Bueno
JF-Expert Member
- Aug 16, 2022
- 34,610
- 59,577
Hivi wewe unajisikiaje unapotukanwa Matusi ya Nguoni na Mlevi anaekunywa Pombe mpaka anajinyea? How do you feel?
Yaani mlevi anaekunywa pombe mpaka anashindwa kujizuia haja kubwa anaanza kukutukana unajisikiaje?
Samahani kwa wale wanaokunywa kistaarabu, namaanisha sizungumzii wewe unaekunywa bia 3/4 na kwenda kulala, hapa namzungumzia yule ambae analala na makreti ya bia yeye chai yake ni pombe mlo wa mchana pombe chakula cha usiku pombe na anakunywa mpaka Visungura sijuo Kick nini na upuuzi mwingine.