiyo maana mpaka Leo kuna warrant ya kumkamata ya ICC. Mwarabu ni mnafiki pasee, usibabaike na kanzu na mabusu ya kinafiki.Inabidi usome historia sana ndugu yangu,hakuna kiumbe duniani anatamaa na mnafiki na mbinafsi kama mwafrika, na kama wasinge kuwa wanafiki wasinge tawaliwa miaka hiyo yote na kusingekuwa na biashara ya utumwa,Leo bara la afrika ndiyo linaongoza kwa kuwa na ardhi nzuri na madini kibao na ndiyo wanaongoza kukimbia nchi zao.
Waarabu angalau walijenga nchi zao mwafrika hadi Leo ni ombaomba nenda south Sudan halafu uone mwafrika alivyo ,mwafrika hata baadhi za mila Leo hii tanzania baba anakula kabla ya watoto,kwahiyo kabla hatujaangalia wengine tujiangalie waafrika kwanza.
Hapo Major sasa umesema na kueleza vizuri, Nashukuru kuwa umepunguza matusi... Hapo tunaweza kuendlea kwa utulivu ktk uzi huu!!Ungeona jinsi watoto na akina mama wa kiarabu wanavyokufa majini na huku wakiopolewa na wazungu Kama samaki usingeongea haya. Mimi roho inaniuma sana. Ndiyo nikasema pamoja na utajiri wote waliopewa waarabu tangu kuumbwa kwa dunia hii wameshindwa kuwasaidia hawa wahanga? Je ni kweli kuwa nchi zote za kiarabu duniani zina vita kwa sasa mpaka waamue kukimbilia ulaya kwa kutumia maboti haya hatari? Na je umoja wao wa emirate unafanya nini? Ndiyo maana nikasema usimwamini kabisa mwarabu. Sasa hayo ya udini ni yenu
Waliosababisha ukosefu wa utulivu katika hayo mataifa ya waarabu ni wakina nani? Hao waliopeleka vita Iraq, Syria, Libya n.k ndio wabebe mzigo wa wakimbizi.
Ww uko mbali na dunia mkuu. Tizama habari za cnn bbc na aljazeer, ndiyo habari zao wiki yote nzimaMkuu nadhani unachanganya mambo, wengi wanaokufa baharini ni hawa wenzetu wanaotoka africa kaskazini na magharibi hata pembe ya Africa ambao wanatumia short cut ya Libya to Italy kuingia Europe, Wasyria watutumia njia ya Hungary