youngkato
JF-Expert Member
- Sep 3, 2014
- 3,638
- 3,641
Unafanya dili gani linalokupa pesa? Kwa wanaume wapambanaji tu.
Shea dili lolote unalofanya ambalo na sisi tunaweza kufanya tukapata pesa.
Comment yako itasaidia wanaume wengine wanaojitafuta.
Mimi ni dalali wa viwanja. Nanunua kiwanja kwa bei ndogo, nakiweka sokoni kwa bei mara mbili. au nanunua kiwanja kikubwa nakigawa mara mbili nakiweka sokoni.
Coment yako ni muhimu