Unafanyaje usafi wako wa mwili?

Unafanyaje usafi wako wa mwili?

Nashukuru mkuu hapa tayari nishachemsha maji yangu, dodok8 langu la KIROBA CHA UNGA, mswaki wangu wa mti, na sabuni yangu ya unga, nimedevelop leo naogea OMO..

Nikifika navuruga sabuni na maji napata povu la uhakika, nachovya dodoki kwenye povu, kisha naanza kujiparatua.
Hapo hujanikuta nazikosha MBUPU sasa, nakuwa makini sana na NYANYA MSHENZI 🍒 zangu, pamoja na 🥒..

1🤣🤣🤣
Mweee!! Hazichubuki😱
Ngozi inakakamaa🙁
 
Back
Top Bottom