Unafiki huu wa wanaharakati (CHADEMA), kiboko

Kilichonistua ni degree ya unafiki inayojidhihirisha kila kukicha ya viongozi wengi wa CHADEMA. Kupinga ufisadi kwa mdomo mpana halafu unaendesha Chama kwa pesa hizohizo huu ni unafiki wa ajabu! Tunajifunza nini kwa kiongozi wa Chama anayesema pesa ni pesa tu inategemea unaitumiaje!!? Ha! Kwahiyo unaweza kuuza nchi ilimradi unapewa pesa!!?

Mkuu nadhani hili si la kuuliza mbona lina majibu yake!! Tangia utoto sauti ya kwanza ni ya shilingi!
 
Naandika hili kwa masikitiko makubwa maana watani zangu CHADEMA siku zao zinahesabika kwa kasi inayonitisha sana. Mimi ni muumini wa uimara wa CCM kutegemea sana uimara na umakini wa upinzani nchini! Kwahiyo anguko la upinzani nchini si jambo zuri kwa CCM, nchi na demokrasia yetu, CHADEMA kikiwa moja ya taasisi muhimu kwenye ukiaji wa demokrasia hiyo!

Kilichonistua ni degree ya unafiki inayojidhihirisha kila kukicha ya viongozi wengi wa CHADEMA. Kupinga ufisadi kwa mdomo mpana halafu unaendesha Chama kwa pesa hizohizo huu ni unafiki wa ajabu! Tunajifunza nini kwa kiongozi wa Chama anayesema pesa ni pesa tu inategemea unaitumiaje!!? Ha! Kwahiyo unaweza kuuza nchi ilimradi unapewa pesa!!?

Niliwahi kutoa mfano mkubwa wa unafiki wa Katibu Mkuu wa CHADEMA Dr. Slaa (sikuhizi nasikia vijana wanamwita Mzee wa Gongo) akihubiri watu waichukie CCM.

Na wakati mwingine alihamasisha wachane na hata kuchoma kadi za CCM wakati yeye kabanisha yake tena kwa matunzo makubwa! Huu ni unafiki mkubwa! Vijana tunajifunza nini kwa unafiki huu!???!

Lakini niliwahi kusema Chadema kinaendeshwa kwa pesa kutoka nje, wakabwata wakinipa siku saba kukanusha, kabla mate hayajakauka, aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA Ndg. Zitto anakiri hadharani kuwa gazeti leo, ambacho ni chombo kikuu cha propaganda limeanzishwa kwa pesa kutoka nje!! Huwezi kujenga Chama kwa msingi wa uongo kuliko wa shetani halafu ukadhani chama kitadumu!!!

Utaratibu wa vyama kufukuza wanasiasa vijana kwenye vyama hivyo ni wa hovyo na unapaswa kukemewa! Vijana wasipokosea mnataka wakafanyie wapi makosa?? Vyama lazima vitumike kulea na kuwafumdisha vijana badala ya kuwafukuza. Toka watani zangu waanze kufukuza wamekuwa wakifukuza vijana tu hasa wanaohoji. Kuhoji ndani ya CHADEMA ni mwiko! Mtakumbuka ya Kafulila na vijana wengine wengi tu. Mtauliza we Nape!! Ndio mimi chama changu kilinisikiliza na ndio maana nipo sikufukuzwa! Ukomavu ni pamoja na kuwa tayari kusikiliza maoni tofauti na uliyonayo!!

Ushauri wa bure: Watani anzeni upya! Msione aibu fumua anza upya tutawasubiri mkomae msihofu kuachwa sana! Mmekutana na ajali ya kisiasa kutafuta mchawi sio dawa, tafuteni mmejikwaa wapi.

Hofu,hofu tu,hakuna kitu kingine hapo kwa CCM na wewe Nnape!!. Zitto ndani ya CHADEMA is beyond repairrable bro!!....Wewe ulisamehemewa siyo? Ungejaribu kumkashfu Mwenyekiti wako JK na Katibu Mkuu wake Kinana a.k.a Tusker Lager a.k.a Mzee wa kuangamiza Tembo wa Bongoland kama tufanyavyo sisi huku tulio nje ya CCM na kutaka kutumia mbinu za ovyo zilizo kinyume na Katiba na Miongozo ya chama kutaka kuung'oa uongozi halali wa chama kama kijana mwenzio ZZK na wenzake anavyofanya ktk chama chake uone hata kama ungekuwa unapumua leo!!...Au umesahau ya Kolimba? Aboud Jumbe?

Nnape, CHADEMA is still even more stronger than before,nawashauri ongezeni hofu zenu zaidi huko CCM kwa sababu uwepo na uhai wa chama chenu unafikia ukingoni kama ilivyokufa KANU ile ya Kenya ya Daniel Arap Moi!!....Hizi ni enzi na zama zingine kabisa kaka,ni enzi za mwamko mpya wa kizazi kingine. Hizi si enzi za CUF na NCCR - Mageuzi ya kina Mrema na Marando wa wakati ule ambayo CCM ilitumia mbinu hizihizi kuu kudhoofisfa upinzani wa kweli!!

DAU la kuwanunua kina DR SLAA na Mbowe Nnape sijui kama mtalifikia this time aisee.Kumbe huwa mnawapa mapesa badala ya kukisalimisha chama mikononi mwenu,manyang'au ya CCM badala yake wanatumia pesa hizohizo kukijenga chama na leo mnawaita mafisadi? Sasa nimeamini kabisa maneno ya Mbowe ya kwamba unaenda KULA CCM na KURA YAKO CHADEMA alifnya yeye mwenyewe kwa vitendo!!,na bado mwaka huu kuna uchaguzi wa serikali za mitaa na mwakani uchaguzi mkuu,watakula sana,tutakula sana toka kwa MaCCM na fedha za unga na meno ya Tembo!!....Ila naona ZZK na wenzake hii sera ya CHADEMA ya KULA CCM na KURA AU JENGA CHADEMA imemshinda sasa anasurubiwa na leo unamtetea; Duuh hii ni kali kwelikweli, arudishe tu hizo pesa zenu,that is simple as that!!

Bei ya DR SLAA na MBOWE ni kubwa mno hamtaiweza,ni KIFO CHA CCM ASILI,baaaaasi!!
 
Lakini niliwahi kusema Chadema kinaendeshwa kwa pesa kutoka nje, wakabwata wakinipa siku saba kukanusha, kabla mate hayajakauka, aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA Ndg. Zitto anakiri hadharani kuwa gazeti leo, ambacho ni chombo kikuu cha propaganda limeanzishwa kwa pesa kutoka nje!! Huwezi kujenga Chama kwa msingi wa uongo kuliko wa shetani halafu ukadhani chama kitadumu!!!

Ewe mwenezi naona "unaenea" vilivyo.........CHADEMA ina gazeti kumbe?
 
Naandika hili kwa masikitiko makubwa maana watani zangu CHADEMA siku zao zinahesabika kwa kasi inayonitisha sana. Mimi ni muumini wa uimara wa CCM kutegemea sana uimara na umakini wa upinzani nchini! Kwahiyo anguko la upinzani nchini si jambo zuri kwa CCM, nchi na demokrasia yetu, CHADEMA kikiwa moja ya taasisi muhimu kwenye ukiaji wa demokrasia hiyo!

Kilichonistua ni degree ya unafiki inayojidhihirisha kila kukicha ya viongozi wengi wa CHADEMA. Kupinga ufisadi kwa mdomo mpana halafu unaendesha Chama kwa pesa hizohizo huu ni unafiki wa ajabu! Tunajifunza nini kwa kiongozi wa Chama anayesema pesa ni pesa tu inategemea unaitumiaje!!? Ha! Kwahiyo unaweza kuuza nchi ilimradi unapewa pesa!!?

Niliwahi kutoa mfano mkubwa wa unafiki wa Katibu Mkuu wa CHADEMA Dr. Slaa (sikuhizi nasikia vijana wanamwita Mzee wa Gongo) akihubiri watu waichukie CCM.

Na wakati mwingine alihamasisha wachane na hata kuchoma kadi za CCM wakati yeye kabanisha yake tena kwa matunzo makubwa! Huu ni unafiki mkubwa! Vijana tunajifunza nini kwa unafiki huu!???!

Lakini niliwahi kusema Chadema kinaendeshwa kwa pesa kutoka nje, wakabwata wakinipa siku saba kukanusha, kabla mate hayajakauka, aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA Ndg. Zitto anakiri hadharani kuwa gazeti leo, ambacho ni chombo kikuu cha propaganda limeanzishwa kwa pesa kutoka nje!! Huwezi kujenga Chama kwa msingi wa uongo kuliko wa shetani halafu ukadhani chama kitadumu!!!

Utaratibu wa vyama kufukuza wanasiasa vijana kwenye vyama hivyo ni wa hovyo na unapaswa kukemewa! Vijana wasipokosea mnataka wakafanyie wapi makosa?? Vyama lazima vitumike kulea na kuwafumdisha vijana badala ya kuwafukuza. Toka watani zangu waanze kufukuza wamekuwa wakifukuza vijana tu hasa wanaohoji. Kuhoji ndani ya CHADEMA ni mwiko! Mtakumbuka ya Kafulila na vijana wengine wengi tu. Mtauliza we Nape!! Ndio mimi chama changu kilinisikiliza na ndio maana nipo sikufukuzwa! Ukomavu ni pamoja na kuwa tayari kusikiliza maoni tofauti na uliyonayo!!

Ushauri wa bure: Watani anzeni upya! Msione aibu fumua anza upya tutawasubiri mkomae msihofu kuachwa sana! Mmekutana na ajali ya kisiasa kutafuta mchawi sio dawa, tafuteni mmejikwaa wapi.
Wewe ndo mnafiki nambari moja. Zile siku tisini ulizotoa kwa akina Lowassa ziliishia wapi?
 
CCM ipo ipo tu kwa sababu ya nguvu ya dola!! hilo halipingiki kwa mujibu wa mwenyekiti wenu wa chama!! Lakini ngoja tusubiri ngoma ijayo ya nani mpeperusha bendera ya urais! hapo lazima itapasuka tu na itaibuka CCM kulia na kushoto! Kwa kuwa mmekuwa mnatesa vyama vya siasa kwa hila na Mungu atawalipa hapo hapo na mtamjua yeye ni nani? eti chama cha milele??!!
 
Huna jipya nepi kafie mbele na magamba yenu yaliowang'ang'ania kama mluba!!
 
Kwa upande mmoja nakubaliana na Nape hasa kuhusiana na suala la kufukuzana katika Chama na katika hili suala la baadhi ya watu kutaka kuhodhi fikra ndani ya Chama hii kwakweli si nzuri kwa afya na ustawi wa Chama.

Ila kwa upande mwingine sikubaliani ikiwa anaamini kuwa Chadema itasambaratika hii si kweli hata kidogo. Kwa mtu yeyote aliyesoma political science ataelewa nini ni significance/implications wa mnyukano unaoendelea ndani ya Chama. Kuna njia nyingi sana za kuleta mabadiliko katika taasisi yoyote ile Duniani na migogoro ni moja wapo ya hizo njia.

Ninaamini ndani ya Chama kuna watu walio-reasonable na intelligent enough so wata-handle hii issue kwa uweledi na tahadhari kubwa ambapo siku ya siku Chadema itaibuka kutoka katika huu mgogoro ikiwa imara zaidi kuliko wakati wote.

Mkakati wetu wa kuitoa CCM madarakani 2015 bado upo pale pale ilikuwa ni lazima kwanza Chama kianze kujichekecha chenyewe kwanza pumba ziondoke na chenga/mchele ubakie na huu mgogoro unaoendelea ndio njia sahihi ya kuendesha mchujo huo.

Nikupongeze kwa namna ulivyochangia. Licha ya kuweka wazi kuwa wewe ni mwanachama wa CHADEMA lakini umechangia bila papara ama ghadhabu.

Kama Jf kungekuwa na watu wa aina yako katika uchangiaji basi lingekuwa jukwaa bora kabisa.

Maana wengine humu ndani huwa hawana muda wa ku-analyse issue ila ni attacks na matusi.

Chukua LIKE yangu ......
 
"Na wakati mwingine alihamasisha wachane na hata kuchoma kadi za CCM wakati yeye kabanisha yake tena kwa matunzo makubwa! Huu ni unafiki mkubwa! Vijana tunajifunza nini kwa unafiki huu!???!" sijaelewa haya matunzo makubwa ni ya kiasi gani na kwa nini? ina maana Dr. bado analipia kadi yake ya CCM?
 
Naandika hili kwa masikitiko makubwa maana watani zangu CHADEMA siku zao zinahesabika kwa kasi inayonitisha sana. Mimi ni muumini wa uimara wa CCM kutegemea sana uimara na umakini wa upinzani nchini! Kwahiyo anguko la upinzani nchini si jambo zuri kwa CCM, nchi na demokrasia yetu, CHADEMA kikiwa moja ya taasisi muhimu kwenye ukiaji wa demokrasia hiyo!

Kilichonistua ni degree ya unafiki inayojidhihirisha kila kukicha ya viongozi wengi wa CHADEMA. Kupinga ufisadi kwa mdomo mpana halafu unaendesha Chama kwa pesa hizohizo huu ni unafiki wa ajabu! Tunajifunza nini kwa kiongozi wa Chama anayesema pesa ni pesa tu inategemea unaitumiaje!!? Ha! Kwahiyo unaweza kuuza nchi ilimradi unapewa pesa!!?

Niliwahi kutoa mfano mkubwa wa unafiki wa Katibu Mkuu wa CHADEMA Dr. Slaa (sikuhizi nasikia vijana wanamwita Mzee wa Gongo) akihubiri watu waichukie CCM.

Na wakati mwingine alihamasisha wachane na hata kuchoma kadi za CCM wakati yeye kabanisha yake tena kwa matunzo makubwa! Huu ni unafiki mkubwa! Vijana tunajifunza nini kwa unafiki huu!???!

Lakini niliwahi kusema Chadema kinaendeshwa kwa pesa kutoka nje, wakabwata wakinipa siku saba kukanusha, kabla mate hayajakauka, aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA Ndg. Zitto anakiri hadharani kuwa gazeti leo, ambacho ni chombo kikuu cha propaganda limeanzishwa kwa pesa kutoka nje!! Huwezi kujenga Chama kwa msingi wa uongo kuliko wa shetani halafu ukadhani chama kitadumu!!!

Utaratibu wa vyama kufukuza wanasiasa vijana kwenye vyama hivyo ni wa hovyo na unapaswa kukemewa! Vijana wasipokosea mnataka wakafanyie wapi makosa?? Vyama lazima vitumike kulea na kuwafumdisha vijana badala ya kuwafukuza. Toka watani zangu waanze kufukuza wamekuwa wakifukuza vijana tu hasa wanaohoji. Kuhoji ndani ya CHADEMA ni mwiko! Mtakumbuka ya Kafulila na vijana wengine wengi tu. Mtauliza we Nape!! Ndio mimi chama changu kilinisikiliza na ndio maana nipo sikufukuzwa! Ukomavu ni pamoja na kuwa tayari kusikiliza maoni tofauti na uliyonayo!!

Ushauri wa bure: Watani anzeni upya! Msione aibu fumua anza upya tutawasubiri mkomae msihofu kuachwa sana! Mmekutana na ajali ya kisiasa kutafuta mchawi sio dawa, tafuteni mmejikwaa wapi.

Sehemu kubwa ya Good governance ni pamoja na Uwajibikaji, Uwazi, Na kufanya Maamuzi. Ukiwa Coward / fisi huwezi kufanya maamuzi. Ninyi mmeshindwa kufanya maamuzi sasa kimbelembele kinakuja CHADEMA. Chaema wako imara na wanastahili klupongezwa kwa kuweza kufanya maamuzi magumu. Kwa fikra zako za kitoto ni kuwa wamekosea lakini nikuambie ndugu umebugi. Maamuzi yaliyofanyika yana tafiti na evidence mbalimbali za phyzical na za kimazingira. Wewe hangaika na kwenu walarushawa wakubwa ninyi.
 
Wewe ndo mnafiki nambari moja. Zile siku tisini ulizotoa kwa akina Lowassa ziliishia wapi?

wawezer wapi hawa vibogoyo wamebaki kuhongahonga tu na kupandikiza mamluki ili wapate relief. Hawa Magamba hawawezisimama kwa haki wakaweza zaidi ya kutumia wachumia tumbo kama Zitto na Washirika wake. Hata siku moja CCM hawawezi kusimama na chadema katika issue ya governance. CCM ni kuua, kutesa, kununua, kuhonga, kutumia polisi. TISS, mabomu, na kila aina ya rushwa ili mradi tu waweze kufaikisha ya kwao. ZITTO kashtukiziwa ndo Nape anajifanya kupost uharo wake hapa. Asimamie mawaziri mizigo waondoke na awaache CDM wamshughulikie huyu papasi ZITTO.
 
mpaka sasa chadema hakina hadhi ya kuitwa chama cha upinzani bali ni kamradi ka watu flani
 
Nape huu ni msimamo wa Riziwani au ni Msimamo wa Lowassa???????????????

Naandika hili kwa masikitiko makubwa maana watani zangu CHADEMA siku zao zinahesabika kwa kasi inayonitisha sana. Mimi ni muumini wa uimara wa CCM kutegemea sana uimara na umakini wa upinzani nchini! Kwahiyo anguko la upinzani nchini si jambo zuri kwa CCM, nchi na demokrasia yetu, CHADEMA kikiwa moja ya taasisi muhimu kwenye ukiaji wa demokrasia hiyo!

Kilichonistua ni degree ya unafiki inayojidhihirisha kila kukicha ya viongozi wengi wa CHADEMA. Kupinga ufisadi kwa mdomo mpana halafu unaendesha Chama kwa pesa hizohizo huu ni unafiki wa ajabu! Tunajifunza nini kwa kiongozi wa Chama anayesema pesa ni pesa tu inategemea unaitumiaje!!? Ha! Kwahiyo unaweza kuuza nchi ilimradi unapewa pesa!!?

Niliwahi kutoa mfano mkubwa wa unafiki wa Katibu Mkuu wa CHADEMA Dr. Slaa (sikuhizi nasikia vijana wanamwita Mzee wa Gongo) akihubiri watu waichukie CCM.

Na wakati mwingine alihamasisha wachane na hata kuchoma kadi za CCM wakati yeye kabanisha yake tena kwa matunzo makubwa! Huu ni unafiki mkubwa! Vijana tunajifunza nini kwa unafiki huu!???!

Lakini niliwahi kusema Chadema kinaendeshwa kwa pesa kutoka nje, wakabwata wakinipa siku saba kukanusha, kabla mate hayajakauka, aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA Ndg. Zitto anakiri hadharani kuwa gazeti leo, ambacho ni chombo kikuu cha propaganda limeanzishwa kwa pesa kutoka nje!! Huwezi kujenga Chama kwa msingi wa uongo kuliko wa shetani halafu ukadhani chama kitadumu!!!

Utaratibu wa vyama kufukuza wanasiasa vijana kwenye vyama hivyo ni wa hovyo na unapaswa kukemewa! Vijana wasipokosea mnataka wakafanyie wapi makosa?? Vyama lazima vitumike kulea na kuwafumdisha vijana badala ya kuwafukuza. Toka watani zangu waanze kufukuza wamekuwa wakifukuza vijana tu hasa wanaohoji. Kuhoji ndani ya CHADEMA ni mwiko! Mtakumbuka ya Kafulila na vijana wengine wengi tu. Mtauliza we Nape!! Ndio mimi chama changu kilinisikiliza na ndio maana nipo sikufukuzwa! Ukomavu ni pamoja na kuwa tayari kusikiliza maoni tofauti na uliyonayo!!

Ushauri wa bure: Watani anzeni upya! Msione aibu fumua anza upya tutawasubiri mkomae msihofu kuachwa sana! Mmekutana na ajali ya kisiasa kutafuta mchawi sio dawa, tafuteni mmejikwaa wapi.
 
Toa boriti jichoni mwako ndo ndipo utoe kibanzi kwenye jicho la mwenzako, Vyama lazima vitumike kulea na kuwafundisha vijana badala ya kuwafukuza my foot, siku zote ni heri ya mlozi kuliko mnafiki je chama chako kilimfanyiaje mwakilishi kijana toka Zanzibar aliyeenda kinyume na matakwa ya chama? practice what you preach pliiiiiz, siyo kupiga kelele na kujifanya mtetezi wa vijana walofanywa jobless na serikali ya chama chako, sana sana unalia kilio cha mamba maji kwenda na machozi, maana aliyekuwa anawaeleza mambo ya chumbani katunguliwa, hence you are crying for your own political interest.
 
Naandika hili kwa masikitiko makubwa maana watani zangu CHADEMA siku zao zinahesabika kwa kasi inayonitisha sana. Mimi ni muumini wa uimara wa CCM kutegemea sana uimara na umakini wa upinzani nchini! Kwahiyo anguko la upinzani nchini si jambo zuri kwa CCM, nchi na demokrasia yetu, CHADEMA kikiwa moja ya taasisi muhimu kwenye ukiaji wa demokrasia hiyo!

Kilichonistua ni degree ya unafiki inayojidhihirisha kila kukicha ya viongozi wengi wa CHADEMA. Kupinga ufisadi kwa mdomo mpana halafu unaendesha Chama kwa pesa hizohizo huu ni unafiki wa ajabu! Tunajifunza nini kwa kiongozi wa Chama anayesema pesa ni pesa tu inategemea unaitumiaje!!? Ha! Kwahiyo unaweza kuuza nchi ilimradi unapewa pesa!!?

Niliwahi kutoa mfano mkubwa wa unafiki wa Katibu Mkuu wa CHADEMA Dr. Slaa (sikuhizi nasikia vijana wanamwita Mzee wa Gongo) akihubiri watu waichukie CCM.

Na wakati mwingine alihamasisha wachane na hata kuchoma kadi za CCM wakati yeye kabanisha yake tena kwa matunzo makubwa! Huu ni unafiki mkubwa! Vijana tunajifunza nini kwa unafiki huu!???!

Lakini niliwahi kusema Chadema kinaendeshwa kwa pesa kutoka nje, wakabwata wakinipa siku saba kukanusha, kabla mate hayajakauka, aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA Ndg. Zitto anakiri hadharani kuwa gazeti leo, ambacho ni chombo kikuu cha propaganda limeanzishwa kwa pesa kutoka nje!! Huwezi kujenga Chama kwa msingi wa uongo kuliko wa shetani halafu ukadhani chama kitadumu!!!

Utaratibu wa vyama kufukuza wanasiasa vijana kwenye vyama hivyo ni wa hovyo na unapaswa kukemewa! Vijana wasipokosea mnataka wakafanyie wapi makosa?? Vyama lazima vitumike kulea na kuwafumdisha vijana badala ya kuwafukuza. Toka watani zangu waanze kufukuza wamekuwa wakifukuza vijana tu hasa wanaohoji. Kuhoji ndani ya CHADEMA ni mwiko! Mtakumbuka ya Kafulila na vijana wengine wengi tu. Mtauliza we Nape!! Ndio mimi chama changu kilinisikiliza na ndio maana nipo sikufukuzwa! Ukomavu ni pamoja na kuwa tayari kusikiliza maoni tofauti na uliyonayo!!

Ushauri wa bure: Watani anzeni upya! Msione aibu fumua anza upya tutawasubiri mkomae msihofu kuachwa sana! Mmekutana na ajali ya kisiasa kutafuta mchawi sio dawa, tafuteni mmejikwaa wapi.

It's amazing Nape unashabikia anguko la CDM halafu at the same time unsema anguko la upinzani sio zuri. Mmeona Zitto hana chake tena ndani ya cdm ndiyo mmeamua kukoleza kuni sababu hakuna mamluki tena wa kuvuruga upinzani (kwa hivi sasa). Na hizi furaha zenu soon zitawageuka maana ndani ya ccm tunaona makundi ya wazi kabisa amabayo yanatokota na mdua si mrefu kitu kitaiva ref Lowassa et al! Unaongelea unafiki wakati zile siku 90 mlizotoa za kuondoa ama wajiondoe mafisadi sizilipita kitambo mpaka ukaipotezea hiyo issue sasa nani mnafiki hapa kaka yangu. Nyani haoni .....
 
Kwa bahati (mbaya/nzuri) uko sahihi zaidi ya asilimia 70....nia aibu kwa KUB kukiri kupokea fedha kwa watu wanaotuhumiwa na ufisadi halafu na kutoa majibu mepesi kuwa pesa ni pesa...ni aibu sana, huwezi kuwa na moral authority ya kumkemea akupaye mkate ni ngumu (MPUUZI NDIO ATABISHA), ningependa ufanunuzi madhubuti kutoka CDM kwa hili.
Vyovyote itakavyokuwa Mbowe ni busara kujiuzulu, hatutegemei mtakatifu kuongoza hiko chama lakini kwa hali ilivyo ni busara Mbowe kujiuzulu kabla au baada ya Zitto kung'oka (kama itawezekana).

Wilbroad Slaa/Tumaini Makene/CDM jibu hii
 
Mleta maaada hii hana hata uelewa unaoendana na wakati,unajua ni bora utumie muda mwingi kutafakari kabla ya kuleta uzi hapa ili angalu ulete jambo ambalo hata kama lina mapungufu basi yawe ya kibinadamu,ukikurupuka utaonekana huna hoja ya maana na pengine kuonekana ---------
 
Naandika hili kwa masikitiko makubwa maana watani zangu CHADEMA siku zao zinahesabika kwa kasi inayonitisha sana. Mimi ni muumini wa uimara wa CCM kutegemea sana uimara na umakini wa upinzani nchini! Kwahiyo anguko la upinzani nchini si jambo zuri kwa CCM, nchi na demokrasia yetu, CHADEMA kikiwa moja ya taasisi muhimu kwenye ukiaji wa demokrasia hiyo!

Kilichonistua ni degree ya unafiki inayojidhihirisha kila kukicha ya viongozi wengi wa CHADEMA. Kupinga ufisadi kwa mdomo mpana halafu unaendesha Chama kwa pesa hizohizo huu ni unafiki wa ajabu! Tunajifunza nini kwa kiongozi wa Chama anayesema pesa ni pesa tu inategemea unaitumiaje!!? Ha! Kwahiyo unaweza kuuza nchi ilimradi unapewa pesa!!?

Niliwahi kutoa mfano mkubwa wa unafiki wa Katibu Mkuu wa CHADEMA Dr. Slaa (sikuhizi nasikia vijana wanamwita Mzee wa Gongo) akihubiri watu waichukie CCM.

Na wakati mwingine alihamasisha wachane na hata kuchoma kadi za CCM wakati yeye kabanisha yake tena kwa matunzo makubwa! Huu ni unafiki mkubwa! Vijana tunajifunza nini kwa unafiki huu!???!

Lakini niliwahi kusema Chadema kinaendeshwa kwa pesa kutoka nje, wakabwata wakinipa siku saba kukanusha, kabla mate hayajakauka, aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA Ndg. Zitto anakiri hadharani kuwa gazeti leo, ambacho ni chombo kikuu cha propaganda limeanzishwa kwa pesa kutoka nje!! Huwezi kujenga Chama kwa msingi wa uongo kuliko wa shetani halafu ukadhani chama kitadumu!!!

Utaratibu wa vyama kufukuza wanasiasa vijana kwenye vyama hivyo ni wa hovyo na unapaswa kukemewa! Vijana wasipokosea mnataka wakafanyie wapi makosa?? Vyama lazima vitumike kulea na kuwafumdisha vijana badala ya kuwafukuza. Toka watani zangu waanze kufukuza wamekuwa wakifukuza vijana tu hasa wanaohoji. Kuhoji ndani ya CHADEMA ni mwiko! Mtakumbuka ya Kafulila na vijana wengine wengi tu. Mtauliza we Nape!! Ndio mimi chama changu kilinisikiliza na ndio maana nipo sikufukuzwa! Ukomavu ni pamoja na kuwa tayari kusikiliza maoni tofauti na uliyonayo!!

Ushauri wa bure: Watani anzeni upya! Msione aibu fumua anza upya tutawasubiri mkomae msihofu kuachwa sana! Mmekutana na ajali ya kisiasa kutafuta mchawi sio dawa, tafuteni mmejikwaa wapi.

Haaaah kweli nyani haoni kundule. Ninyi magamba si ndio mkihojiwa na kukosolewa mnakuja na majibu mepesi tu kwamba ni uchochezi ama ni kuhatarisha amani ya nchi????
 
Unafiki wa ccm ni huu kabla ya kifo cha baba yetu mzee dr waziri wa pesa, ccm walisema ni miongoni mwa mawaziri mizigo baada ya kifo tumepoteza mtu muhimu sana??? Connect ze dot, then kajipange uje na majibu acha kuangalia cdm wanafanya nini yako ya kuvua gamba yaliishia wapi cdm inafanya kweli hahahaa!!
 
Mkuu, kwani wewe hulioni anguko la CHADEMA? Au mpaka kwenye ballot box ndo utathibitisha kuwa hakika hiki chama kimesambaratika. Huwezi kumfukuza ZITTO bado kajifariji kuwa chama kiko imara

Chama kinachomtegemea mtu mmoja ni chama mfu, so utabiri wako kuwa CDM kitakufa coz of ZZK ni utabiri usio na mashiko, vice versa is true to ZZK coz bila CDM he is nothing, ndo maana anaendelea kushikilia dead straws if he is somebody, basi aende anapoenda na wafuasi wake, mwanachama yeyote wa CDM anayemtegemea ZZK, Dr. Slaa, Mbowe, Tundu Lissu and the rest huyo si mwanachama wa CDM kama taasisi bali mwanachama wa an individual person na chama hakiendeshwi na wala hakitakua kwa misingi hiyo, so you should learn.
 
Back
Top Bottom