wapambanaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. kawombe

    JamiiForums Tanzania Pesa pesa kwa wapambanaji wote ndani ya jiji la dar na nje

    Habari, Kuna uhaba wa Engine oil za magari madogo na makubwa hapa tanganyika ni kutokana na mchina ambae ni outsource kuzuiwa na mwenyewe TOTAL OIL kuzalisha. Hii ni baada ya kushindwa kuzuia oil FAKE kua nyingi kutoka uko uko china. Ivyo kama uko na pesa ndio wakati wakununua kisha weka store...
  2. PROFOUND NOTION

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini mdada wa aina hii asikukubali tu kwa hali ya kawaida uliyonayo mjenge pamoja maisha? Kwanini sisi wapambanaji wa chini ni ngumu kuwapata?

    Kwanini dharau zinakuwa nyingi kutoka kwa wadada wa aina hii? kuna shida gani tukajenga wote maisha tokea chini? Kwani ni lazima unikute na gari tayari? Hatutaki wa aina yenu wa telegram, tunataka mkiwa warembo mtukabalie na tutawafanyia makubwa mambo yakiwa makubwa.
  3. V

    JamiiForums Tanzania Karibu kikosi kazi Cha injili MBEYA kwa Mch Mbarikiwa Mwakipesile:siku moja tuwaone Hawa wapambanaji

  4. K

    JamiiForums Tanzania Maisha yakoje?

    ."Usijenge maisha ya kuonekana vizuri mbele ya watu, jenga maisha ambayo yatakufanya ujiheshimu ukiwa peke yako." 1.Jifunze kila siku — mtu anayekua kila siku hawezi kubaki sehemu moja. 2.Chagua mazingira yako — watu unaokaa nao wanaweza kukuongezea nguvu au kukupotezea muda. 3.Heshimu muda —...
  5. PAYE

    JamiiForums Tanzania Wananchi wanaokota Risasi huko mtaani zilizochukua uhai wa mamia ya Watanzania

    Wananchi wanaokota Risasi huko mtaani zilizochukua uhai wa mamia ya Watanzania
  6. youngkato

    JamiiForums Tanzania Unafanya dili gani linalokupa pesa? Kwa wanaume wapambanaji tu.

    Unafanya dili gani linalokupa pesa? Kwa wanaume wapambanaji tu. Shea dili lolote unalofanya ambalo na sisi tunaweza kufanya tukapata pesa. Comment yako itasaidia wanaume wengine wanaojitafuta. Mimi ni dalali wa viwanja. Nanunua kiwanja kwa bei ndogo, nakiweka sokoni kwa bei mara mbili. au...
  7. Foffana

    JamiiForums Tanzania Makosa Matano Makubwa Yanayokwamisha Malengo ya Vijana Wapambanaji

    Habari zenu wakuu Nianze na kibwagizo cha wimbo wa mwanahiphop nguli Tanzania anayejulikana kama Dizasta Vina kwenye wimbo wake unaoitwa Get better aliyemshirikisha Beno Mwampamba Mwampamba anaanza kwa kusema "Leo imeshakuwa jioni Na matokeo tuliyotegemea kuwa mbioni Hata dalili zake...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Aida Kenani ni balozi mzuri wa viongozi wanamke wapambanaji

    Wakuu Baada ya kilichotokea kwenye uchaguzi mkuu wa 2020, CHADEMA ilipata mbunge mmoja tu wa kuchaguliwa ambaye ni Aida Kenani muwakilishi wa Jimbo la Nkasi. Aida ni ishara ya wanawake waliozitumia nafasi zao za uongozi vizuri. Licha ya kuwa peke yake pale mjengoni lakini bado alipambana...
  9. P

    JamiiForums Tanzania Viongozi wetu ni wapambanaji sana

    Kwa muda wa miaka kadhaa nimekuwa nikitaka kujua viongozi wetu wako vizuri katika nyanja zipi? Nilichogundua ni kuwa wapo vizuri kwenye mambo yafuatayo: 1. Kupambania ushindi kwenye chaguzi: hapa aisee mtu ukiwa kikwazo kwa ushindi wao kwa namna yoyote ile, hawa jamaa wapo tayari hata...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Poleni sana wapambanaji mlio mstari wa mbele kupigania UKOMBOZI wa Nchi hii.

    Naomba tusikate tamaa, kwa hali ilivyo sasa, inaonekana wamepanga kumsimika madarakani si kwa kuchaguliwa bali kwa nguvu, yaani iwe kwa kuumiza watu au kwa namna yoyote ile. Kwa hali hii, nadhani sasa kuna haja ya kupanga mikakati na njia mpya kabisa za kutafuta HAKI katika Taifa hili. Kama...
  11. Youbettersleep

    JamiiForums Tanzania HABARI MABOSS ZANGU : JE! UNAHITAJI RAMANI YA NYUMBA AU CHOCHOTE KATIKA UJENZI? BONYEZA 👇👇👇

    Habari! Nawakaribisha sana kwa yeyote mwenye kuhitaji ramani ya jengo aina yoyote ikiambatana na 1. JENGO LOLOTE (RESIDENCIAL AND COMERCIAL BUILDING) 2. Makadirio ya UJENZI (BOQ) 3. KUJENGEWA NYUMBA UKINUNUA MATERIALS AU KUTUKABIDHI PESA 4. USIMAMIZI WA JENGO LAKO BEI ZETU NI NAFUU SANA...
  12. Empty container for sale

    JamiiForums Tanzania Happy sunday , Wapambanaji wote

    Dear Men Never be ashamed of the work that puts food on your table. A small salary is better than waiting for someone to give you money.Hunger has multiple offspring. It keeps giving birth three times a day over time.Push it to the limits Also Big up to every man who is fixing his life...
  13. Lighton

    JamiiForums Tanzania Single mothers wapambanaji sana

    Miongoni mwa Aina ya wanawake wapambanaji katika hii Dunia ni Hawa single mothers. Big up sana💪 NB: unaweza kuwa mwanamke mpambanaji Kama ukiamua kuwa hivyo, "siyo mpaka upigwe tukio"
  14. monotheist

    JamiiForums Tanzania Nawasanua wasakatonge wenzangu wenye lengo la kumiliki bajaj, guta au pikipiki na pesa uliyonayo haitoshi kuingia shop

    Wapambanaji wenzangu wenye lengo la kumiliki bajaj, guta au pikipiki na pesa uliyonayo haitoshi kupata chombo kipya ngoja nikusanue labda unaweza kupata muongozo uanzie wapi 1. Kuna bank kama CRDB na MAENDELEO BANK wanatoa bajaj zenye rejesho nafuu kwa msaka tonge ila shida ipo kwenye vigezo...
  15. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Wapo Watanzania wapambanaji lakini hawajafanikiwa kwasababu ya kurogwa na ndugu au majirani zao

    Sijafanya utafiti wa kutosha kuhusu mikoa mingine, lakini karibu nimetembea mikoa yote ya Tanganyika. Hali zinafanana—utofauti ni mdogo sana. Turudi mkoani kwangu, Lindi. Kule, ndugu wa damu kabisa ndiye mchawi wako namba moja. Ni kama Yesu alivyosema: "Adui wa mtu ni wa nyumbani mwake"...
  16. LorenzoA

    JamiiForums Tanzania Mambo arobaini 40 yatakayokuepusha na Kifo cha mapema ndugu mpambanaji mwenzangu

    Hapa naomba nizungumze na wapambanaji, the super lucky, best performers na wasioridhika na mafanikio, wanawake kwa wanaume. Guys we got a work to do. Kwa muda wa hivi karibuni hali si hali, nimepoteza washikaji wengi sana wengi ma fighter na majina yao yapo humu JF. Wengine X.... Tumesafiri...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu wa wazee wa machimboni, pori kwa pori ,visa na mikasa, hapa wapambanaji wataeleza mazonge waliyopitia sehemu mbalimbali,

    Kutokana na uzi wa mkuu Nikifa MkeWangu Asiolewe nimevutiwa kuanzisha hii maada ili watu wengine wajifunze kwenye hii maada kua watu wanapambana usiku na mchana, Upambanaji upo na watu wanapambana kufa na kupona ili waondokane na umaskini, Kwenye upambanaji kuna mambo mengi Sana masaibu...
  18. Mwakawasila

    JamiiForums Tanzania Usijizuie kuelewa hatifungani/bond za Serikali

    HATIFUNGANI/BOND/AMANA Ni aina ya dhamana inayotolewa na serikali au kampuni kwa lengo la kukopa fedha. Mkopaji anaweza kuwa serikali au kampuni na anaekopesha ni mwekezaji. Mwekezaji anaponunua hatifungani, anaikopesha serikali au kampuni fedha yake kwa kipindi flani cha makubaliano...
Back
Top Bottom