..... Unafanya kazi gani wewe...!?

Mama Ngina ndiye anawajibika, mimi kutwa nashinda kwenye kibaraza cha KAHAWA hapo Kinondoni KWA MSISIRI..............Mie Sikuwowa ilio niteseke kutafuta...............Nimewowa mke muwajibikaji anayeweza kumuhudumia mumewe na familia...........Hayo ndiyo mapenzi bana...........LOL
 
Mkimaliza kunichit chat tukutaneni kwenye mjadala wa ki-EALA full ngeli mayai.
 
Hilo neno. Huwa nashangaa, hawana Kazi hawa. Au JF ndo Kazini kwao.
 
Siku hizi, badala ya kucheza bao tu kutwa yote nimeamua kushinda na mtandao huku mijengo yangu na daladala ikiingiza mihela tuuu. Iga ufe au ndoa yako ichakachuliwe!
 
...unakufa na ndoa yachakachuliwa kweli...
Hongera mkuu...
 
Mi mwanafunzi. Ila pia nafanya kazi JF
Nalipwa kwa kila post ninayo toa chit chat
Post ikiwa 'liked' napewa double money
So, please, help a sister, like this post.
 
LOH mapenzi ya pwani haya.....

Mama Ngina ndiye anawajibika, mimi kutwa nashinda kwenye kibaraza cha KAHAWA hapo Kinondoni KWA MSISIRI..............Mie Sikuwowa ilio niteseke kutafuta...............Nimewowa mke muwajibikaji anayeweza kumuhudumia mumewe na familia...........Hayo ndiyo mapenzi bana...........LOL
 
Hiyo kongosho uliyokula ilikuwa na mafuta mengi nini?
Na waliwanazi, nazi ilikua imeliwa na mwezi.........

Hapa kuna bagah aina tofauti unataka aina gani?

We andaa ila nina hamu na Bagah leo...
Jana nilikula Kongosho wacha nitapike lol
sina hamu...hata wali nazi siuamini
 
Afu dingi hapa mtaani kuna mmama wa kimakonde yuko boomba! Anapika vitumbua na kupika wanzuki, atakufaa kuwa small house banaa!
Mama Ngina ndiye anawajibika, mimi kutwa nashinda kwenye kibaraza cha KAHAWA hapo Kinondoni KWA MSISIRI..............Mie Sikuwowa ilio niteseke kutafuta...............Nimewowa mke muwajibikaji anayeweza kumuhudumia mumewe na familia...........Hayo ndiyo mapenzi bana...........LOL
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom