UNAFIKI unatawala Bavicha...

UNAFIKI unatawala Bavicha...

Status
Not open for further replies.
Dr Slaa amesema suala la zitto na CDM limefugwa sasa tuongelee suala la rasilimali zetu kama gesi, Umeme kupanda, hali mbaya ya maisha na wizi wa mali , wabakaji kama yle mbunge wa huko Tabora. kwahiyo tusubiri siku 14 tusikilizie maamuzi magumu ya CC
JF siyo mali ya Chadema mwambie Dr.Slaa akawapangie misukule yake kina Matola.
 
Last edited by a moderator:
JF siyo mali ya Chadema mwambie Dr.Slaa akawapangie misukule yake kina Matola.


Nashangaa vijana wanaojiita wapenda mabadiliko kukubali eti Slaa amefunga mjadala.

Yaani Yericko Nyerere na jeuri yake yote ya kuandika uzushi mitandaoni naye anafungwa mdomo na Slaa. Hajui kuwa Slaa anaendeshwa na Josephine Mushimbusi!!!

Mijadala itaendelea mpaka watanzania wenyewe watakapoona inatosha.

Cc Josephine
 
Last edited by a moderator:
Mkuu,

Vijana wameishapotea mtoto wa kiume kaamua kujipa jina la kike, bahati mbaya njaa kali angekuwa na pesa angebadili mpaka jinsia zake.


Mkuu,

Hii ni balaa.

Inabidi tumpe taarifa Wenje ili siku nyingine akienda kuto hoja Bungeni ajue vijana wake wa bavicha wako vipi. Asiumize hisia zao bila ulazima...
 
Tatizo kubwa la Bavicha hawapatani wenyewe kwa wenyewe Bavicha Arusha ndiyo wanajiona wenye chama na Bavicha mikoani wengi ni misukule.
 
Ben saanane ni KIRUSI CHDM

-Sijawahi kuwasiliana na naibu mkurugenzi wa TISS

-Sijawahi kushiriki kuuza majimbo yetu ya uchaguzi

-Sijawahi kushirikiana na Naibu Katibu Mkuu CCM kumhujumu Lwakatare kwenye sakata la ugaidi fake n.k
 
-Sijawahi kuwasiliana na naibu mkurugenzi wa TISS

-Sijawahi kushiriki kuuza majimbo yetu ya uchaguzi

-Sijawahi kushirikiana na Naibu Katibu Mkuu CCM kumhujumu Lwakatare kwenye sakata la ugaidi fake n.k

Wewe ni mtumishi wa Dr. Slaa na Josephine Mushumbusi.

Hilo linajulikana.
 
Bavicha ndiyo wanategemea kuwa mawakala wakati wa uchaguzi mkuu mwaka 2015 walivyokuwa na njaa lazima watauza kura.
 
nasikitika kuchangia uzi huu , maana kiongozi wetu wa juu kabisa ameufunga rasmi , asanteni na kwaherini .
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom