UNAFIKI unatawala Bavicha...

UNAFIKI unatawala Bavicha...

Status
Not open for further replies.
hata slaa alipo mchukua mushumbushi mke wa mtu alisema mjadala umefungwa hivi hivi
 
chadema kamwe haiwez kuchukua ingawa kitabaki kuwa cha cha upinzan,kimepoteza malengo yake,hakina mbinu mpya zaid ya maandamano,binafsi sijaona tanzania mpya kutoka cdm

Huu ni ukweli...
 
Kuna vitu unaweza kupinga lakini sio uspy ambao Bavicha walikupongeza.

Huu ulaghai mnauzidisha sasa. Hata Henry Kilewo leo alikana kuwa hakuweka waraka kwenye website yake!

Ulaghai wenu unakaribia kikomo.

"Mida Eight anatumiwa na Slaa kugombanisha viongozi" - waraka

Leta ushahidi hapa !
 
Leta ushahidi hapa !

Ushahidi ni historia ambayo wana JF wote wanaijua.

Wewe ni mtumishi wa Dr. Slaa, hata mjumbe wa kamati Kuu Dr. Kitila Mkumbo analijua hilo na ameliandika kwenye waraka wake. Ushahidi gani zaidi unaotaka? Ulifurahia pongezi za kufanya kazi ya upelelezi, sasa unaona upelelezi wako umekuwa hukumu kwa boss wako Dr. Slaa unaanza kulialia.

Chadema ni chama kinachoendeshwa katika misingi ya kilaghai...
 
This is pathetic.Wana-JF wote wanaijua?Umefanya wapi utafiti?Speak for yourself!
 
This is pathetic.Wana-JF wote wanaijua?Umefanya wapi utafiti?Speak for yourself!

Umeanza kuandika kama mtu aliyepoteza fahamu.

Nani asiyejua sakata la Bavicha kuwafukuza the so called "masalia" lilivyofanyika na jinsi Mida Eight ulivyopewa credit kwa sakata hilo?

Waambie wana JF, upelelezi wako kwa "masalia" ulikuwa unaripoti kwa nani? na hadidu za rejea za upelelezi huo ulipewa na nani?
 
Dr ZeMarcopolo huyu pimbi asha mohamed ukimfuatilia vizuri akili yake inafanana jinga moja laitwa matola kwa 100% tulishamsoma.

Mwanaume anayeamua kujipa jina la kike ni lazima awe na matatizo kichwani. Mungu kamuumba mwanaume yeye anaona Mungu amekosea!!!
 
image.jpg Peoples,,,,,,,
 
Kuna unafiki Tanzania kama huu, "Ari mpya, nguvu mpya na kasi mpya" "Maisha bora kwa kila Mtanzania yanawezekana" "Tumethubutu tumeweza na sasa tunasonga mbele" kwi kwi kwi kwi MACCM banaa mapumbavu kweli!!!! LoL!!!!
 
Dr Hamza kazi unafanya saa ngapi na Lumumba unakwenda saa ngapi kupokea posho?

Chadema ni chama kinachoendeshwa katika misingi ya kilaghai.

Miezi kadhaa iliyopita jumuiya ya vijana ya Chadema, Bavicha, ilitangaza kumvua uongozi na kumfukuza uanachama aliyekuwa makamu mwenyekiti wa jumuiya hiyo Bi. Juliana Shonza. Kosa lake lilitangazwa kuwa ni "usaliti".

Aliyefichua "usaliti" huo ni Ben Saanane a.k.a Mida Eight ambaye alielezwa kuwa alipewa kazi maalum ya kuspy vijana wenzake.

Katika katiba na kanuni za chama HAKUNA kazi hii ya uspy aliyopewa Ben Saanane.

Vijana wengi wa bavicha hasa hapa JF walimpongeza Ben Saanane na kumuona shujaa. Mpaka leo uspy huo alioufanya Ben Saanane ndio jambo pekee linalomfanya aonekane insider wa Chadema.

Mkakati wa siri wa kumpa Ben Saanane kazi ya kuspy ndani ya chama haukuhusisha vikao halali vya chama. Ndio maana viongozi wakuu wa Chama na wajumbe wa Kamati Kuu hawakuwa na taarifa yoyote juu ya kazi hii ya Ben Saanane. Hii ilikuwa ni kazi binafsi ya Dr. Slaa. Ben Saanane alikiri kwenye kikao halali cha Bavicha kuwa alifanya kazi ya uspy na kikao hicho kikampongeza kwa kazi nzuri!

Ni UNAFIKI wa hali ya juu kuona vijana waliounga mkono uwepo wa mikakati ya siri ya Dr. Slaa kumtumia Ben Saanane wakipinga mwanazuoni Dr. Kitila Mkumbo kuwa na mikakati ya siri.

Je, kuna mtu mwenye hati miliki ya mikakati ya siri ndani ya Chadema?

Jumuiya ya vijana katika chama chochote ndio nguzo na dira ya chama. Unafiki huu unaotawala Bavicha unadhihirisha kuwa Chadema sasa haina dira na nguzo yake imeliwa na mchwa.
 
Pasco mzee wa Bonafide Genuine naamini unaweka hifadhi nzuri ya kumbukumbu ya haya yanayoendelea.

Hatua tuliyofika sasa Ben Saanane anakana kuhusika na upelelezi ndani ya Chama chake. tafadhali usisahau kuingiza ili kwenye kumbukumbu zako ili utakapobarikiwa kuandika kitabu cha historia ya sakata hili mambo kama haya yasikose.

Hili linawahusu waandishi wengine pia
maggid Ritz THE BIG SHOW
 
Kuna vitu unaweza kupinga lakini sio uspy ambao Bavicha walikupongeza.

Huu ulaghai mnauzidisha sasa. Hata Henry Kilewo leo alikana kuwa hakuweka waraka kwenye website yake!

Ulaghai wenu unakaribia kikomo.

"Mida Eight anatumiwa na Slaa kugombanisha viongozi" - waraka

umeombwa utoe ushahidi wa madai yako lakini unaendelea kuongea bila fact,

rejea majibu ya Ben
 
Ushahidi ni historia ambayo wana JF wote wanaijua.

Wewe ni mtumishi wa Dr. Slaa, hata mjumbe wa kamati Kuu Dr. Kitila Mkumbo analijua hilo na ameliandika kwenye waraka wake. Ushahidi gani zaidi unaotaka? Ulifurahia pongezi za kufanya kazi ya upelelezi, sasa unaona upelelezi wako umekuwa hukumu kwa boss wako Dr. Slaa unaanza kulialia.

Chadema ni chama kinachoendeshwa katika misingi ya kilaghai...

Unajua kiswahili?

umeambiwa lete ushahidi usio na shaka,

Mods simamieni huyu ndugu ahakikishe analeta ushahidi alioamriwa na bwana Ben aulete ndani ya masaa matatu.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom