Una Miaka 30+ unafata nini night club?

Jamaa alifika sehemu watu wafupi akawa hataki waingie kwny club yake πŸ˜€πŸ˜€,ukiwa mfupi tu baunsa anazuia chap kuingia.
We usitake kunichekesha! πŸ˜‚ au wafupi walikuwa wanaonekana underage? πŸ˜… (wafupi wenzangu mnisamehe)

Nilikuwa natamani nikutane na hiyo scenario ya kukataliwa kuingia au walau nione wanaokataliwa kuingia inakuwaje? Wanapewa sababu au?
 
Wengi waliofanya starehe at 20s ni watoto wa kishua au wale waliopata connection za kazi nzuri mapema ila tofauti na hapo acha waliojipata wenyewe wale bata at 30s
Ulichoandika kinawezekana ila kama ni starehe ya night clubs kama mleta mada anavyosema in 20s sio lazima iwe ulikuwa wa kishua mara nyingi ni kampani uliyo nayo inachangia sana hata watoto wa mbwa utawakuta kingine ni mtu mwenyewe wengine hawana hobby ya night life hata kama kibunda kipo
 
Badooo ukoo kwa wazazi nn mbona umekasirika swala la kutoka kwa wazazi ukahisi unahisi yatasaidia

SOMA Ibrahim alitokaa kwa wazazi ndioo akafanikiwaaaaaa

Tokakwa wazaaziii kaanze maisha mapyaa Banaa
 
We usitake kunichekesha! πŸ˜‚ au wafupi walikuwa wanaonekana underage? πŸ˜… (wafupi wenzangu mnisamehe)

Nilikuwa natamani nikutane na hiyo scenario ya kukataliwa kuingia au walau nione wanaokataliwa kuingia inakuwaje? Wanapewa sababu au?
πŸ˜€πŸ˜€ hio wamefanya sana,ikitokea ukiwa mfupi wakahisi una kibunda unaombwa ID wathibitishe umri wako.Wafupi walikua wanawasha Moto hatari pale πŸ˜€
 
Jamii zote, mataifa yote, rika zote, watu wa jamii hiyo huwa wapo tu, hata nchi zilizoendelea sana hawawezi kukosekana. Acha watu waishi maisha yao kama hayakubughudhi. Kama pesa huombwi wewe, acha maisha yaendelee. Ujinga ni kumpangia mtu mzima maisha yake! Let them live. 100 years to come nobody will remember you ever existed.
Hata vitabu vinasema asiyefanya kazi na asile watu wa hivyo ndio wanaokwamisha maendeleo ya nchi na kwa wenzetu idadi yao siyo kubwa kama ya huku kwetu, haiwezekani nchi iwe na watu million 60 halafu tuseme labda 40 kati ya hao ni masikini na wengine tegemezi ilihali hawana matatizo yoyote ya kimwili wala kiakili, tukisema kila mtu aachwe tu aishi maisha yake basi tutatengeneza kizazi cha wajinga mwisho wa siku hatutafika popote
 
Una miaka 30+ unafata nini club? Ushakuwa mtu mzima, unaenda club kusumbua na kuleta taharuki kwa wanafunzi wa chuo na watoto waliozaliwa 2005.

Unajaza tu nafasi club watoto wanashindwa kuenjoy. Hacha usumbufu!, Kaa nyumbani fundisha wanao Maths na muandiko

Kama unapenda sn night outs, tafuta kanisa lenye mkesha au msikiti ukamrudie Mungu, umri wako umeenda, wewe ni wakufa muda wowote, waache vijana wafurahie ujana wao bila usumbufu wako mzee mwenzangu
Kaa tulia tumeingia club na 40s
 
Duh mara umeshawaza masuala ya kutelezewa kwa Nini akili Yako imekutuma huko haraka au Kuna namna umewahi philwa udogoni!?anyway pole blood ni life
Sasa hapo kati ya mimi na wewe nani kawaza huo ujinga maana mimi nilichoandika hapo ni kiswahili cha kawaida tu, ila wewe kwa sababu unapenda hayo mambo ndio maana umeyawaza kwahiyo si ajabu wewe ndiye umewahi kufanyiwa hayo utotoni, by the way wewe mbona uliassume kwamba mimi nilisema niliyoyasema sababu nimechoka kupigika huku nikiwaona wengine wakiteleza sijui na blah blah zingine wewe hujioni kama una tatizo hapo
 
Hivi unaelewa hata maana ya hiyo Life begins at 40 au ndio mmeitafutia maana yenu ili mjifariji, hiyo inamaanisha huo ni umri wa kula matunda ya mapambano uliyoyafanya ukiwa kijana na siyo eti ukifika huo umri ndio uanze kujitafuta, huko kwa wenzetu mtoto wa miaka 16 analilia kuondoka kwa wazazi wake kuanza maisha yake ila huku kwetu jitu la miaka 30 linawaza uchawa na kutaka pesa za bure bure tu
Kanyaga shingo bado linapumua hilo
 
Sasa hapo kati ya mimi na wewe nani kawaza huo ujinga maana mimi nilichoandika hapo ni kiswahili cha kawaida tu, ila wewe kwa sababu unapenda hayo mambo ndio maana umeyawaza kwahiyo si ajabu wewe ndiye umewahi kufanyiwa hayo utotoni, by the way wewe mbona uliassume kwamba mimi nilisema niliyoyasema sababu nimechoka kupigika huku nikiwaona wengine wakiteleza sijui na blah blah zingine wewe hujioni kama una tatizo hapo
Hakuna kiswahili Cha kawaida master punguza hisia za kuphilwa kwanza kwa namna unafatilia maisha ya wengine inaonesha unashida madame
 
Una miaka 30+ unafata nini club? Ushakuwa mtu mzima, unaenda club kusumbua na kuleta taharuki kwa wanafunzi wa chuo na watoto waliozaliwa 2005.

Unajaza tu nafasi club watoto wanashindwa kuenjoy. Hacha usumbufu!, Kaa nyumbani fundisha wanao Maths na muandiko

Kama unapenda sn night outs, tafuta kanisa lenye mkesha au msikiti ukamrudie Mungu, umri wako umeenda, wewe ni wakufa muda wowote, waache vijana wafurahie ujana wao bila usumbufu wako mzee mwenzangu
Vibabu vinawazidi kete vijana? 😁😁😁
Vibabu vinahitaji damu changa pia, katika kuji - upgrade!, #
 
Una miaka 30+ unafata nini club? Ushakuwa mtu mzima, unaenda club kusumbua na kuleta taharuki kwa wanafunzi wa chuo na watoto waliozaliwa 2005.

Unajaza tu nafasi club watoto wanashindwa kuenjoy. Hacha usumbufu!, Kaa nyumbani fundisha wanao Maths na muandiko

Kama unapenda sn night outs, tafuta kanisa lenye mkesha au msikiti ukamrudie Mungu, umri wako umeenda, wewe ni wakufa muda wowote, waache vijana wafurahie ujana wao bila usumbufu wako mzee mwenzangu
Kwahiyo mnataka twende Sikinde na Msondo ngoma?
Nilienda club 84 Dodoma, mlinzi akaniamkia pale mlangoni....nilimkata jicho hilo, atahadithia.

Anyway, acha tule raha.
Tunatafutwa sana mashangazi sisi na vijana akina Intelligent businessman ujue.
 
Back
Top Bottom