Unafiki na chuki zinadhihirika katika migogoro ya kimataifa

Unafiki na chuki zinadhihirika katika migogoro ya kimataifa

#UziTayari nitakuja kusoma comments.

Nakaribisha majadiliano ya kistaarabu ,Maghayo usije hali ya kuwa ushapiga vitu vyako ukaharibu uzi.
Wauaji nyie mnauwa watoto na wanawake Congo DRC kwaajili ya Allah. Hiyo hamuoni mnaona tu mitoto ya Palestine kwasababu NI miarabu. Angalau basi hata weusi wenzenu Sudan lakini haiwaumi.

Damu za watoto na wanawake wa kongo kamwe hazitaenda hivi hivi Lazima mlipe mark my words.

WAUAJI NYIE
 
Wauaji nyie mnauwa watoto na wanawake Congo DRC kwaajili ya Allah. Hiyo hamuoni mnaona tu mitoto ya Palestine kwasababu NI miarabu. Angalau basi hata weusi wenzenu Sudan lakini haiwaumi.

Damu za watoto na wanawake wa kongo kamwe hazitaenda hivi hivi Lazima mlipe mark my words.

WAUAJI NYIE
Temana na huu uzi , you smell evil .... Scumbabag Maarrass!!!
 
Jombis Mungu anakuona. Ila dogo ulichonifanyia kwenye Id yangu ya busu la kenge ila poa Tu.
Halafu Kuna mwamba nimemfuma Leo jukwaa Fulani akikutukana vipi nideal nae au nikaushe ?
IMG_20250903_120447.jpg
 
Unachopaswa kufahamu katika haya maisha hakuna Jambo /kitu kibaya

Ubaya wa jambo au uzuri wa Jambo una tegemea na upende ulioegemea upande ulio egemea Ukiwa na power halafu upande huo wenye power uka amua kutangaza Duniani kuwa ushoga ni ruksa basi Dunia nzima baada ya miaka kadhaa itafuata sera hizo nakuona kwamba ni kitu Cha kawaida, ilhali for now Ina tambulika wazi kwamba ushoga ni ushetani ila ushoga ukipigwa msasa na wenye power na kupewa sura mpya basi ushoga utaonekana kuwa ni jambo Jema ,

Pia wakati huo huo Upande ambao usio na power ukisimamia katika haki na kuhubiri kwamba ushoga ni kitendo kibaya kwakuwa upande huo hauna power upande huo utaonekana kama ni wapiga makelele tu na wasio na utu Wala Huruma ,


So Dunia ndio Ilivyo suala la uzuri au Ubaya it depends na upende ulio uegemea ,

Mfano mdogo ni kuhusu suala la wizi

Kibaka akiiba kuku tu kwakuwa Hana power akikamatwa anauwawa ,

Haya njoo Kwa mafisadi wanakwapua Kila kukicha trillions of money na Bado wanadunda na wanapewa ulinzi juu na serikali,


So life isn't fair ukilijua Hilo huwezi pata shida
 
Haya temana na huu uzi na jichunge , Jana alifanya kosa kunihusisha na ID Fulani ikabaki kidogo mods wakule kichwa.

If you don't repent you will face a humiliation worse than death
Hahaha hahaha hahaha huhuu ulifeli siksi sasa unarisit maarass mbusii ufeli tena Tu Na mikwara usko mbuzi
 
Huyo hapo mchumba wangu na mambo yakienda vizuri tutafunga ndoa na nitakuwa na settled life. Shindwa wewe na wengine wote mnachuki na wivu. Munguanaenda kunijalia mke mwafrika bado mdogo kiumri na mrembo.
 
Hahaha hahaha hahaha huhuu ulifeli siksi sasa unarisit maarass mbusii ufeli tena Tu Na mikwara usko mbuzi
Nilete ushahidi gani uamini Mimi ni Mwanafunzi wa chuo tena degree holder nimemaliza mwaka huu ?

Mimi nashinda Jf na shuleni napasua au nikuwekee mavyeti yangu ya Ubest student ?
 
Huyo hapo mchumba wangu na mambo yakienda vizuri tutafunga ndoa na nitakuwa na settled life. Shindwa wewe na wengine wote mnachuki na wivu. Munguanaenda kunijalia mke mwafrika bado mdogo kiumri na mtembo.

View attachment 3484917
Huwezi kuwa na demu Wala mke wa kueleweka , hii picha ya gugo ngoja niichunguze.

Wewe huwezi pata pisi Kali labda wavuta bangi wenzio , utazeeka kiMangoto utaaishi kama Nyangwisi bila Mke wala Familia trust me.
 
Back
Top Bottom