milangomitatu
JF-Expert Member
- Nov 30, 2016
- 1,469
- 1,167
Unastahili matusi wewe
Anatuma ndege ktk USA kuja TZ yetu kuchukuwa wagonjwa kwenda kuwatibia USA wkt ndani ya USA kuna watu raia wa USA wanakufa wengine wanaishi kwenye madaraja kwa kushindwa kulipia matibabu, hiyo ndege ingetua New Orleans au Chicago inner city ghetto America ingefurika wagonjwa mpaka Jeshi wangekuja kuzuia...
Huyu mtu ana matatizo makubwa.Kwahyo dua zako ilikua wale watoto waendelee kupata shida??
Aibu kweliHata kama hatujakukunulia bando bado ulikuwa na fursa ya kuficha huu uharo wako.
Ni laana za Mungu tuuHuyu mtu ana matatizo makubwa.
Tuwaombee wadogo zetu watibiwe na kupona.Ni laana za Mungu tuu
Ni wale wenye roho za kichina.Mie nilitegemea kila mtanzania, mwanadamu bila kujali itikadi amshukuru Mungu kwa wema walioutenda hao watu wa USA kuwajali watoto wetu, kumbe wengine halikuwakonga moyo!!!!!
Amin isha-allah, Mungu atawafanyia wepesiTuwaombee wadogo zetu watibiwe na kupona.
Aliyekula rambirambi humjui? Au unajitoa ufahamu makusudi?Mnavyoshambulia kwa mrembo wa upinzani, kama vile nyie ndio mlioratibu huo mpango. Kumbe ni mtu wa huko huko kwenye watawala. Mbunge wenu anabaki kukimbizana na rambirambi N nafasi za kutoa heshima ya mwisho.