Unafiki huu wa wanaharakati (CHADEMA), kiboko

Unafiki huu wa wanaharakati (CHADEMA), kiboko

Mzee aliyekaa chini ua mti anaona mbali kuliko kijana aliyejuu ya mti!
wewe unayetukuza wazee na uzee leo,ndiye huyuhuyu uliyewahi kuwatukana kuwa wanasubiri kufa pale walipopaza sauti Zao kutaka serikali 3 kinyume na msimamo wa chama chenu.si unakumbuka vizuri?
 
Mi mpaka leo sijui kosa kubwa la Zitto ni lipi, nasikia tu amesaliti ameuza majimbo sasa kama mtu mmoja amewanyuka kiasi hiki mbona mnaamka jua likiwa nje!!! Uchaguzi umefanyika 2010 nyie mnaongelea usaliti 2014......u don't make sense kwa kweli..ila najua wengi wenu hamna hata kadi ya CDM na usikute hukupiga hata kura mnakalia mdomo mrefuuuuu. Tuambie CDM inawanachama wangapi wenye kadi mi najua CCM wako 5mil na ushee. Muacheni kijana afanye siasa safi nyie kaongozeni night club
 
Kumtukana mwenyekiti au katibu si kosa kubwa kama kuanzisha chama ndani ya Chama,kusameheana kupo na ndo maana Dr.Mwakyembe yupo leo na anachapa kazi,na Nape anakamua kwenye Chama na amekuwa matarajio mapya kwa vijana,tatizo lenu viongozi waandamizi wote wanatoka kanda moja.Mpare Mnyika Viongozi wanamtumia kama condom.
 
Bila kukupepesa macho wanatakiwa kuwaomba radhi watanzania na wale wote walioathirika na propaganda zao. Inabidi wachukuliwe hatua manake unafiki wao umegharimu maisha ya watu ili kusitokee tena.
Majibu ya Mbowe kwa hakika si ya kiungwa na kinyume na itikadi ya chama chake, anatakiwa ajipime mwenyewe na achukue hatua atakayoona inafaa. Kiongozi kutoka na subordinate wakati anaviapo si sawa, ni ushahidi tosha wa rushwa za ngono.

Hiyo rushwa ya ngono alikuomba wewe mdada?
 
Naandika hili kwa masikitiko makubwa maana watani zangu CHADEMA siku zao zinahesabika kwa kasi inayonitisha sana. Mimi ni muumini wa uimara wa CCM kutegemea sana uimara na umakini wa upinzani nchini! Kwahiyo anguko la upinzani nchini si jambo zuri kwa CCM, nchi na demokrasia yetu, CHADEMA kikiwa moja ya taasisi muhimu kwenye ukiaji wa demokrasia hiyo!

Kilichonistua ni degree ya unafiki inayojidhihirisha kila kukicha ya viongozi wengi wa CHADEMA. Kupinga ufisadi kwa mdomo mpana halafu unaendesha Chama kwa pesa hizohizo huu ni unafiki wa ajabu! Tunajifunza nini kwa kiongozi wa Chama anayesema pesa ni pesa tu inategemea unaitumiaje!!? Ha! Kwahiyo unaweza kuuza nchi ilimradi unapewa pesa!!?

Niliwahi kutoa mfano mkubwa wa unafiki wa Katibu Mkuu wa CHADEMA Dr. Slaa (sikuhizi nasikia vijana wanamwita Mzee wa Gongo) akihubiri watu waichukie CCM.

Na wakati mwingine alihamasisha wachane na hata kuchoma kadi za CCM wakati yeye kabanisha yake tena kwa matunzo makubwa! Huu ni unafiki mkubwa! Vijana tunajifunza nini kwa unafiki huu!???!

Lakini niliwahi kusema Chadema kinaendeshwa kwa pesa kutoka nje, wakabwata wakinipa siku saba kukanusha, kabla mate hayajakauka, aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA Ndg. Zitto anakiri hadharani kuwa gazeti leo, ambacho ni chombo kikuu cha propaganda limeanzishwa kwa pesa kutoka nje!! Huwezi kujenga Chama kwa msingi wa uongo kuliko wa shetani halafu ukadhani chama kitadumu!!!

Utaratibu wa vyama kufukuza wanasiasa vijana kwenye vyama hivyo ni wa hovyo na unapaswa kukemewa! Vijana wasipokosea mnataka wakafanyie wapi makosa?? Vyama lazima vitumike kulea na kuwafumdisha vijana badala ya kuwafukuza. Toka watani zangu waanze kufukuza wamekuwa wakifukuza vijana tu hasa wanaohoji. Kuhoji ndani ya CHADEMA ni mwiko! Mtakumbuka ya Kafulila na vijana wengine wengi tu. Mtauliza we Nape!! Ndio mimi chama changu kilinisikiliza na ndio maana nipo sikufukuzwa! Ukomavu ni pamoja na kuwa tayari kusikiliza maoni tofauti na uliyonayo!!

Ushauri wa bure: Watani anzeni upya! Msione aibu fumua anza upya tutawasubiri mkomae msihofu kuachwa sana! Mmekutana na ajali ya kisiasa kutafuta mchawi sio dawa, tafuteni mmejikwaa wapi.

Mipango yenu na mzito kabwela haitafanikiwa! Anyway ngudu hawajambo?
 
Nepi umesahau mwigulu na chama chenu mlivyopanga kutumia neno ugaidi kukifuta chadema? Mkashindwa.cdm haitakufa kama nccr sababu kwa mfumo uliopo kuna wabunge wengi na madiwani wanasubiri kuingia cdm, hata usalama wa taifa wameshaona bila chadema hakuna tanzania huru, nakupa pole sana sababu rais ajae lazima atoke kaskazini lowasa au slaa sijui utapitia dirisha gani, mwenzako kinana yuko smart anatoka arusha ingawa ni msomali anajua lowasa akiwa rais yuko safe lakini wewe inabidi ukajiunge na ffrelimo polo na pole saana.
 
Masikini anasikitikia zile 3b walizohonga Zito kuiua chadema. Ndo maana mlitamba chadema itasambaratika kabla ya 2015? Mmebugi meeeeen, it is stronger than an ox it may kill any son of a bitch.
 
Achana na kibanzi kwny jicho la CDM anza kutoa boriti jichoni mwako maana mwerevu anaweza kuona kijacho hapo kwenu muda si mrefu LOWASA atatuletea maamuzi magumu,hao vijana bila kufundishwa adabu hawawezi kijifunza mwisho wao watakua wazee wapambavu.
 
Nape kumbe upo? happy New year
chadema wamekusikia ingawa hujafanya utafiti wa kutosha wa hayo ulioandika
kama nyie mlivomfukuza mbunge wa zanzibar hakuna aliesema mlimwonea,
katiba ya chama ilizingatiwa,sawa na chadema kwa Zitto
Vipi Lowassa na spidi yake ya kuwania urais mbona hamumfukuzi chama?
si kakiuka katiba ya chama chenu?
Vipi suala la kuvua gamba kwa viongozi wenu??
 
kwani Lowasa ni mwanachama wa chama gani? Huku ni kukata tamaa mkuu. Maana umechunguliaaaa ukagundua kuwa ndani ya chama chako hakuna mtu wa kukivusha kutwaa nchi badala yake unadandia wanasiasa wa ccm

Kosa kubwa ni kumpa talaka ya lazima ZITTO, this time siyo kuchezea tope ni KINYESI!!!
 
Naandika hili kwa masikitiko makubwa maana watani zangu CHADEMA siku zao zinahesabika kwa kasi inayonitisha sana. Mimi ni muumini wa uimara wa CCM kutegemea sana uimara na umakini wa upinzani nchini! Kwahiyo anguko la upinzani nchini si jambo zuri kwa CCM, nchi na demokrasia yetu, CHADEMA kikiwa moja ya taasisi muhimu kwenye ukiaji wa demokrasia hiyo!

Kilichonistua ni degree ya unafiki inayojidhihirisha kila kukicha ya viongozi wengi wa CHADEMA. Kupinga ufisadi kwa mdomo mpana halafu unaendesha Chama kwa pesa hizohizo huu ni unafiki wa ajabu! Tunajifunza nini kwa kiongozi wa Chama anayesema pesa ni pesa tu inategemea unaitumiaje!!? Ha! Kwahiyo unaweza kuuza nchi ilimradi unapewa pesa!!?

Niliwahi kutoa mfano mkubwa wa unafiki wa Katibu Mkuu wa CHADEMA Dr. Slaa (sikuhizi nasikia vijana wanamwita Mzee wa Gongo) akihubiri watu waichukie CCM.

Na wakati mwingine alihamasisha wachane na hata kuchoma kadi za CCM wakati yeye kabanisha yake tena kwa matunzo makubwa! Huu ni unafiki mkubwa! Vijana tunajifunza nini kwa unafiki huu!???!

Lakini niliwahi kusema Chadema kinaendeshwa kwa pesa kutoka nje, wakabwata wakinipa siku saba kukanusha, kabla mate hayajakauka, aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA Ndg. Zitto anakiri hadharani kuwa gazeti leo, ambacho ni chombo kikuu cha propaganda limeanzishwa kwa pesa kutoka nje!! Huwezi kujenga Chama kwa msingi wa uongo kuliko wa shetani halafu ukadhani chama kitadumu!!!

Utaratibu wa vyama kufukuza wanasiasa vijana kwenye vyama hivyo ni wa hovyo na unapaswa kukemewa! Vijana wasipokosea mnataka wakafanyie wapi makosa?? Vyama lazima vitumike kulea na kuwafumdisha vijana badala ya kuwafukuza. Toka watani zangu waanze kufukuza wamekuwa wakifukuza vijana tu hasa wanaohoji. Kuhoji ndani ya CHADEMA ni mwiko! Mtakumbuka ya Kafulila na vijana wengine wengi tu. Mtauliza we Nape!! Ndio mimi chama changu kilinisikiliza na ndio maana nipo sikufukuzwa! Ukomavu ni pamoja na kuwa tayari kusikiliza maoni tofauti na uliyonayo!!

Ushauri wa bure: Watani anzeni upya! Msione aibu fumua anza upya tutawasubiri mkomae msihofu kuachwa sana! Mmekutana na ajali ya kisiasa kutafuta mchawi sio dawa, tafuteni mmejikwaa wapi.

Ungeshauri kuwa vijana wakikosea wawe wanaomba radhi sio kuota ndevu za kiburi
 
Mzee aliyekaa chini ua mti anaona mbali kuliko kijana aliyejuu ya mti!

Kuna mnafiki zaidi ya wewe Nape; unajidai wewe ni gamba kumbe ni KIRUSI cha CCJ kinachotafuna magamba pole pole bila wenyewe kujijua!!! Juzi juzi tu umewatukana wazee wa chama chenu walioshabikia serikali tatu na leo unasema wanaona mbali kuliko nyie mavuvuzela!!!
 
kazi kupiga chabo kwenye nyumba za watu!

kwako vp sasa? mawaziri mzigo wamekushinda!
 
huyu nape nadhani umefika wakati wa kutupa mrejesho wa kuvuana magamba!!! m4c pamoja daima ndiyo habari ya mujini!
 
Nape Nnauye wewe ni karai ndani ya CCM muda wako wa kutupwa na kusahauliwa umewadia sana, Chadema itaendelea kuwepo na imara ila wewe utapotea kama upepo.
 
Last edited by a moderator:
Naandika hili kwa masikitiko makubwa maana watani zangu CHADEMA siku zao zinahesabika kwa kasi inayonitisha sana. Mimi ni muumini wa uimara wa CCM kutegemea sana uimara na umakini wa upinzani nchini! Kwahiyo anguko la upinzani nchini si jambo zuri kwa CCM, nchi na demokrasia yetu, CHADEMA kikiwa moja ya taasisi muhimu kwenye ukiaji wa demokrasia hiyo.

Kilichonistua ni degree ya unafiki inayojidhihirisha kila kukicha ya viongozi wengi wa CHADEMA. Kupinga ufisadi kwa mdomo mpana halafu unaendesha Chama kwa pesa hizohizo huu ni unafiki wa ajabu! Tunajifunza nini kwa kiongozi wa Chama anayesema pesa ni pesa tu inategemea unaitumiaje!!? Ha! Kwahiyo unaweza kuuza nchi ilimradi unapewa pesa.

Niliwahi kutoa mfano mkubwa wa unafiki wa Katibu Mkuu wa CHADEMA Dr. Slaa (sikuhizi nasikia vijana wanamwita Mzee wa Gongo) akihubiri watu waichukie CCM.

Na wakati mwingine alihamasisha wachane na hata kuchoma kadi za CCM wakati yeye kabanisha yake tena kwa matunzo makubwa! Huu ni unafiki mkubwa! Vijana tunajifunza nini kwa unafiki huu.

Lakini niliwahi kusema Chadema kinaendeshwa kwa pesa kutoka nje, wakabwata wakinipa siku saba kukanusha, kabla mate hayajakauka, aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA Ndg. Zitto anakiri hadharani kuwa gazeti leo, ambacho ni chombo kikuu cha propaganda limeanzishwa kwa pesa kutoka nje!! Huwezi kujenga Chama kwa msingi wa uongo kuliko wa shetani halafu ukadhani chama kitadumu.

Utaratibu wa vyama kufukuza wanasiasa vijana kwenye vyama hivyo ni wa hovyo na unapaswa kukemewa! Vijana wasipokosea mnataka wakafanyie wapi makosa?? Vyama lazima vitumike kulea na kuwafumdisha vijana badala ya kuwafukuza. Toka watani zangu waanze kufukuza wamekuwa wakifukuza vijana tu hasa wanaohoji. Kuhoji ndani ya CHADEMA ni mwiko! Mtakumbuka ya Kafulila na vijana wengine wengi tu. Mtauliza we Nape!! Ndio mimi chama changu kilinisikiliza na ndio maana nipo sikufukuzwa! Ukomavu ni pamoja na kuwa tayari kusikiliza maoni tofauti na uliyonayo.

Ushauri wa bure: Watani anzeni upya! Msione aibu fumua anza upya tutawasubiri mkomae msihofu kuachwa sana! Mmekutana na ajali ya kisiasa kutafuta mchawi sio dawa, tafuteni mmejikwaa wapi.

Vipi kuhusu ndugu yetu Mansoory? Na sasa tunamsubiri kumpokea Mwanasheria wa Znz
 
Nape we kweli binadamu wa ajabu sana unaropoka sana kana kwamba mdomo wako haukufundwa ukiwa mdogo. Kiboko yako ni LOWASSA nakuapia kama Mungu haishivyo akiwa Rais wa nchi hii mwambie Kinana akufiche kwao Somalia la sivyo utapotea kama upepo ngoja kakee.
 
Back
Top Bottom