Kotozingatia usafi wa mwili, matokeo yake ndio haya

mende 2014

JF-Expert Member
Apr 13, 2014
763
131
Sisi binadamu tunapaswa kuwa wasafi kimwili maana tusipofanya hivyo tutakuwa na harufu mbaya sana. Mfano unafanya kazi katika mazingira yanayosababisha kutokwa jasho katika mwili.

Usipooga unakuwa unatoa harufu mbaya sana. Hasa hasa kuna baadhi ya watu ambao wakioga hawazingatii usafi wa sehemu zao nyeti Mfano kwenye kwapa. Hili nimewahi kuliona kwa watu wengi tu ila kuwaelezea ndo inakuwa ngumu.

Unakuta mtu kwapa lake lina vinyweleo na anapokuwa anaoga hapsugui kwapani na matokeo yake vile vinyweleo vinakuwa kama vile utandu fulani.

Yaani ukiona hadi kinyaa maana mtauliza nilionaje lakini ni kitu kiko wazi maana mtu akivaa nguo haina mikono mirefu ni rahisi kuona.

Mfano unaweza ukamkuta dada mzuri tena mrembo lakini usafi wa kwapani anashindwa ila ni aibu sana. Kama umeguswa na hili jaribu kujirekebisha.
 
Kuna mdada furani nilitoka naye, kwa kweli kwa kumwona tu jinsi alivyo mzuri wa umbo na sura kila mwanaume rijali lazima amzimikie.Ndugu zangu nilicho kutana nacho kwa dada yule hadi leo nikimuona huwa siamini pua langu.Issue ni kwamba baada ya kuanza naye game na kumwaga maji yangu ya uzima open hole ile ilitepeta vibaya na chumba chote kikapambwa na harufu chafu kama vile mtu kamwaga maji ya kuoshea samaki.Kwa kweli ckumhitaji tena na ndo ukawa mwanzo na mwisho wetu na yeye kimapenzi.
 
Back
Top Bottom