Unafiki na chuki zinadhihirika katika migogoro ya kimataifa

Unafiki na chuki zinadhihirika katika migogoro ya kimataifa

Moja kwa moja.

Nimeona nije na mada hii baada ya kuona huu uzi leo Siasa Michezoni (Simba vs Al Ahly): Azam TV wanapaswa kuonywa, kuadhibiwa au kufungiwa! nikakuta za comments mbalimbali.

Nije katika hoja, kwamba mnasema football haipaswi kuchanganywa na siasa na mambo mengine kinyume cha football pamoja na kutoa povu kwa Azam Tv, sasa mbona Ulaya kwa wenye soka hilo jambo lilifanyika waziwazi na hamkujitokeza kupinga?

Nije katika mifano mgogoro wa Urusi na Ukraine tulishuhudia vilabu vikubwa Ulaya, wachezaji nk, waliweka wazi misimamo yao na hakuwa na shida wala chuki kama za baadhi ya wabongo wapuuzi haswa wa humu JF?

Picha za kusapoti uzi.View attachment 2788115

View attachment 2788119

Football haipaswi kuchanganywa na mambo mengine ila ikiwa kwa Ukraine na Mshoga ni fresh, Palestine ndio hawatakiwi? Nataka mseme bado hamjasema. View attachment 2788124

Uzi bado Unaendelea..

Cc : Maghayo yoga and others
SAYNGAY SAYNGAY SAYNGAY SAYNGAY SAYNGAY SAYNGAY SAYNGAY SAYNGAY SAYNGAY SAYNGAY SAYNGAY SAYNGAY SAYNGAY SAYNGAY SAYNGAY
 
SAYNGAY SAYNGAY SAYNGAY SAYNGAY SAYNGAY SAYNGAY SAYNGAY SAYNGAY SAYNGAY SAYNGAY SAYNGAY SAYNGAY SAYNGAY SAYNGAY SAYNGAY
Shida nini Jombis Mzee mbona unauandama huu uzi ?

Yaana ukivuta mibange yako hauna sehemu nyingine ya kutema mashudu zaidi ya humu ?

Naona mwezi mchanga tayari sasa usipojichunga hautotoboa wiki bila ban .
 
Kwisha usifanye mchezo na mimi tena. Tafuta mapicha yako mengine huko.

Maarass de mbusii
 
Kwisha usifanye mchezo na mimi tena. Tafuta mapicha yako mengine huko.

Maarass de mbusii
Ngoja kwanza nicheke 😂 😆 😂,

Niambie ulichofanya wewe Scumbabag . Mimi naweza kukuambia impact ya nilichofanya kwamba Maghayo hayupo tena.

Bange mbaya sana 😄 😆 🤣 eti unajiona umefanya kitu wakati haujafanya chochote Wala mods hawajanifanya chochote na ile kesi nyepesi mno sio ya kupewa Ban nilichofanya nimekuzuga tu kwa vile wewe bwege Kisha upate matumaini hewa ya bange nikamilishe misheni yangu.
 
Back
Top Bottom