Unafiki wa Waarabu wadhihirika duniani

Unafiki wa Waarabu wadhihirika duniani

Status
Not open for further replies.
Uarabu sio uislam. watu wengi wana tabia ya kunasibisha uarabu na uislam. Kumbuka kuna biblia zimeandikwa kwa lugha za kiarabu. Sio kweli kwamba wote wanaokimbilia kule ni waislam. Ndio maana nchi nyingine wanasema tutawapokea waarabu wasio waislam.

waarabu wasio waislamu hawafiki hata 150 bana....
 
syria ipo kabla ya hizo ulaya,sijui america na imepitia mambo mengi kwa maelfu ya miaka,,,,,yanayotokea huko sasa yalishawahi tokea mara milioni,na syria bado iko palepale...
 
Tafsiri ni unafiki wao na damu za waafrica weusi waliowaua Kule Sudan ndiyo zinawatafuna.

Hahahaha, vipi umesahau ya Rwanda?

Hiyo ni mipango ya Allah hao Waislam kwenda hukohuko walikofitinishwa wakausimamishe Uislam.
 
Niko hapa Ujerumani, kwakweli ni mafuriko, nimeapply kuextend living permit yangu foreign offices katika mji ninaoishi mwezi wa saba mwanzoni lakini appointment nimepata february 2016, nafasi zimejaa kabisa na baadhi ya miji unaweza usubiri hadi miezi 9.
Asylum seekers wengi ni wasyria Iraq na Afghan.
 
Hivi kwanini mwafrika anakirihika kuona mwarabu anahamia Ulaya?

Ningeelewa kuona mwafrika anaumia kuona waarabu wanahamia Afrika. Lakini Ulaya inatuhusu nini?
 
Labda jamaa hufahamu uturuki inawakimbizi wangapi?jordan?lebanon?saudia rabia?
Na kwanini watu wabebe mzigo wa mwingine waliolikoroga walinywe wao siwaliona raha kushusha mabomu sasa wafurahie pia na wakimbizi
 
Matatizo yote haya ya wakimbizi wamesababisha hawa Marekani na washirika wao Ulaya.
Wao walivyoua maelfu ya watu World Trade Center ulitegemea nini? Tena waliua watu wa kila taifa duniani watu wasio na hatia. Na watahangaika sana na hii dunia. Wao walishangilia sana. Na kumbuka maneno ya Saddam na Gadafi baada ya tukio lile!. Wamejikataa wenyewe sasa. Aibu
 
Hivi kwanini mwafrika anakirihika kuona mwarabu anahamia Ulaya?

Ningeelewa kuona mwafrika anaumia kuona waarabu wanahamia Afrika. Lakini Ulaya inatuhusu nini?
Najaribu kukutahadharisha kuwa mwarabu si mtu wa kuamini. Open your mind!
 
Sidhani kama unakijua unacho ongea bali unatizama propaganda katika vyombo vya habari, nchi za Umarekani na europe ndiyo chanzo cha tatizo la ukimbizi katika nchi nyingi wakimbizi ukianzia, Afghanistan, Somalia, Baghdad na sasa Syria kwa kisingizio cha kuwaletea Demokrasia.

Nchi hizo tajiri za Umarekani na za Europe ndiyo zenye kupokea wakimbizi idadi ndogo saana, soma hii chini ripoti ya umoja wa mataifa ya mwaka huu.

Nanukuu:

UNHCR report shows world's poorest countries host most refugees

Wednesday 7, January 2015

GENEVA, January 7 (UNHCR) – Wars in the Middle East, Africa and elsewhere caused 5.5 million people to become refugees or internally displaced in the first half of 2014, says a UNHCR report released today. Global displacement now stands at an unprecedented level of 50 million people – and the world's poorest counties are taking care of most of the refugees.

UNHCR's new Mid-Year Trends 2014 report shows one in four refugees that the UN refugee agency is dealing with is a Syrian. For the first time they have become the largest refugee population under UNHCR's mandate, overtaking Afghans.

"In 2014 we have seen the number of people under our care grow to unprecedented levels," said UN High Commissioner for Refugees António Guterres. "As long as the international community continues to fail to find political solutions to existing conflicts and to prevent new ones from starting, we will continue to have to deal with the dramatic humanitarian consequences,"

"The economic, social and human cost of caring for refugees and the internally displaced is being borne mostly by poor communities, those who are least able to afford it," Guterres added. "Enhanced international solidarity is a must if we want to avoid the risk of more and more vulnerable people being left without proper support."

The major refugee-hosting countries in the world are all in the Middle East, Africa and Asia. By comparing the number of refugees to the size of a country's population or economy, UNHCR's report puts the contribution made by host nations into context: Relative to the sizes of their populations Lebanon and Jordan host the largest number of refugees, while relative to the sizes of their economies the burdens carried by Ethiopia and Pakistan are greatest.Last year, UNHCR's Global Trends 2013 report showed that developing countries hosted 86 percent of the world's refugees, and that nearly half of the refugees under UNHCR's mandate lived in countries where the GDP per capita was less than USD $5,000.In all, the number of refugees under UNHCR's mandate reached 13 million by mid 2014, the highest since 1996, while the total number of internally displaced people protected or assisted by the agency reached a new high of 26 million. As UNHCR only provides help for IDPs in countries where governments request its involvement, this figure does not include all internally displaced people

The full report can be downloaded here: UNHCR - Mid-Year Trends, June 2014 with accompanying tables available here: unhcr.org/statistics/mid2014stats.zip. [Links must be copied and pasted into a browser to work.]

Mwisho wa kunukuu
 
Hivi kwanini mwafrika anakirihika kuona mwarabu anahamia Ulaya?

Ningeelewa kuona mwafrika anaumia kuona waarabu wanahamia Afrika. Lakini Ulaya inatuhusu nini?
Achana nae huyo,wacha waende ulaya.Kwa kuwa wazungu wanaona jinsia moja ngoja waarabu wakazaane huko miaka ijayo itakua ni waarabu tupu ulaya
 
Niko hapa Ujerumani, kwakweli ni mafuriko, nimeapply kuextend living permit yangu foreign offices katika mji ninaoishi mwezi wa saba mwanzoni lakini appointment nimepata february 2016, nafasi zimejaa kabisa na baadhi ya miji unaweza usubiri hadi miezi 9.
Asylum seekers wengi ni wasyria Iraq na Afghan.
Kweli Mkuu imekuwa zahma, pia huku Dubai wazungu wa ULAYA,RUSSIA na AMERICA wamejaa wanatuwa na kuja kwa ndege kutafuta kazi na kuchakaraikia fursa za AJIRA ktk sekta zote hadi wanawake zao wapo pembezoni mwa HOTELi sijui wanataka biashara gani....?!??!?
Major Nyenyere Mkuu hakuna matusi hapa tunatafakari Crisis zana Civilization za kibinaadamu....... Elungata Syria ina Historiya na ni TAIFA la mwanzo hapa duniani hivyo itaheshimika hadi siku ya mwisho, Nenda ukatembelee maonyesho ya biashara zao ambazo zimpo humu mikoani na Dar (nchini) uone ufanisi wa kazi zao!!!
Kanyigo changia lako, hata ya Rwanda na wakimbizi wa Burundi,south sudan na Wahamijai haramu yote inafaa !!!
 
Last edited by a moderator:
Yaani kama ukiangalia kwa jicho la tatu wameyataka yenyewe,hayo machafuko wameayaanzisha wenyewe,silaha mpaka kesho wanaprovide wao,hawana mpango wa kusimamisha vita ila ndo kwanzaa wanaanzisha vikundi vidogo vingine wanavipa silaha waipige isis..acha ile kwao
 
Uchumi wa nchi za kiarabu unaporomoshwa kimkakati, watalishwa njaa mpaka ibada iwe msamiati.
wenye macho wanaangalia kwa jicho la uchumi huu ugunduzi wa mafuta na gas Afrika, Amerika kusini na Amerika kaskazini (marekani)

"Adui yako muombee njaa" jamaa wanasema adui yako mpikie kisha umlishe njaa!!!

Bado ni wanafiki kama wewe uko afrika umejua tatizo lao wao wenyewe wameshindwa nini kumaliza tatizo hilo la kimkakakti lakini kwa ujinga wao wamekubali kutumiwa kama vijana wengi walivyoshobokea ukawa waache waone cha moto
 
Uchumi wa nchi za kiarabu unaporomoshwa kimkakati, watalishwa njaa mpaka ibada iwe msamiati. wenye macho wanaangalia kwa jicho la uchumi huu ugunduzi wa mafuta na gas Afrika, Amerika kusini na Amerika kaskazini (marekani) "Adui yako muombee njaa" jamaa wanasema adui yako mpikie kisha umlishe njaa!!!
Acheni kutumia akili nyingi kujidanganya inakusaidia nini kusema kirahisi kuwa uchumi wao unaporomoshwa,kwani wao hawawezi wala kuwa na nia ya kuzuia uporomokaji?
 
Yaani kama ukiangalia kwa jicho la tatu wameyataka yenyewe,hayo machafuko wameayaanzisha wenyewe,silaha mpaka kesho wanaprovide wao,hawana mpango wa kusimamisha vita ila ndo kwanzaa wanaanzisha vikundi vidogo vingine wanavipa silaha waipige isis..acha ile kwao
Mkuu ni ya kweli hayo na yote hayo husababishswa na wazungu ili wapate soko za silaha zao na bado sana hao waarabu kumshutukizia ni nani anaogombanisha na la mwisho wakimbizi hawatakwisha hadi kiama kisimame
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom