ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 2,903
- 6,494
- Thread starter
- #101
Upo wap chitohori 😀maisha ya kijijini utayaweza?
Upo wap chitohori 😀maisha ya kijijini utayaweza?
Mimi bila picha siamini🫢Hazichubuki zina mng'ao wa silver 🤣, ukizingatia kila wiki napitisha kwanja na kuzipaka wese basi zinamereremeta 😂🤣🤣
Ninatumia Philips kidole na nokia jeneza... hazina camera. 🤣Mimi bila picha siamini🫢
Nitakuja uniazime nijaribu, nataka nihame kwenye sabuni ya unga.Bora wewe mie natumia magadi kuogea
Ntakupa kitoto ndoo, Hadi kiishe ni miaka 3Nitakuja uniazime nijaribu, nataka nihame kwenye sabuni ya unga.
chitohori pa kishua hivyooo😂😂😂😂 si kwao konde hukoUpo wap chitohori 😀
Kitoto ndoo hii rafudhi kama naijuaMtakupa kitoto ndoo, Hadi kiishe ni miaka 3
Natoa ahsante ya awali.Mtakupa kitoto ndoo, Hadi kiishe ni miaka 3
Ndio huko huko kumbe uko wap sasa chato au chamwinochitohori pa kishua hivyooo😂😂😂😂 si kwao konde huko
nipo kurukutugha unapafahamNdio huko huko kumbe uko wap sasa chato au chamwino
Ni wap huko tena 😀😀nipo kurukutugha unapafaham
Ila zina emoji🫢Ninatumia Philips kidole na nokia jeneza... hazina camera. 🤣
Eehh, nimezifanyia MODIFICATIONS 😂Ila zina emoji🫢
Hata sisi wazee tunaruhusiwa kusema jambo?Kuna watu hawajipendi kabisa, unakuta mtu unamheshimu vizuri tu lakini hajui kuzingatia usafi wake wa mwili.
Mtu mzima, unanukaje mdomo, kwapa, miguu, masikio, au pua?
Mfano: Mambo ya faragha, ukutane na mwanamke na harufu za ajabu-ajabu lol… inakata sana! Kwa wanaume pia inakata asalaleeeee🙌
Hivi shida huwa nini? Mfano, mtu kufuga msitu wa Amazon sehemu za siri? 😳 Huoni unakua kero kwa mwenzi wako?
Kuna ugumu gani kuosha kwapa vizuri ili lisiwe shombo? Sugulia hata limao basi 😏
Unakuta mtu akivua viatu… tafrani akhaaa! Soks, unaivaa wiki nzima mfululizo. Ebooo!
Mdomo, kinywa… yeuwiiiiiiiiii 😬 Hiii sehemu ikinuka inaharibu shughuli nzima usisahau kusugua ulimi! Kama una matatizo ya mdomo, tibiwa.
Usafi wa sehemu nyeti wewe unafanyaje?
Wax, wembe, jivu, remove hair, mkasi, kipande cha chupa, kunyofoa…?
Karibuni tuzogoe 🫣👌
Unaruhusiwa utu uzima dawaHata sisi wazee tunaruhusiwa kusema jambo?