UNAFIKI unatawala Bavicha...

UNAFIKI unatawala Bavicha...

Status
Not open for further replies.
Nyie vijana wa bavicha mnaopenda kuwafanya moderators ni vijakazi wenu. Ni nani asiekufahamu wewe kuwa unatumika? UNADHANI HAWA MODS NI WAJINGA KAMA ULIVYO?

Adhabu ya kusimamisha kugombea mwaka mmoja ndio ina impact gani kama sio danganya toto?

mbona hata wewe mods wanakufahamu vizuri kwamba ni yule msaliti hivi kuna member humu ndani ambaye mods hawamfahamu au unadhani wewe uko immune kwa sababu unafanya kazi za CCM na UVCCM rejea waliokuwa wanashughulika na press yako serena duh kweli nyani haoni kundule
 
we ben,unaposema mabadiliko ndani ya chama unamanisha nn??,kwako we mabadiliko ni nini??,kukiuka katiba na kujirefushia muda wa uenyekiti we kwako ni mabadiliko ndani ya chama.unabadilisha nn mdan ya chama??,huu si unafiki,unamsimamo gani wewe mpaka sasa unaoweza kusimama kwa watu ukasema tukakuelewa??zaidi ya kuchongea wenzako na kufitini kwa chini chini.kama ulikuwa unajua kila kitu kabla mbona kwa mambo ya viongozi wa juu wa chama tunayajua mengi na kama wewee ni spy mbona husemi??.huu sio unafiki??mbona wao juwaambii kwamba wanaenda kinyume??,KUJIMOMBAKOMBA hakudumu.

jina halijengwi kwa unafiki na majungu na kujipendekeza,simamia upande mmoja sio unauma huku na huku kisha unapuliza,nakufahm sana tangu unaanza mambo ya siasa mpaka sasa ama unataka nianike kila kitu chako hapa.??, jaribu kuwa na msimamo.nikwambie tu kwamba nakujua sana,kuamka mpaka kulala kwako,.mfano trh.09-11.2013, saa 00:45 - 01:14,ulikuwa wapi na akina nani na mlipanga nni??,mbona hii husemi??,kwa nn unazunguka wenzako??,

wewe u mwenyewe hapo unasema majungu
 
Tapeli la gesi haitoki ukaja na gia ya watu kukuona unatetea wananchi kumbe equally ni mchumia tumbo unajipendekeza kwa Kinana nmng,oa pembe za ndovu au wassira muuaji wapinzani kwa mabomu ya kurushwa aibu nuwezi kuimba DR Slaa asubuhi mpaka usiku wa manane as if umewekwa kuwa prefect ujinga kuattack mtu mmoja tumekusoma sasa umefeli maisha kama hao unaowataja huna hoja zaidi ya book 7

Huyu jamaa alivyokuwa anajidai kutetea gas kumbe alikuwa anataka aingizwe kwenye payroll ya buku 7, njaa jamani mbaya sana.
 
Adhabu ya kusimamisha kugombea mwaka mmoja ndio ina impact gani kama sio danganya toto?

Amesimamishwa kugombea uongozi kwa mwaka mmoja lakini katika mwaka huo aliosimamishwa hakuna uchaguzi wowote ndani ya chama!!!

Chadema ni chama kinachoendeshwa katika misingi ya kilaghai.

"Mida Eight anatumiwa na Dr. Slaa kugombanisha viongozi" - waraka
 
ha ha leo robot la CCM wameliprogramme kusema maneno hayo utayasema mara 100 zitto ameshajua sasa kwamba au ashirikiana na wenziwe au asepa achape lapa manake tangu ang,olewe vyeo wanaomlilia sijui kumgombea mpaka sasa hawajifika ishirini ha ha ndio anayesema nina wafuasi anaibuka mmoja ansema baada yaku rushiwa vila ki na nusu ashukuru vijisenti vya kutoka ujerumani haja vimaliza vikaisha hata hao wakudunduliza ili wamsifu kwamba ni zaidi ya chadema hatawapata atabaki hatoki mtu hapa duh
 
Marco anakupotezea muda bure. Fanya mambo mengine. Hivi umeandika hapa yeye anakenua meno tuu. Usipoachana nae mtafika page 2000.
 
Amesimamishwa kugombea uongozi kwa mwaka mmoja lakini katika mwaka huo aliosimamishwa hakuna uchaguzi wowote ndani ya chama!!!

Chadema ni chama kinachoendeshwa katika misingi ya kilaghai.

"Mida Eight anatumiwa na Dr. Slaa kugombanisha viongozi" - waraka

Ben Saanane ni muhuni kabisa,mchumia tumboni,mtembea na sumu,tapeli mkubwa wa siasa,mnafiki,mzandiki,hana hadhi ya kuzungumza na wanaume wenye akili zao timamu,anapaswa kwenda kufanya kazi ya kushika ukuta na kaka zake wengine wale wanaojiita sijui wa A Town.siku zake zinahesabika,wote wanaomtetea wanafanana nae akili,na hata matendo!
 
Zemarcopolo ana akili ni basi anajitoa ufaham,mabandiko yake anategemea yamfungulie njia ya u-DC au u-MP

vyeo vya kupewa kulinda itikadi fulani ni ukanjanja.... ubunge wa sasa nao umejaa najisi ya makanjanja zaidi ya 50%

he could be better than that, he could go higher, he could earn respect and not fight for recognition and silly fame,

anyway, life is whatw e make it (although i believe, there was a better avenue to his life)
 
Mods wa JF wana kazi zo zenye heshima,hata siku moja huwez kuwakuta wanahangaika na wachumia tumbo na watu waliofeli kimaisha kama wewe na yericko,nani asiewafaham humu ndan kuwa nyinyi ni watu wa kujipendekeza kwa Wilbroad Slaa kwa kutumain eti akichukua nchi basi mtapata japo kazi ya ufagiz pale ikulu??mnaota ndoto za mchana sana,

THANKS MODS KWA KUPUUZA MATAPELI KAMA HAWA,SISI TUTAWAUNGA MKONO KATIKA KUWAPIGA VITA

usijisahau dogo, mko humohumo kwenye hilo kapu

GESI HAITOKI MTWARA..... kwikwikwikwi
 
zemarcopolo kachukua lip service somewhere na sasa anaamini kaahidiwa, ni zao la wanasiasa wa zamani walioshindwa hata kujua kinondoni kama wilaya ina public owned land ya kiasi gani, ni zao la walioneemeka kupitia kwa wapishi na waramba miguu wa kambarage... hana chochote cha kusema atabenefit

in short he is an outsider to everything in the system, siasa za ccm, usalama, sekta yake ya fani aliyosomeshwa nk.

he doesnt know kwasababu ameamua kudhani he knows everything, it is sad, he was good back in the days, but whoever led him to siasa takataka ni wa kulaaniwa vikali... alikua level moja na vijana wengi tu ambao wameamua kubaki ccm lakini kuachana na uvuvuzela wa siasa za mipaho ya mitandaoni

things are changing, hata ninyi akina Ben you need to watch out, siasa ni zaidi ya majibizano yasiyo na tija, si kila hoja lazima ijibiwe, si kila uwazacho lazima kije public

it is a shame, but a very unfotrunate truth kwamba vijana hadi sasa hakuna kitu, every young Tanzanian with potential anaangukia palepale mnapoangukia, "thinking you are all that"!!!

VERY SAD FACT, AND THE WORST FOR SUCH A BEAUTIFUL AND LOVELY COUNTRY KAMA TANZANIA

Huu ushauri Mida Eight akiufanyia kazi utamfaa sana...
 
Huu ushauri Mida Eight akiufanyia kazi utamfaa sana...

ni wote tu dogo... mko kwenye the same boat, you just dont see each other

young, potential, egoistic, myopic, "all that", wasted a little etc.

you are a mirror image of Ben.... na wote mlibahatika kwenda shule, na mkabahatika kupasi mitihani, ila sasa mmebahatika pia kufeli visions.... mmekua incidences badala ya significances

it pains sisi kaka zenu kuona hata Lusinde au yule mbunge wa musoma mjini wana nafuu

really sad
 
Mkuu,

Niombe radhi. I swear to God kunifanisha na Ben is the worst offense I have experienced here in JF.

By the way, kunifananisha na Ben haunioffend mimi tu bali thousands of people I inspire everyday.

Hapa mkuu umevuka mipaka. Mimi ni mvumilivu sana wa kashfa na kejeli lakini this is TOO MUCH.

Nadhani tatizo ushiriki wetu JF mnautafsiri ndivyosivyo. Pitia historia ushauri aliotoa chief Kunambi kwa gavana mwingereza kuhusu circular number six utaelewa why I am here.
TIMING mimi nimekuwa nakuheshimu sana pamoja na kejeli zako za hapa na pale, ila ukiendelea hivi nitalazimika kukuweka kwenye kundi la Yericko Nyerere. I am touched kwa sababu sikutegemea kama unaweza kufikia hatua ya kuniweka kiwango cha Ben. Sitashangaa siku ukisema unaamini mimi nalipwa buku saba ili niingie jf kujibu posts!!! Waache wapuuzi waseme hivyo sio wewe.

Nitake radhi tafadhali.
 
Last edited by a moderator:
Mods wa JF wana kazi zo zenye heshima,hata siku moja huwez kuwakuta wanahangaika na wachumia tumbo na watu waliofeli kimaisha kama wewe na yericko,nani asiewafaham humu ndan kuwa nyinyi ni watu wa kujipendekeza kwa Wilbroad Slaa kwa kutumain eti akichukua nchi basi mtapata japo kazi ya ufagiz pale ikulu??mnaota ndoto za mchana sana,

THANKS MODS KWA KUPUUZA MATAPELI KAMA HAWA,SISI TUTAWAUNGA MKONO KATIKA KUWAPIGA VITA
Wewe Kama kweli ulikua mtetezi wa gesi Hebu jaribu kufikisha tena mguu Mtwara useme lolote usipoishia kubakwa mchumia tumbo wewe
 
Last edited by a moderator:
It's so sad siasa za Tanzania zimefikia kiwango cha wanafiki na matapeli kuwa ndiyo kioo katika jamii kisiasa.

Wanasiasa wenye maono na uchungu wa maisha katika kijamii wanazidi kuwa wachache huku waliobakia wakiwindwa ili wapotezwe kisiasa kwa sababu wanaziba pumzi na nafasi za wanafiki na matapeli wa kisiasa.

Wananchi wamelishwa na wanaendelea kulishwa sumu ya kisiasa na kufunikwa macho kiasi kwamba kura yao wanaiuza kwa wanasiasa wanafiki na matapeli.

This is political anarchy.

Siasa za Tanzania zimepata wenyewe!.
 
Mods wa JF wana kazi zo zenye heshima,hata siku moja huwez kuwakuta wanahangaika na wachumia tumbo na watu waliofeli kimaisha kama wewe na yericko,nani asiewafaham humu ndan kuwa nyinyi ni watu wa kujipendekeza kwa Wilbroad Slaa kwa kutumain eti akichukua nchi basi mtapata japo kazi ya ufagiz pale ikulu??mnaota ndoto za mchana sana,

THANKS MODS KWA KUPUUZA MATAPELI KAMA HAWA,SISI TUTAWAUNGA MKONO KATIKA KUWAPIGA VITA

Gubu lilianzia pale BEN alipokuambia si mwenzetu,na kweli unajionyesha ivo.ulitegwa ukategeka.nakumbuka ulifura ka mwanamke wa kizaramo kanyimwa kwnd ngomani.Kukosoa bavicha sio dhambi,ila kwny udini unataka laana.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom