Unadhani Mwanga ndio kitu chenye spidi ya juu kushinda kila kitu? Vipi kuhusu hili jambo?

(Unahisi kipi kina spidi zaidi, Mwanga au Fikra

  • Total voters
    50
  • Poll closed .
Fikra hands down, nipo New York right now lakini kila kitu nikifikiria hapo bongo nakiona live, lakini sina uhakika kama fikra zinapimwa kwa speed ya namna gani
 
Umekosea sana mkuu.Mwanga una speed kwa kuwa unaundwa na small particles 'photons'.Unapowasha tochi kuanzia pale kwa source/ tochi mpaka kwenda kuangaza pale unapodhamiria maana yake mwanga ule umesafiri kutoka kwenye tochi mpaka pale,japo speed ni kubwa sana kiasi kwamba hauwezi kunotice. Mwanga unasafiri milele kama usipopata kizuizi na kama source ikiwa na nguvu ya kuendelea kutoa photons.mfano tangu itokee Bing bang mwanga bado unasafiri kwa kasi ile ile kwa kuwa hauna kizuizi huko ulipo pembezoni mwa universe.Mwanga wa Jua unatumia takribani dakika 8 kufika machoni mwako.
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app

... shule za wapi hizi? Wenzio wanazungumzia speed of light wewe unaleta stori za light intensity pengine bila kujua. Kwani ni lazima kitu kisafiri milele ndipo uweze kupima spidi yake? Macho yanaweza kuona kitu kwa sababu mwanga unaakisi maumbo au rangi za vitu kwenye retina za macho ndio maana bila mwanga hatuwezi kuona.

Mfano, gizani/usiku umewasha taa ni nini kinatokea ili uweze kutambua vitu vinavyokuzunguka? Mwanga umeanzia kwenye taa (source) hadi kwenye kitu (mf. meza ndani kwako), then umbo la meza likawa reflected kwenye retina ikashirikiana na ubongo kutafsiri ndipo ukaweza kujua ile ni meza, kitanda, kikombe, au chochote kile kinachokuzunguka. Hapo mwanga haujasafiri? Au ni wewe ndiye umesafiri? Kutokana kasi ya ajabu ya mwanga ndio maana unaona instantly bila kujua mwanga umesafiri given the short distance kati yako, taa/source, na vitu/destination.

Iko hivi, spidi ni umbali gawanya kwa muda ambao kitu kimesafiri umbali huo. "Umbali" haitajiki makumi au maelfu ya kilometa ili uwe umbali; nope! Umbali unaweza kuwa just a few millimeters, centimeters, or meters, to any distance. La muhimu, for whater unit of measure you choose, equivalent time should be taken bado spidi itakuwa ile ile (constant).
Haha wakuu hizi ni skuli za chini ya mikarafuu

mimi sio miongoni mwa watu wa kujisifu kuwa na elimu au kujua mambo kwa kusoma vitabuni mara nyingi najaribu kuona na kufahamu hali halisi ya mambo, na kuna mambo inawezekana kuwa ntakosea na baadhi ya mambo inawezekana fikra zangu ndio za kweli kuliko uzushi na uongo wa vitabuni,

Katika hili mwangaza unasafiri,hii ipo hivi kiuhalisia mwangaza ni field of energy kama ilivyo magnetic field,magnet ni field of energy, tunaweza kupima field of energy kwa intensity lakini sio kwa speed,kwa sababu field of energy ni kitu kimoja kuwanzia mwanzo mpaka mwisho(termination point) hamna kinachosafiri kuanzia mwanzo mpaka mwisho,kinachobadilika ni ukali (intensity)wake tu mwanzoni ukali una kuwa mkubwa na mwishino unapwaya na kufikia termination point.

Kwa mfano taa ikiwashwa katika chumba ambapo kuna vitu kama meza sofa na kitanda, ikiwa kama meza ipo karibu na bulb na kitanda kiko mbali na buld hii haimaanishi kuwa mwangaza utaifikia meza kwanza kisha ndio ukifikie kitanda,ilivyo kiuhalisia ni kuwa ukiwasha taa tu energy field ya mwangaza inafikia kila kitu kilicho chumbani kwa wakati mmoja,hata uchukue video kisha uweke slow motion ya slow sana hutauona mwangaza unatembea kutoka meza iliyo karibu na taa na mwangaza kukifikia kitanda kilicho mbali na taa.

hii dhana ya kuwa mwangaza unasafiri chanzo chake ilitokana kuficha uhalisi wa kwanini mwangaza wa jua utufike hapa duniani wakati jua liko umbali wa ajabu sana,ndio hapo wanasayansi wakaja na hii dhana mwangaza wa jua unatufika kwa sababu mwangaza unasafiri

Na uhalisi ni kuwa energy field (intensity) au ukali wa jua hauwezi kufika duniani kwa umbali wa 53 million miles,kwa hio walichojaribu kutuaminisha hapa ni kuwa mwangaza wa jua unasafiri nje ya (intensity) ukali wake kwa sababu nguvu ya jua haiwezi kuufika umbali wa 53 million miles,ili mwangaza wa jua utufikie hapa duniani inabidi usafiri umbali zaidi ya nguvu ya jua,ndio hio dhana ya kuwa mwangaza kutufikia hapa unasafiri kwa dakika 8.
ingawaje haya yote ni mafunzo tunayoaminishwa tu lakini sio hali halisi,hali halisi ya jua haliko mbali na masafa halisi ya jua lipo karibu tu, kwa hio intensity na energy field ya jua inatufikia kama tunavyoona na kama inavyotarajiwa kutokana na ukaribu wa jua na ardhi na hamna mwangaza kusafiri wala nini.

Waliweka hizo formula za mwangaza kusafiri ili kubandika viraka kwenye uzushi kuwa jua liko umbali wa 53mil miles, na wanasayansi Wa miaka nyuma kabla ya hapo pia walitabiri kuwa jua lipo 3mil miles away,ni mambo ya ku-guess kisha kuweka formula za kuziba viraka tu na sisi tunaamini kila kitu,
Wakati hali halisi haipo hivo, jua, mwezi na nyota vipo karibu sana na ardhi ya dunia,huu ni mjadala mwengine sitakwenda sana huko na kwa akili zetu za vitabuni itakuwa shida kufahamu.

ila tujaribu tusijenge ufahari mkubwa sana kwenye elimu za vitabu na kujiona tumeelimika na tuna ufahamu kamili wa hali halisi ya kila kitu. Hata ukiwa phd na elimu zote za juu kama una elimu ya vitabu pekee unaweza ukawa lost kuliko asiye na elimu.
watu wana dhana ya kutupotosha na tusijitambue na kutambua hali halisi ya vitu,tufungue akili kidogo na macho kwa umakini sana.
 
ila tujaribu tusijenge ufahari mkubwa sana kwenye elimu za vitabu na kujiona tumeelimika na tuna ufahamu kamili wa hali halisi ya kila kitu. Hata ukiwa phd na elimu zote za juu kama upstate elimu ya vitabu pekee unaweza ukiwasha lost kuliko aside na elimu.

I noted 👏👏
 
Imethibitishwa kuwa mwanga unasafiri kwa spidi ya km laki tatu kwa sekunde moja tu(300,000km/s), Yani kwa sekunde tu mwanga unaizunguka dunia mara Nane(08)

kuna nadharia nyingine(Hii sio yangu mimi,Lakini nimetokea kuisapoti kishingo upande)

NI HIVI:- Pengine Fikra ya mwanadamu ndio kitu chenye spidi kali kushindwa hata hup mwanga(sema imeshindikana kuthibitisha kisayansi)

Hebu chukulia mfano huu mwepesi:-

Mfano getoni kwenu mpo watatu(03) tu, na tuchukulie nyie mna mashati yakuvaa matatu tu(yaani kila mmoja wenu ana shati moja) la kuvaa {Kauka nikuvae }
Sasa hapo geto kuna MTU A(shati jekundu) MTU B(Shati jeupe) MTU C(Shati la manjano)
MTU A mwenye shati jekundu akaenda kazini halafu mida mida mwenzake MTU B Mwenye shati jeupe akaja kumtembelea getto-mate mwezake:: yani ukimuona tu na shati jeupe MOJA KWA MOJA utajua getto-mate C amevaa shati la manjano

Hv mmeweza kupata picha hapo jinsi spidi ya fikra ilivyo??

Hoja mezani,(Unahisi kipi kina spidi zaidi, Mwanga(A) au Fikra(B) )
Na uzi tayar
ndio maana kwenye elimu ya anga tukisema tuhesabu kufikia nyota nyengine kujua umbali utaweza kuandika namba kama kilometa utaweka mwanga mfano 10 light year
 
Mkuu naomba unisamehe kwanza kwa kunote kwamba uelewa wako juu ya mambo mengi yahusuyo sayansi ya anga na fizikia ni mdogo sana.Mkuu sayansi inapotoa majibu maana yake imeshafanya majaribio mengi sana na matokeo yamethibitishwa zaidi ya mara moja.Unazungumzia kuhusu magnetic field au heat pamoja na energy zingine sijui kama unafahamu nazo zina rate of transfer? Hapo tunazungumzia speed.Sijui kama unafahamu general theory of relativity,special theory of relativity?

Tunaposema mwendokasi wa mwanga ni 300,000,000m per second inamaanisha kwamba 'photons' ambazo ndizo particles zinazounda mwanga zimesafiri kwa mwendo huo! Unafahamu unit inaitwa 'Light Year'? Huo ni muda ambao mwanga hutumia kusafiri kutoka sehemu moja kwenda nyingine.

Unaposema Nyota na mwezi na vinginevyo vipo karibu kuliko tunavyofikiria napo si kweli! Nyote iliyokaribu zaidi na jua na solar system yetu inaitwa Proxima Centauri (ile nyota ya asubuhi).Nyota hii ipo 4.24 Light Years away.Yaani tuseme ukisafiri kwa mwendo wa mwanga au ukiwasha mwanga hapa duniani assume hakuna kizuizi basi mwanga huo ungetumia miaka minne na miezi kadhaa kuifikia! (Kumbuka hapo ni kwa mwendokasi wa mwanga 300,000,000km/s).Assume tungetumia vyombo vyetu vyenye kasi sana kama Voyager au Deep space 1 ambayo tuseme inasafiri kwa 56,000km/hr ingechukua miaka 81,000 kuifikia nyota hiyo!Sasa unaweza kuimagine hiyo ndiyo nyota iliyokaribu zaidi je zingine? Ingekuwa kweli mpaka sasa tungeshaisogelea japo theluthi ya nyota hiyo ila imeshindikana maana chombo kilichombali zaidi kuwahi kutengenezwa ni Voyager 1 ambacho kwa sasa kinasafiri kwa zaidi ya miaka 37 na kimefanikiwa kutoka nje ya solar system kwa mara ya kwanza katika historia! Sasa kusema kwamba zipo karibu si wangeshapeleka vyombo siku nyingi sana! Lakini zipo mbali mno kiasi kwamba hata mwanga unachukua muda mrefu sana kuzifikia.

Kama haujui fizikia basi ngoja nikueleweshe, Chochote kinachosogea kutoka point A kwenda point B (Movement) lazima kiwe na mwendokasi.Ndivyo ilivyo kwa Mwanga (ambao una particles zinaitwa 'photons') ambao unajongea kwa mwendokasi wa 300,000,000m/s
 
Mkuu hamna shida mimi nikiweka michango huwa natarajia kabisa kuwa watu wataona nna uwezo mdogo wa kujua hayo mambo ya anga na uhalisi wa dunia,hio hainikeri hata kidogo kwa vile nafaham statements zangu zitakuwa strange kwa baadhi ya watu na elimu zao.
Ila tu hapo ulipo wewe saivi mimi pia nlikuwa hapo hapo na kuwa na level ya ufahamu hio hio na kuamini mambo ya vitabu kama hivyo unavyoamini wewe au pengine mimi nlikuwa zaidi ya wewe,
Lakini kwa sasa ufahamu wangu ni tafauti juu ya science ya physical world outer space and time.

sitakwenda mbali sana kujieleza ila tu ufahamu wa ki dunia na outer space and time ni mfumo wa kieleimu tu ambao hauendani kabisa na hali halisi,nikisema mfumo wa kielimu namaanisha kuwa ni elimu iliyotaarishwa kuwa kila mtu afahamu hivyo,ili matokeo yake sote tuone kuwa huo mfumo wa kieleimu ndio hali halisi ya mambo yalivyo.

kuna nyuzi hapa nlichangia kujieleza kiurefu sana juu ya uhalisi wa mambo,nadhani ilikuwa around 2016-2017 kama ntafanikiwa kuziona ntakutag uzisome ukibahatika unaweza kufahamu.
 
Unaposema elimu ya outer space and time sio uhalisia una maanisha nini? Au hauna macho ya kuona kwamba "jua liko pale na linatuangaza"? Au hauoni sayari hii uliyopo inayoitwa dunia? Au hauzioni nyota zilizopo angani? Au hauwezi kunote jinsi mwanga ulivyo na kasi ya kustaajabisha? (300,000km/s).Uhalisia huo unaouzungumzia ni upi?

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
 
kama tunafananisha vitu viwili tofauti ....japo vyote ni ni kama natural agent
 
Kwenye nervous system nakuunga mkono. Unakanyaga mwiba mguuni unaondoa mguu fasta, taarifa imeshatoka mguuni imeshafika Kwenye ubongo, imeshatafsiriwa inashuka mguuni unaondoa mguu, huo mchakato nusu sekunde ni nyingi.
Spidi inalinganishwa na umbali huo mfano wako ni sawa na mbiyo ndefu na fupi, mfano gari limetoka Moro linakuja dar alafu lingine limetoka kibaha Linakuja dar na yote yametoka mda moja alafu hili la kibaha likawahi kufika kwa nusu saa hapo gari gani lina spidi kuliko mwenzake?
 
... nini maana ya spidi? Fikra inakuwaje na spidi? Huwezi kuzungumzia spidi bila kuzungumzia umbali; fikra inasafiri kutoka wapi kwenda wapi (source to destination)?
Eti inasafiri toka mguuni kwenda kichwani
 
Hii napingana nayo.

Ili upate speed ya kitu lazima utahitaji starting point na destination.
Kitu ambacho kwa mwanga kinawezekana ila kwa fikra ni ngumu kidogo.
Hivyo ili tuweze kumeasure thought speed itabidi tutumie speed ya fikra kuchakata taarifa mpaka pale utakapopata jibu.

Mwanga always uko na speed constant isiyobadilika.

Lakini fikra haziwezi kuwa na speed constant na sidhani kama kuna uwezekano wa kufikia light speed.

ili kujaribu kuprove hilo kwamba speed ya fikra sio constant.
Na sometimes inaweza kuwa slow zaidi ya bando la Airtel au gari lisilo na engine.

Mfano mdogo huu hapa

Unaweza ukaniambia

2,424,697,415,356 x 7,786,326,964,664= sawasawa ni ngapi?

Sidhani hata kama umesoma hizo namba, zisome kwanza.

Je fikra zako zitaweza kuchakata hiyo taarifa chini au ndani ya sekunde 1 Bila ya msaada wowote?

Bila shaka hakuna binadamu duniani anaweza kuchakata hiyo taarifa chini au ndani ya sekunde 1 kwa mara ya kwanza na ukapata jibu bila msaada wowote.

Lakini wakati huohuo ukisema 1+1= ngapi?
Bila shaka asilimia kubwa ya watu wote duniani wanaweza kujua jibu ya hiyo taarifa chini au ndani ya seconds.
Baada ya kuona tu hiyo taarifa tayari fikra zako zimeshachakata hiyo taarifa ndani ya some milliseconds.

Hivyo mpaka hapo tayari speed ya fikra sio constant.

Kuna mengi hapo katikati ila kitendo cha light kuwa na speed constant isiyobadilika under any circumstances tayari speed of light ni almost untouchable at everything.

So in my opinion speed of light wins.

Kingine ni kwamba
technically black hole haimezi mwanga.
Bali massive gravity ya blackhole inabend space.
Na mwanga unafuatisha na kuexist kwenye space hivyo black hole ikibend space then mwanga nao utabend in ili kufuata au kuendana na hiyo space curvature.

Anayeweza kuniprove wrong, kunikosoa au kunichallenge Aje.
You nailed it.... Uko sahihi na ninakusapoti katika hili.....

Ili upate spidi lazima uwe na starting point na end point.....

And what is speed?

Is speed is distance covered per time taken.... S=D/T..

Fikra ya mwanadamu haiwezi kuwa na hizi features.......
 
Eti inasafiri toka mguuni kwenda kichwani
... kwa huo mfano aliotoa Cash Money Forever wa mwiba kuchoma mguuni na ubongo kupata taarifa anadai "nusu sekunde" nyingi anasahau kwa nusu sekunde hiyo mwanga ungekuwa umeizunguka dunia zaidi ya mara tatu; wakati yeye anazungumzia unyayoni hadi utosini!

Hata Bwana Yesu, akijua vyote alivyoumba, kwa ufahamu wa mwanadamu chenye spidi zaidi ni mwanga, alitumia spidi ya mwanga kama rejea ili angalau tupate kufahamu kwa mazingira yetu ya kibinadamu, "Akawaambia, nilimwona Shetani, akianguka kutoka mbinguni kama umeme", Lk 10:18; "Kama umeme" alimaanisha kasi/spidi ukiunganisha na neno "kuanguka"!
 
NI HIVI:- Pengine Fikra ya mwanadamu ndio kitu chenye spidi kali kushindwa hata hup mwanga(sema imeshindikana kuthibitisha kisayansi)
Nikweli hata Mimi nadhani fikra ya mwanadamu Ina mwendo Kasi kuliko wmanga.Je tutathibitishaje kisayansi hapo ndio kazi.

Ndio maana naipenda JF.
 
E=mc²
Hiyo equation hapo juu inatosha kukueleza hakuna kitu kwenye huu ulimwengu kina spidi zaidi ya mwanga
 
Yaani hapa ili uwe na kasi ya mwanga inabidi uwe na infinity energy! Mwanga una kasi hiyo kwa sababu unaundwa na 'photons' ambazo ni particles pekee zenye 'zero' resting mass! Yaani hazina uzito kabisa!
 
Imethibitishwa kuwa mwanga unasafiri kwa spidi ya km laki tatu kwa sekunde moja tu(300,000km/s), Yani kwa sekunde tu mwanga unaizunguka dunia mara Nane(08)

kuna nadharia nyingine(Hii sio yangu mimi,Lakini nimetokea kuisapoti kishingo upande)

NI HIVI:- Pengine Fikra ya mwanadamu ndio kitu chenye spidi kali kushindwa hata hup mwanga(sema imeshindikana kuthibitisha kisayansi)

Hebu chukulia mfano huu mwepesi:-

Mfano getoni kwenu mpo watatu(03) tu, na tuchukulie nyie mna mashati yakuvaa matatu tu(yaani kila mmoja wenu ana shati moja) la kuvaa {Kauka nikuvae 😁}
Sasa hapo geto kuna MTU A(shati jekundu) MTU B(Shati jeupe) MTU C(Shati la manjano)
MTU A mwenye shati jekundu akaenda kazini halafu mida mida mwenzake MTU B Mwenye shati jeupe akaja kumtembelea getto-mate mwezake:: yani ukimuona tu na shati jeupe MOJA KWA MOJA utajua getto-mate C amevaa shati la manjano

Hv mmeweza kupata picha hapo jinsi spidi ya fikra ilivyo??

Hoja mezani,(Unahisi kipi kina spidi zaidi, Mwanga(A) au Fikra(B) )
Na uzi tayar
Uko sahihi kabisa fikra zina spidi zaidi kuliko kitu kingine chochote kile. Kinachotakiwa ni mwanadamu kuwa na uwezo wa kujitowesha kimwili (total annihilation) bila kufa, kwenye point A aliyopo muda huu, na baada ya hapo ndiyo anasafiri kwa kutumia spidi ya fikra halafu anaenda kuunda upya mwili wake kwenye point B ambako alikuwa ametarajia kuwepo. Kwa mtindo huu mtu anaweza akatoka Afrika akaenda Marekani na Ulaya na kurudi tena Afrika katika muda mfupi zaidi kuliko ule unaoweza kutumiwa na mwanga
 
Hii napingana nayo.

Ili upate speed ya kitu lazima utahitaji starting point na destination.
Kitu ambacho kwa mwanga kinawezekana ila kwa fikra ni ngumu kidogo.
Hivyo ili tuweze kumeasure thought speed itabidi tutumie speed ya fikra kuchakata taarifa mpaka pale utakapopata jibu.

Mwanga always uko na speed constant isiyobadilika.

Lakini fikra haziwezi kuwa na speed constant na sidhani kama kuna uwezekano wa kufikia light speed.

ili kujaribu kuprove hilo kwamba speed ya fikra sio constant.
Na sometimes inaweza kuwa slow zaidi ya bando la Airtel au gari lisilo na engine.

Mfano mdogo huu hapa

Unaweza ukaniambia

2,424,697,415,356 x 7,786,326,964,664= sawasawa ni ngapi?

Sidhani hata kama umesoma hizo namba, zisome kwanza.

Je fikra zako zitaweza kuchakata hiyo taarifa chini au ndani ya sekunde 1 Bila ya msaada wowote?

Bila shaka hakuna binadamu duniani anaweza kuchakata hiyo taarifa chini au ndani ya sekunde 1 kwa mara ya kwanza na ukapata jibu bila msaada wowote.

Lakini wakati huohuo ukisema 1+1= ngapi?
Bila shaka asilimia kubwa ya watu wote duniani wanaweza kujua jibu ya hiyo taarifa chini au ndani ya seconds.
Baada ya kuona tu hiyo taarifa tayari fikra zako zimeshachakata hiyo taarifa ndani ya some milliseconds.

Hivyo mpaka hapo tayari speed ya fikra sio constant.

Kuna mengi hapo katikati ila kitendo cha light kuwa na speed constant isiyobadilika under any circumstances tayari speed of light ni almost untouchable at everything.

So in my opinion speed of light wins.

Kingine ni kwamba
technically black hole haimezi mwanga.
Bali massive gravity ya blackhole inabend space.
Na mwanga unafuatisha na kuexist kwenye space hivyo black hole ikibend space then mwanga nao utabend in ili kufuata au kuendana na hiyo space curvature.

Anayeweza kuniprove wrong, kunikosoa au kunichallenge Aje.
Unajaribu kumpinga huku ukiwa unamusupport tena kwa wakati huo huo. The fact kwamba mwanga una speed ambayo ni constant wakati fikra zina infinite speed, is a proof kwamba fikra zina speed kuliko mwanga. Zaidi ni kuwa starting point ya speed ya fikra ni pale alipo mtu mwenye fikra hiyo, na destination ni kule mbali anakokuwaza, let's kwenye neighbouring galacxy yetu. Naomba usome pia hoja yangu hapo post #81
 
Back
Top Bottom