Unafiki wa Mzungu umepitiliza!

Barbarosa

JF-Expert Member
Apr 16, 2015
22,584
27,811
Anatuma ndege ktk USA kuja TZ yetu kuchukuwa Wagonjwa kwenda kuwatibia USA wkt ndani ya USA kuna watu raia wa USA wanakufa wengine wanaishi kwenye madaraja kwa kushindwa kulipia matibabu, hiyo ndege ingetua New Orleans au Chicago inner city ghetto America ingefurika wagonjwa mpaka Jeshi wangekuja kuzuia...
 
.....
.....hesabu za Mbali. .... hiyo ni Kama ambulance wengine walichukulia mteremko
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Anatuma ndege ktk USA kuja TZ yetu kuchukuwa wagonjwa kwenda kuwatibia USA wkt ndani ya USA kuna watu raia wa USA wanakufa wengine wanaishi kwenye madaraja kwa kushindwa kulipia matibabu, ...
Ulitakaje wakati hata boss wako hajawasogelea wagonjwa, na hata hakushiriki kuwazika wenzao??!! Umewahi kuzaa wewe?! Kweli Lumumba ni sheeeda inawafanya watu mazezeta.
 
Anatuma ndege ktk USA kuja TZ yetu kuchukuwa wagonjwa kwenda kuwatibia USA wkt ndani ya USA kuna watu raia wa USA wanakufa wengine wanaishi kwenye madaraja kwa kushindwa kulipia matibabu, hiyo ndege ingetua New Orleans ingefurika wagonjwa mpaka Jeshi wangekuja kuzuia...

Kwaiyo ulitakaje??

Maana mmezoea kula rambirambi na hawafi ng'o
 
Anatuma ndege ktk USA kuja TZ yetu kuchukuwa wagonjwa kwenda kuwatibia USA wkt ndani ya USA kuna watu raia wa USA wanakufa wengine wanaishi kwenye madaraja kwa kushindwa kulipia matibabu, ...
kweli kabisa kuna unafiki ila lengo lao na vibaraka wao ni kupata ushawishi wa kisiasa hatimae faida ya kiuchumin.
 
Anatuma ndege ktk USA kuja TZ yetu kuchukuwa wagonjwa kwenda kuwatibia USA wkt ndani ya USA kuna watu raia wa USA wanakufa wengine wanaishi kwenye madaraja kwa kushindwa kulipia matibabu, hiyo ndege ingetua New Orleans ingefurika wagonjwa mpaka Jeshi wangekuja kuzuia...

Mwambie na boss wako Aache kwenda kuomba msaada huko
 
Kwahyo dua zako ilikua wale watoto waendelee kupata shida??

Achana naye huyu, ashakuwa taahira tayari.

Anatuma ndege ktk USA kuja TZ yetu kuchukuwa wagonjwa kwenda kuwatibia USA wkt ndani ya USA kuna watu raia wa USA wanakufa wengine wanaishi kwenye madaraja kwa kushindwa kulipia matibabu, hiyo ndege ingetua New Orleans ingefurika wagonjwa mpaka Jeshi wangekuja kuzuia...

Ulitaka waipe serekale fungu la kuwasafirisha nje wagonjwa kwenda kuwatibu?? Mzungu ana akili ati, hapo ameshawashtukia ndo maana kaamua kila kitu atasimamia mwenyewe. Kama mlishaanza kuzipangia matumizi hela za mzungu pole yenu. [HASHTAG]#Mafisi[/HASHTAG]@work#
 
Anatuma ndege ktk USA kuja TZ yetu kuchukuwa wagonjwa kwenda kuwatibia USA wkt ndani ya USA kuna watu raia wa USA wanakufa wengine wanaishi kwenye madaraja kwa kushindwa kulipia matibabu, hiyo ndege ingetua New Orleans ingefurika wagonjwa mpaka Jeshi wangekuja kuzuia...
Una roho ya korosho.
Mzungu aliyefanya hivyo ni mtalii aliyekuja Tz kwa hela yake kuona wanyama.
Sasa wewe masikini ukiona tajiri anatumia hela yake kusaidia wagonjwa masikini una kuja juu.
Hata hela ya msosi wa mchana huna.
Wewe masikini , na akili ya kimasikini, na unatuletea msimamo wa kimaskini!!!!
 
Back
Top Bottom