Jambo linaniumiza kichwa ni ulevi wa kaka, yaani huyu jamaa anakunywa pombe sijawahi kuona

mimi kistobe

Member
Nov 25, 2023
99
277
Nina kaka yangu anapitia kipindi kigumu cha mawazo na maumivu juu ya jambo linalomsibu.

Kaka yangu alikuwa anatoka kimapenzi na mama mmoja mke wa tajiri hapa mjini, kutokana na tamaa za mali akawa amejisahau na kujiachia

Baada ya mahusiano yao ya muda mrefu, kaka akaanza kuumwa sana na kutoka vipele mwili mzima, nikamshauri aende kupima.

Vipimo vikatoka ila akasema anaumwa typhoid na vipele ni mchafuko wa damu, Baada ya mm kurudi nyumbani kumsalimia bimkubwa, nikamkuta kaka amebadilika sana amekuwa mlevi wa kupindukia.

Nikapata mashaka na ulevi wake ikabidi siku moja niende nae kunywa pombe tulilewa sana, na nilifanya makusudi ili aropoke kinachomsibu.

Dhumuni langu lilifanikiwa kweli na akaniambia ameathirika, nilishtuka na kuumia sana.

Maisha yakasogea, mm nikarudi kwenye majukumu yangu mkoa mwingine, yeye akabaki home na bimkubwa makazi ya kaka makubwa ni Nairobi.

Sasa jambo ambalo linaniumiza kichwa ni ulevi wa kaka, yaani huyu jamaa anakunywa pombe sijawahi kuona wakuu, asee amekuwa mlevi sana si mchana wala usiku muda wote yeye gage inasoma.

Mpaka sasa sijamshirika bimkubwa wala kaka zangu wengine wakubwa, na mbaya zaidi hatumii vizuri dawa za ARV.

Nawaza sana nifanyaje juu ya hili swala, naweza nikampoteza kaka yangu alafu mimi ndo nimebaki na hii siri.

Angalau angepata mtu mzima amshauri na kumpa moyo akubaliane na hali atumie dawa na maisha yaendelee, ila hataki kumshirikisha hilo swala mtu yoyote.

Tafadhali naombeni ushauri wakuu.
 
Stori yako ina sehemu 2 za kushauri.

1. Kaka yako kavuna alichopanda. Vijana mnajionaga wajanja sana kutembea na wake za watu sasa amekipata alichotaka.

Wala sio wa kuhurumiwa huyu, Tamaa zake zimemponza. Kutembea na mke wa mtu eiza kaathirika au hajaathirika ni ushenzi tu. Na mara zote adhabu ya dhambi ni mauti.

Alivyokuwa anajisikia jamaa mwenye mke imemkost kaka yako. So alewe asilewe hayo aliyatafuta na kayapata. Sisi huku nje tunamshukuru kutupa somo. Asante kwake kuwa mfano wa kenge asiyesikia hadi kutoka damu masikioni.

2. Ni mwanzo tu usiogope. Baada ya muda akilli itamrudi kwenye factory reset. Saa hizi kapaniki na ni kawaida. Kuambiwa umeathirika sio jambo dogo mkuu. Nina imani akianza kuumwa serious ataona umuhimu wa dawa. Saa hizi mwache adunde dunde tu. Akipigwa na wimbi moja takatifu akalazwa mwezi mzima akapungua kilo 29 akitoka atazitafuta mwenyewe ARV na kwanza ataokoka atamjua Bwana
 
Hapo huna chakufanya kaka zaidi ni kumuombea kwa Mungu sana tu
.
Nina mwalim wangu ambaye amenifundisha mpira tangu nikiwa mdogo mpka nakuja kucheza mpira ligi za juu kabsa hapa bongo lkn nae alikumbwa na tatizo kama la kaka yako lkn yeye ilikuwa tofauti kidg yeye baada ya kuona anafundisha mpira na hapati mafanikio kama kocha huku jamaa zake wakifanikiwa na kumpita akaingia kwenye ulevi wa vilabuni mwisho wa siku akaopoa mwanamke kilabuni na akaoa kabsa huyo mwanamke. Pamoja na kumkalisha sana juu ya ulevi na mke aliyeoa lkn hakusikia mwisho wa siku tukamuacha na mke wake.
.
Mwisho wasiku tukaona mwalimu anatuaibisha kwasabab akawa mlevi wa kuamkia mitaroni yeye na mke wake wa kilabuni, baadhi ya wachezaji wake tukampa mtaji afanye kazi akafanya kazi miaezi kadhaa na akawa safi kabsa na pombe hanywi kabsa lkn mwisho wa siku tunasikia tena kawa mlevi kumuliza sababu anasema mke wake anavyoenda kilabuni kulewa wanamchapia kwaiyo bora nae awe mlevi awe anamlinda mke wake basi tuka muacha tukawa hatuna cha kufanya tena.
.
Miezi imepita tunapigiwa sim kuwa mwalimu kashaukwaa, kumpeleleza kumbe mwanamke aliyeoa alikuwa anatumia dawa kitaambo na yeye kwa kuzira maisha akagoma kwenda hosptali kuchukua dawa hivi tunavyoongea kilichobaki ni kumuombea tu maana ukimuona unaweza sema ni waleo wakesho...
 
So sad. Tuombeane tuu
 
Ahsante sana, shida ni kwamba bimkubwa ananipigia simu mara kwa mara ananielezea matukio ya kaka yangu.

Nabaki naumia moyoni tu nawaza nikimuambia ukweli si atapata presha maana ni mpole na ana huruma sana.
Angalia namna ya kumuambia bi mkubwa hadi akueleww bila kumpa presha ili broo mmuokoe.
 
Ahsante sana, shida ni kwamba bimkubwa ananipigia simu mara kwa mara ananielezea matukio ya kaka yangu.

Nabaki naumia moyoni tu nawaza nikimuambia ukweli si atapata presha maana ni mpole na ana huruma sana.
Kama umeshindwa kumsaidia washirikishe ndugu zako wakubwa.
 
Ila wananaume jamani..
Mkiwa mnajisifia jinsi mnavyochakata mbususu tofauti tofauti huku mkijitetea kwamba ndo nature yenu..

Mkija Kukumbana na majanga kama haya mnakuwa wapole hadi mnatia huruma😀
 
Nina kaka yangu anapitia kipindi kigumu cha mawazo na maumivu juu ya jambo linalomsibu.

Kaka yangu alikuwa anatoka kimapenzi na mama mmoja mke wa tajiri hapa mjini, kutokana na tamaa za mali akawa amejisahau na kujiachia

Baada ya mahusiano yao ya muda mrefu, kaka akaanza kuumwa sana na kutoka vipele mwili mzima, nikamshauri aende kupima.

Vipimo vikatoka ila akasema anaumwa typhoid na vipele ni mchafuko wa damu, Baada ya mm kurudi nyumbani kumsalimia bimkubwa, nikamkuta kaka amebadilika sana amekuwa mlevi wa kupindukia.

Nikapata mashaka na ulevi wake ikabidi siku moja niende nae kunywa pombe tulilewa sana, na nilifanya makusudi ili aropoke kinachomsibu.

Dhumuni langu lilifanikiwa kweli na akaniambia ameathirika, nilishtuka na kuumia sana.

Maisha yakasogea, mm nikarudi kwenye majukumu yangu mkoa mwingine, yeye akabaki home na bimkubwa makazi ya kaka makubwa ni Nairobi.

Sasa jambo ambalo linaniumiza kichwa ni ulevi wa kaka, yaani huyu jamaa anakunywa pombe sijawahi kuona wakuu, asee amekuwa mlevi sana si mchana wala usiku muda wote yeye gage inasoma.

Mpaka sasa sijamshirika bimkubwa wala kaka zangu wengine wakubwa, na mbaya zaidi hatumii vizuri dawa za ARV.

Nawaza sana nifanyaje juu ya hili swala, naweza nikampoteza kaka yangu alafu mimi ndo nimebaki na hii siri.

Angalau angepata mtu mzima amshauri na kumpa moyo akubaliane na hali atumie dawa na maisha yaendelee, ila hataki kumshirikisha hilo swala mtu yoyote.

Tafadhali naombeni ushauri wakuu.
Mkuu
Muwekenu kwenye sala lakini maadam umejua kinachomsibu, tafuta wanasaikolojia waanze kumnasihi
 
Ukiweza kumpata mtu akamchanganyia maziwa ya nguruwe kwenye pombe hatorudia hata kupita karibu na bar ama wanapo uzia pombe.

Muhimu;
Hakikisha mkimchanganyia basi mnakuwa karibu kwa ajiri ya kumpatia uji frequently kwani akinywa tu hapo ni mwendo wa kutapika na kuharisha vyote kwa pamoja kwa mfululizo.

Lkn pia ni vyema mkatengeza mazingira akanywea nyumbani maana anaweza akahisi kuwa ulikuwa ni mpango wa kuuliwa.
 
Back
Top Bottom