Mbona pesa zao za misaada mnachukua acha uzuzuAnatuma ndege ktk USA kuja TZ yetu kuchukuwa Wagonjwa kwenda kuwatibia USA wkt ndani ya USA kuna watu raia wa USA wanakufa wengine wanaishi kwenye madaraja kwa kushindwa kulipia matibabu, hiyo ndege ingetua New Orleans au Chicago inner city ghetto America ingefurika wagonjwa mpaka Jeshi wangekuja kuzuia...
Huyu mleta uzi ni kilaza kupitiliza mkuuMbona pesa zao za misaada mnachukua acha uzuzu
Naambiwa huyu ni DEDHuyu mleta uzi ni kilaza kupitiliza mkuu
Ova
Faru John ametumia kiasi gani na je wahanga wa tetemeko wametoka kwenye mahema? Heri hao wa nje wameonyesha you can do it if you real want.Anatuma ndege ktk USA kuja TZ yetu kuchukuwa Wagonjwa kwenda kuwatibia USA wkt ndani ya USA kuna watu raia wa USA wanakufa wengine wanaishi kwenye madaraja kwa kushindwa kulipia matibabu, hiyo ndege ingetua New Orleans au Chicago inner city ghetto America ingefurika wagonjwa mpaka Jeshi wangekuja kuzuia...
unaongea nini hapa pumba tu,Anatuma ndege ktk USA kuja TZ yetu kuchukuwa Wagonjwa kwenda kuwatibia USA wkt ndani ya USA kuna watu raia wa USA wanakufa wengine wanaishi kwenye madaraja kwa kushindwa kulipia matibabu, hiyo ndege ingetua New Orleans au Chicago inner city ghetto America ingefurika wagonjwa mpaka Jeshi wangekuja kuzuia...
Inabidi sasa uachane na dhana ya kuwaona "wazungu" kama kikundi fulani cha watu kilicho "homogeneous". Utaishia kuumwa ugonjwa wa "wazungu". Walioleta ndege ni watu binafsi kwa utashi wao na pesa zao. Hawana uhusiano na masikini waliozagaa ndani ya Marekani kama vile Mo Dewji au Bakhresa wasivyo na uhusiano na wewe binafsi. Si ajabu hata Trump hana habari na miondoko yao. Hizo sera za awamu ya tano za kututangazia ugomvi usio na mantiki na "wazungu" zibakizeni ndani ya chama. Just a pipe dream. Anzeni basi kuwapelekea misaada mliyodai mtatoa kama "donors" tuione hiyo jeuri ya chama.Anatuma ndege ktk USA kuja TZ yetu kuchukuwa Wagonjwa kwenda kuwatibia USA wkt ndani ya USA kuna watu raia wa USA wanakufa wengine wanaishi kwenye madaraja kwa kushindwa kulipia matibabu, hiyo ndege ingetua New Orleans au Chicago inner city ghetto America ingefurika wagonjwa mpaka Jeshi wangekuja kuzuia...
Huyu jamaa kibaraka wa ccm huwa ana roho mbaya sana.Kwahyo dua zako ilikua wale watoto waendelee kupata shida??
Unajua Unachokiandika?Anatuma ndege ktk USA kuja TZ yetu kuchukuwa Wagonjwa kwenda kuwatibia USA wkt ndani ya USA kuna watu raia wa USA wanakufa wengine wanaishi kwenye madaraja kwa kushindwa kulipia matibabu, hiyo ndege ingetua New Orleans au Chicago inner city ghetto America ingefurika wagonjwa mpaka Jeshi wangekuja kuzuia...
Ulitamani wawe Waarabu ndio wametoa huo msaada!Anatuma ndege ktk USA kuja TZ yetu kuchukuwa Wagonjwa kwenda kuwatibia USA wkt ndani ya USA kuna watu raia wa USA wanakufa wengine wanaishi kwenye madaraja kwa kushindwa kulipia matibabu, hiyo ndege ingetua New Orleans au Chicago inner city ghetto America ingefurika wagonjwa mpaka Jeshi wangekuja kuzuia...
Mzimu wa rambirambi unawatesa.Anatuma ndege ktk USA kuja TZ yetu kuchukuwa Wagonjwa kwenda kuwatibia USA wkt ndani ya USA kuna watu raia wa USA wanakufa wengine wanaishi kwenye madaraja kwa kushindwa kulipia matibabu, hiyo ndege ingetua New Orleans au Chicago inner city ghetto America ingefurika wagonjwa mpaka Jeshi wangekuja kuzuia...