ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 2,745
- 6,168
- Thread starter
- #21
Muhimu utakate mkuuMie naogea sabuni ya unga na dodoki la viroba.
Muhimu utakate mkuuMie naogea sabuni ya unga na dodoki la viroba.
Na ndio ninalozingatia mkuuMuhimu utakate mkuu
Angekuua 😁Mara ya mwisho kumkabidhi mwenza asaidie usafi mazingira Ali
View attachment 3562729
Halafu akaniuliza Ashura ni nani kwako?
Subiri hapa
SaafiNa ndio ninalozingatia mkuu
Hahaha hakuna ninayotumia hapo hata moja hivyo usiniletee mkwe utakwama😆Nitakuletea hizi 👇
Unaua mpaka bacteria wazuri🤣NAUFUA mwili
😂
Au wewe unanyofoa 😅Hahaha hakuna ninayotumia hapo hata moja hivyo usiniletee mkwe utakwama😆
Soks unayo moja
Panga linahusika🔪Au wewe unanyofoa 😅
Kuanzia sasa nimebadilika Asante kwa Uzi wako 😅Soks unayo moja
Na unavaa wiki nzima 😁
😂😂😂Panga linahusika🔪
Wazuri hawafi alisema mzee makambq😂🤣Unaua mpaka bacteria wazuri🤣
Kiishe wapi mkwe ,ndiyo maana nahisi hapa yanarushwa mawe gizaniMkwe kitambi chako kimeisha?
Sahizi vitambi viko kwa wote mkuuLinachambwa dume fulani hivi tambi kama mimba ya nguruwe na sura kama kaka wasira
Kitambi hakihusiani na usafi bhanaKiishe wapi mkwe ,ndiyo maana nahisi hapa yanarushwa mawe gizani
NdioSahizi vitambi viko kwa wote mkuu
Sasa "mupenzi", ndo umeamua kuja kunisema huku? 🤔Kuna watu hawajipendi kabisa, unakuta mtu unamheshimu vizuri tu lakini hajui kuzingatia usafi wake wa mwili. Mtu mzima, unanukaje mdomo, kwapa, miguu, masikio, au pua?
Mf: mambo ya faragha, ukutane na mwanamke na harufu za ajabu-ajabu lol… inakata sana! Kwa wanaume pia inakata asalaleeeee🙌
Hivi shida hua nini? Mfano, mtu kufuga msitu wa Amazon sehemu za siri? 😳 Huoni unakua kero kwa mwenzi wako?
Kuna ugumu gani kuosha kwapa vizuri ili lisiwe shombo? Sugulia hata limao basi 😏
Unakuta mtu akivua viatu… tafrani akhaaa !
Soks, unaiva wiki nzima mfurulizo. Ebooo!
Mdomo, kinywa… yeuwiiiiiiiiii 😬
hiii sehemu ikinuka ina haribu shughuli nzima usisahau kusugua ulimi!
Kama una matatizo ya mdomo tibiwa
Usafi wa sehemu nyeti wewe unafanyaje?
Wax, wembe, jivu, remove hair, mkasi, kipande cha chupa, kunyofoa…?
Karibuni tuzogoe 🫣👌
Mpaka hapo sina kipingamizi mkuu🤗Wazuri hawafi alisema mzee makambq😂🤣
Kama wazuri watarudi tu wenyewe, mie naupiga MSASA mwili wangu 😂