binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 15,388
- 41,810
We usitake kunichekesha! 😂 au wafupi walikuwa wanaonekana underage? 😅 (wafupi wenzangu mnisamehe)Jamaa alifika sehemu watu wafupi akawa hataki waingie kwny club yake 😀😀,ukiwa mfupi tu baunsa anazuia chap kuingia.
Nilikuwa natamani nikutane na hiyo scenario ya kukataliwa kuingia au walau nione wanaokataliwa kuingia inakuwaje? Wanapewa sababu au?