Unafiki wa Mzungu umepitiliza!

Unafiki wa Mzungu umepitiliza!

HUYU JAMAA ZERO KABISA...YAANI NI ZERO MPAKA MWISHO. MMEOMBA MSAADA MMEPEWA MNALETA MANENO YA CHUKI? ASILIMIA 90 YA VIFAA UNAVYOTUMIA VINATOKANA NA HAO HAO.... WE una CHUKI SANA NA WAZUNGU. walikwambia new orleans wana matatizo?
MIAFRIKA HAINA JEMA NI MIPUUUZI SANA.HASA UKIKUTA INA IMANI ZA KISHIRIKINA AU ZA KINAFIKI
 
Anatuma ndege ktk USA kuja TZ yetu kuchukuwa Wagonjwa kwenda kuwatibia USA wkt ndani ya USA kuna watu raia wa USA wanakufa wengine wanaishi kwenye madaraja kwa kushindwa kulipia matibabu, hiyo ndege ingetua New Orleans au Chicago inner city ghetto America ingefurika wagonjwa mpaka Jeshi wangekuja kuzuia...
Naona ule utafiti wa ugonjwa wa zika una kaukweli ndani yake
 
Hili jamaa ni LIJINGA sana lina CHUKI BInafsi ambazo zinalitesa jana...yaani mtu kaamua kuwasaidia watu anakuja mtu mwenye roho ya Kishetani anapinga, Huyu si ndo shetani mwenyewe kabisa??????????????????
Una roho ya korosho.
Mzungu aliyefanya hivyo ni mtalii aliyekuja Tz kwa hela yake kuona wamnyama.
Sasa wewe masikini ukiona tajiri anatumia hela yake kusaidia wagonjwa masikini una kuja juu.
Hata hela ya sosi wa mchana huna.
Wewe masikini na akili ya kimasikini, na unatuletea msimamo wa kimaskini!!!!
 
ninyi mtakuwa wajukuu wa shetani. hamjatosheka na damu mnataka na damu za wale watoto waliobaki mnywe....ROHO ZENU NI ZA KISHETANI KABISA.

kweli kabisa kuna unafiki ila lengo lao na vibaraka wao ni kupata ushawishi wa kisiasa hatimae faida ya kiuchumin.
 
Halafu sasa ukisoma post yao wapo more concerned kwenye psychological rehabilitation ya hao watoto zaidi.

We na serikari yenu mkishatoa rambi rambi ajali imeisha wenzako wanafikiria kuwemo ndani ya ajali ilioua marafiki 33 na walimu huko mbeleni itawaathiri vipi kwenye maisha ya baadae mentally.

Ndio sababu ya kusema a chance to continue with their lives.
 
Kweli wabongo hatuna jema naitatuchukua miaka gedegede kujitambua tukisaidiwa taabu tusipo saidiwa napo nongwa kweli kazi ipo
 
Anatuma ndege ktk USA kuja TZ yetu kuchukuwa Wagonjwa kwenda kuwatibia USA wkt ndani ya USA kuna watu raia wa USA wanakufa wengine wanaishi kwenye madaraja kwa kushindwa kulipia matibabu, hiyo ndege ingetua New Orleans au Chicago inner city ghetto America ingefurika wagonjwa mpaka Jeshi wangekuja kuzuia...
Hapo umekosa sh ngapi kwa hivyo vichwa baada ya kunusurika?Maana mmepiga hela per head!
 
[HASHTAG]#Mlanga[/HASHTAG]
hahahahaha mimi cjui mkuu
 
Halafu sasa ukisoma post yao wapo more concerned kwenye psychological rehabilitation ya hao watoto zaidi.

We na serikari yenu mkishatoa rambi rambi ajali imeisha wenzako wanafikiria kuwemo ndani ya ajali ilioua marafiki 33 na walimu huko mbeleni itawaathiri vipi kwenye maisha ya baadae mentally.

Ndio sababu ya kusema a chance to continue with their lives.
Unamuelewa lakini unayejaribu kumuelewesha?I bet u r wasting ur time talking some sense to him!
 
Nahisi mtoa mada ulishiriki katika kuwatoa kafara watoto wale waliokufa, roho inakuuma kwanini hawa wachache wamepona, roho yako imepitiliza kwa ubaya hata kwenye unyama (wanyama pia ni bora kuliko wewe) hivyo hata kukuita mnyama itakuwa ni kuwadhalilisha wanyama. Shetani pia ana nafuu kuliko kiumbe wewe! Bora ungenyamaza tusingejua udhalimu wa nafsi yako.
 
Laana ya kutafuna rambi rambi ina watesa sana Lumumba.
 
Back
Top Bottom