Mhaya
JF-Expert Member
- Aug 20, 2023
- 1,669
- 4,919
Katika mahubiri yaliyofanyika huko Mwanza, mchungaji Moses Kulola alitoa unabii juu ya vita ya Urusi ambao chanzo chake ni Nato na akasema kutakuwa na Vita kubwa chini ya Urusi.
Na pia akasema Urusi imeandikwa ndani ya Biblia, na kiuhalisia biblia ni kitabu kilichojaa matukio mengi yanayotokea na yatakayokuja kutokea hapo badae.
Huu unabii wa Moses Kulola alioutoa mwaka 1997 na sasa tunaona unatendeka ni jambo la kuziilisha ukuu wa MUNGU, na habari za kitabu kitakatifu cha biblia. Sikiliza alichokiongea mwaka 1997 ndani ya video hapo chini kisha unipe maoni yako.
View: https://youtu.be/HKaykt4ht4A?si=qOjdacPeQToS4SiM
Mungu aipumzishe roho yake mahali pema peponi, Amina.