Unafanyaje usafi wako wa mwili?

Unafanyaje usafi wako wa mwili?

Si wanasemaga kwa asili kila mtu anaharufu yake na wengine ndivyo walivyo hata wafanyeje. Nilisoma na jamaa miguu inatoaga maji kabisa, akivaa viatu hasa raba nyepesi basi utaona vidole vimejichora kabisa. Kuna mtu alisema atausugue vipi Mknd* kwa mabrashi na mapipa ya maji na sababu za marashi, Uki tembea mita kadhaa tu ngoma inarudi na harufu vilevile. Sijajua kama kuna ukweli.
 
Wewe kijana taratibu
Kila mtu ana harufu yake sawa ila ni harufu ipi?
Yaan mtu unuke kama beberu useme ni harufu yako? nakataaaaa
Kuhusu miguu huyo alikua na tatizo angeonana na wa taalamu angepona
 
Mpaka hapo sina kipingamizi mkuu🤗
Nashukuru mkuu hapa tayari nishachemsha maji yangu, dodok8 langu la KIROBA CHA UNGA, mswaki wangu wa mti, na sabuni yangu ya unga, nimedevelop leo naogea OMO..😂🤣

Nikifika navuruga sabuni na maji napata povu la uhakika, nachovya dodoki kwenye povu, kisha naanza kujiparatua.
Hapo hujanikuta nazikosha MBUPU sasa, nakuwa makini sana na NYANYA MSHENZI 🍒 zangu, pamoja na 🥒..

1🤣🤣🤣
 
Hivi shida hua nini? Mfano, mtu kufuga msitu wa Amazon sehemu za siri? 😳 Huoni unakua kero kwa mwenzi wako?
👉 Je nywele za mwilini unazipenda au zinakukera?
Kuna baadhi hiyo misitu ndiyo wanaipenda, wanasema vinywele vinawatekenya tekenya, hawataki mbususu iwe na ngozi kama ya chura 😂

giphy 78.GIF

Nilishawahi kutoa povu humu, hayo mambo ya uchafu na mimi yananikera 👇👇

Kumbe upo huku beib🥹
Nisamehe bhana sio wewe
Mbona huna kipengere darling 👌
jamani beib, si nilikwambia harufu ya kinywa ni kwa sabb nasumbuliwa na Periodontitis, Postnasal drip, Tonsillitis, na Acid reflux.

kuhusu kunuka mwili, si unajua nasumbuliwa na Thyroid disorder na Bromhidrosis.

Kumbuka tulikula kiapo, "kwa shida na raha............... " 🤒😟
 
👉 Je nywele za mwilini unazipenda au zinakukera?
Kuna baadhi hiyo misitu ndiyo wanaipenda, wanasema vinywele vinawatekenya tekenya, hawataki mbususu iwe na ngozi kama ya chura 😂

View attachment 3562740

Nilishawahi kutoa povu humu, hayo mambo ya uchafu na mimi yananikera 👇👇

Kumbe kitambo tu ulitoa duku duku love you sister ❤️
 
jamani beib, si nilikwambia harufu ya kinywa ni kwa sabb nasumbuliwa na Periodontitis, Postnasal drip, Tonsillitis, na Acid reflux.

kuhusu kunuka mwili, si unajua nasumbuliwa na Thyroid disorder na Bromhidrosis.

Kumbuka tulikula kiapo, "kwa shida na raha............... " 🤒😟
Yooo darling sababu zina mashiko
In love with you😎
 
Kuna watu hawajipendi kabisa, unakuta mtu unamheshimu vizuri tu lakini hajui kuzingatia usafi wake wa mwili. Mtu mzima, unanukaje mdomo, kwapa, miguu, masikio, au pua?

Mf: mambo ya faragha, ukutane na mwanamke na harufu za ajabu-ajabu lol… inakata sana! Kwa wanaume pia inakata asalaleeeee🙌

Hivi shida hua nini? Mfano, mtu kufuga msitu wa Amazon sehemu za siri? 😳 Huoni unakua kero kwa mwenzi wako?
Kuna ugumu gani kuosha kwapa vizuri ili lisiwe shombo? Sugulia hata limao basi 😏
Unakuta mtu akivua viatu… tafrani akhaaa !
Soks, unaiva wiki nzima mfurulizo. Ebooo!

Mdomo, kinywa… yeuwiiiiiiiiii 😬
hiii sehemu ikinuka ina haribu shughuli nzima usisahau kusugua ulimi!
Kama una matatizo ya mdomo tibiwa

Usafi wa sehemu nyeti wewe unafanyaje?
Wax, wembe, jivu, remove hair, mkasi, kipande cha chupa, kunyofoa…?
Karibuni tuzogoe 🫣👌
Mdomo unanuka alafu analazimisha denda
 
Back
Top Bottom