Ratiba yako ya kwenda 'Site' ni ipi?

Ni wiki nyingine ya mchaka mchaka. Tukimbizane na mishe zetu hadi wikiendi tupate chapaa ha kwenda kupiga hatua site. Tusikubali unyonge vijana.

Sisi tupo tu. Tunawasubiri.

Wale wanaohitaji mbao, mzigo tunao wa kutosha. Sogeeni tu maeneo au tupigieni simu tuyajenge.
 
Kwanza lazima ujue mbao zetu zinatokea Mafinga na zimechemshwa na mashine ya dawa (treated).

Bei ya sokoni ni kama zifuatavyo:

FUTI 12
2*2 = 2900/=
2*4 = 5800/=
1*8 = 14000/=
1*10 = 18000/=

FUTI 20
2*2= 400/=
2*4= 750/=
2*6 = 1200/=

Ukitupigia simu ukataja unatokea JamiiForums tutakufurahisha kwenye bei. Usafiri mpaka site ni BURE kwa Dar es Salaam.
Hapo mwisho sijaelewa,unaposema Futi 20,halafu ukaweka 2*2 = 400 unamaanisha nini hapo
 
Kwanza lazima ujue mbao zetu zinatokea Mafinga na zimechemshwa na mashine ya dawa (treated).

Bei ya sokoni ni kama zifuatavyo:

FUTI 12
2*2 = 2900/=
2*4 = 5800/=
1*8 = 14000/=
1*10 = 18000/=

FUTI 20
2*2= 400/=
2*4= 750/=
2*6 = 1200/=

Ukitupigia simu ukataja unatokea JamiiForums tutakufurahisha kwenye bei. Usafiri mpaka site ni BURE kwa Dar es Salaam.
Mkuuu mbao za blandaring munauzaje?
 
Wikiendi imewadia. Wakati muafaka wa kukagua maendeleo ya ujenzi.

Kama una safari ya 'Site' tupigie simu tukuandalie mzigo wa Mbao imara kwa bei nafuu. Mabati yapo pia.

Au huna hata kiwanja?
 
Wikiendi imefika. Kazi yetu ni kukumbusha na kuhimiza.
Jamaa yangu alikaa kama mwaka na zaidi hajaenda site. Siku hiyo yuko kwenye ki grosare na washkaji wakawa wanamsisitiza awanunulie pombe yeye anadai hana hela.

Jamaa wakamwambia acha kutuzuga wewe, huna hela na huku tunaona karibia unamalizia mjengo pale kwenye kiwanja chako? Jamaa ndio kupanik kesho yake kaenda kakuta kweli jamaa wanapaua mjengo! Twendeni site jamani.
 
Jamaa yangu alikaa kama mwaka na zaidi hajaenda site. Siku hiyo yuko kwenye ki grosare na washkaji wakawa wanamsisitiza awanunulie pombe yeye anadai hana hela. Jamaa wakamwambia acha kutuzuga wewe, huna hela na huku tunaona karibia unamalizia mjengo pale kwenye kiwanja chako? Jamaa ndio kupanik kesho yake kaenda kakuta kweli jamaa wanapaua mjengo! Twendeni site jamani.
Haaaaaaaa madalali wakawa washafanya yao
 
Back
Top Bottom