Nawapa sana pongezi hawa waarabu wanaokimbili Ulaya unachofanya ni mkakati maalumu.Tushawapa jibu,wanakwenda kule kimkakati,au hujui kuna sharia law sikuhizi hata uingereza?..hivi vitu vinaenda taaaaratibu hadi watajaa huko
Libya, Syria, Iraq walishambulia world trade centre?Wao walivyoua maelfu ya watu World Trade Center ulitegemea nini? Tena waliua watu wa kila taifa duniani watu wasio na hatia. Na watahangaika sana na hii dunia. Wao walishangilia sana. Na kumbuka maneno ya Saddam na Gadafi baada ya tukio lile!. Wamejikataa wenyewe sasa. Aibu
Hiyo habari ya kujilipua ndiyo wengi wanayohofia.
Huu unyama wa haya mabomu ya drones watu hawaoni wanasema waarabu wana laana daa!!Raia wengi wasiohusika na vita duniani, hasa watoto, pia wanahofia kuuawa kila siku na drones za Marekani.
Huu unyama wa haya mabomu ya drones watu hawaoni wanasema waarabu wana laana daa!!
Matatizo tulionayo watanzania ni kutokujua vita,hivi unadhani kuna option ya kuchagua ukimbilie nchi unayotaka wewe? Mkimbizi anayekimbia vita anaangalia ni wapi salama kwa wakati huo, wengi wanaoenda Europe kutoka syria njia pekee salama kwa watu wa aleppo ni baharini na kuelekea baharini na Qatar lazima upite Iraq kwenye vita, wale wa damascus wanaingia Lebanon.Hili swala tulikuwa tunazungumzia juzi tu kazini.
Nchi kama Qatar,utajiri wote kwanini hawawachukui hawa ndugu zao?
Cha ajabu hao waarabu leo wanasaidiwa kesho wanaenda kujilipua kwenye nchi hio hio waliombaa hifadhi.
Hawa watu laana ya kuwa na chuki inawaangamiza vibaya.
Ajabu ni kwamba hata mswahili wa Mbagala akisikia mwarabu anasemwa naye anakasirika utadhani wanashare baba. Utumwa wa kifikra nao ni mbaya sana
Ndg. OC, acha nipate wasaa, ntakujibu kuhusu Qatar na utajiri wao uutakao.... mie nimeishi miaka kadhaa. !!Mfano wangu wa Qatar kutokana na utajiri wao.
Sasa Africa nchi gani wakimbilie hao ndugu zetu kama nia ni kutafuta maisha bora? Manake mkimbizi wa vita hachagui nchi ya kuomba hifadhi, ppopote pale anapokaribishwa anashukuru.
Mimi sina dini na wala siamini uwepo wa mungu. Mambo ya kiparokia niliyoyazoea yapi?
Nisome kitu gani wakati articles zako hazi address swali langu?
Wapi katika articles zako kuna jibu la swali langu?
Nakubaliana nawe kwa hili mkuu.. Nadhani kuna haja ya kutofautisha uarabu na uislamu. Sipo biased kabisa na lawama zangu nyingi kwa wazungu kwa kuharibu maisha ya watu wa mashariki ya kati. Lakini upande wa pili vipi kuhusu vita ya waarabu kwa waarabu(ama nisomeke waislam ndo sawa?) naongelea Yemen ambapo wa saudia (ambao ni ma sunni) wanalipua miji kwa magruneti ya kurushwa toka angani dhidi wakiwapiga wa yemen wa madhebu ya shia wanaoungwa mkono na Iran..
Hapo pia ni makafiri wanapigana? Vipi misri? Muslim brotherhood ambao ni sunni wakipambana na serikali yao? Makafiri pia hapa? Vipi waturuki ma sunni dhidi ya wa kurdi? Hapo makafiri pia?
Vipi qatar kumpiga gaddafi kwa midege na mibomu hapo ni makafiri pia? Vipi saddam kuwatwanga kuwait? ( ingawa hii ni zaman kidogo).. Vipi lebanon ma shia wa hizbolla kutandikana na hamas wa gaza? Hapa pia makafiri wanahusika?
ni wenyewe waarabu! Sawa?Waliosababisha ukosefu wa utulivu katika hayo mataifa ya waarabu ni wakina nani? Hao waliopeleka vita Iraq, Syria, Libya n.k ndio wabebe mzigo wa wakimbizi.
Duuuh!!? kuna warabu wasabato au wakatoriki kwel??
Umesahau Tariq Aziz [alikuwa Wazir wa Mambo ya Nje wa Iraq chin ya Saddam Hussein] alikuwa mkristo Mkatoliki?
Wao walivyoua maelfu ya watu World Trade Center ulitegemea nini? Tena waliua watu wa kila taifa duniani watu wasio na hatia. Na watahangaika sana na hii dunia. Wao walishangilia sana. Na kumbuka maneno ya Saddam na Gadafi baada ya tukio lile!. Wamejikataa wenyewe sasa. Aibu
Umesema kweli,nchi za magharibi,Ulaya na America,ndio waliochechea vita.Waliosababisha ukosefu wa utulivu katika hayo mataifa ya waarabu ni wakina nani? Hao waliopeleka vita Iraq, Syria, Libya n.k ndio wabebe mzigo wa wakimbizi.