Unafiki wa Mzungu umepitiliza!

Unafiki wa Mzungu umepitiliza!

Anatuma ndege ktk USA kuja TZ yetu kuchukuwa Wagonjwa kwenda kuwatibia USA wkt ndani ya USA kuna watu raia wa USA wanakufa wengine wanaishi kwenye madaraja kwa kushindwa kulipia matibabu, hiyo ndege ingetua New Orleans au Chicago inner city ghetto America ingefurika wagonjwa mpaka Jeshi wangekuja kuzuia...

Wewe jamaa sio mzima ni wa kupimwa akili.

Hizi siasa mnazoingiza kwenye maisha ya watu ni hatari sana, ulivyo na roho mbaya ulitaka wale watoto waendelee kutaabika?

Unatakiwa uwahishwe hapo Milembe haraka sana.​

Anatuma ndege ktk USA kuja TZ yetu kuchukuwa Wagonjwa kwenda kuwatibia USA wkt ndani ya USA kuna watu raia wa USA wanakufa wengine wanaishi kwenye madaraja kwa kushindwa kulipia matibabu, hiyo ndege ingetua New Orleans au Chicago inner city ghetto America ingefurika wagonjwa mpaka Jeshi wangekuja kuzuia...
Typical ungratefulness! Kukosa shukrani kwa kiwango cha juu sana. Au kwavile hakuwepo mwanao kwenye ajali ile?
 
Uwivu utakumaliza ndugu yangu!
 
Hao wanaoishi chini ya madaraja wana food stamp, pia hawaitaji relief maana hali zao sio emergency, ni bora kujiridhisha na kitu kabla hakijapostiwa maana unaonekana mbumbumbu
 
Kuguswa kiimani hakuna unafiki, kama kisiasa. Ndege imetumwa na Rev. .......
 
Yan watanzania wengine bna angekuwa yametokea kwake cjui hata hayo mabush opinion ucgepost
 
Una umri gani? Mbona hata Tanzania tumetoa msaada wa mahindi kwa nchi jirani wakati pembezoni tu mwa Ikulu ya Magogoni kuna watu hawana chakula
Mkumbushe tulikuwa tupeleke MADAKTARI nchini Kenya. Walipokataliwa ndipo tukaajiri. Anamaanisha hiyo ilikuwa UNAFIKI?
 
Anatuma ndege ktk USA kuja TZ yetu kuchukuwa Wagonjwa kwenda kuwatibia USA wkt ndani ya USA kuna watu raia wa USA wanakufa wengine wanaishi kwenye madaraja kwa kushindwa kulipia matibabu, hiyo ndege ingetua New Orleans au Chicago inner city ghetto America ingefurika wagonjwa mpaka Jeshi wangekuja kuzuia...
Mkuu wewe nilikua nakuheshimu sana, lakini hii post yako imenisikitisha sana!!!
 
Mshamba wewe hata USA huijui.
Nani USA anakufa kwa kukosa matibabu?
Hujui hata mfumo wa bima ya matibabu inavyofanya kazi. Ukisema watu wanapata madeni shauri ya matibabu nitaelewa lakini sio kama ulivyoandika.
Anatuma ndege ktk USA kuja TZ yetu kuchukuwa Wagonjwa kwenda kuwatibia USA wkt ndani ya USA kuna watu raia wa USA wanakufa wengine wanaishi kwenye madaraja kwa kushindwa kulipia matibabu, hiyo ndege ingetua New Orleans au Chicago inner city ghetto America ingefurika wagonjwa mpaka Jeshi wangekuja kuzuia...
 
Watu wa mbali baada ya kuguswa na tatizo kwa gharama zao wenyewe wamejitoa kuwasaidia waathirika wakati Kuna watu ndani ya Tanzania hiihii pamoja na kwamba wanatumia kodi za wananchi hawajafika kwenye tukio hawasemwi wanasema wazungu ambao hawapati faida yoyote zaidi ya hasara wanayoipata kwa mambo yasiyo wahusu.
 
Km ni unafiki bas na sisi tumewashinda mapema asubuhi. Masikini jirani yako kalala njaa we unakata miguu ya kuku. Watoto tunawaona mitaani wamekosa walau uniform na madaftari na chakula lakin hata sh mia hatuwafadhili, lakini walipopata ajali na kufa watoto wa wanaojiweza mamilioni ya shilingi ilichangwa fasta km rambi rambi, itasaidia nini sasa? Zaidi ya kutafuta sifa km hao wazungu. Katika eneo la ajali siku ile mmoja wa wale wazungu alipigiza chini simu ya jamaa moja mpita njia. Huyo jamaa mbongo, alikuwa anapiga picha wakati hao wazungu wanatoa maiti pale na walioumia pale lakini mbongo anawahi kupost badala kuokoa. Leo hao wabongo hao hao wanawaita hao wazungu ni wanafiki. Sawa ni wanafik lakini sisi tumewazidi kwa mbali sana
 
Anatuma ndege ktk USA kuja TZ yetu kuchukuwa Wagonjwa kwenda kuwatibia USA wkt ndani ya USA kuna watu raia wa USA wanakufa wengine wanaishi kwenye madaraja kwa kushindwa kulipia matibabu, hiyo ndege ingetua New Orleans au Chicago inner city ghetto America ingefurika wagonjwa mpaka Jeshi wangekuja kuzuia...
Kaka usirukie tuu.
Walo tuma ndege sio serikali ya USA la hapana
Ni taasisi moja .
Kule kuwa na raia wa kimarekani ulipotokea masiba .(kama uliona picha kulikuawa na wazungu)
Basi hawo raia wa kimarekani wakazungumza na taassi yawo p[amoja na watu wamtaa wawo na kukubali kulichukua jambo hilo.
wakaanza michango na kuoma michango mingine kutoka tasisi zengine.

Tasisi hiyo ina nia ya kuataka kufanya kitu hapa tanzania. kwa hivyo give and take policy ndio inayo timuka.

nikune ni kukune
 
Back
Top Bottom