Sesten Zakazaka
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 10,659
- 19,376
Vita vya wanawake vinachekesha sana, sasa sijui kama anayekusudiwa anapitaga huku!Daah! Nimekaa nikawaza huyo mwenye cheti anachambwa kwenye msg kupitia simu yake ya kiganjani kwa maneno ka hizi. ππππ
Haya bana muwe na mwisho mwema katika hizo mbio zenu.
Huenda Ses au pia yaweza kuwa ni sehemu ya kujifariji. Teh teh.Vita vya wanawake vinachekesha sana, sasa sijui kama anayekusudiwa anapitaga huku!
Itakuwa leo Pombe hazipo kichwani bana MLEVi Mmoja π π π π .Huu uzi naona wachangiaji wengi wanawake wengine sijawah kuwaona sjui hii Mada itakuwa na nini?
Unamlipia bundle? Mwache aandike chochote ... Kama huna mume na una cheti usikasirikeIngekua vizuri huu ujinga wako ungemtumia mlengwa kwa simu yake or hata ungemfuata uko aliko.
Kuna Shida kichwani sio bure ,Bwana Yesu amtetee aweze kujitambuaKumbeee
Hainaga digirii
Kwenu wote kina dashosty mnaojisifia digirii zenu ujumbe unawahusu. Digirii kajisifie nayo ofisini kwako au unapoomba kazi ya kuajiriwa ya kidigirii. Haihusiki kwengine. Ladha ya chumvi ni ileile kwa mwenye digirii na asokuwa nayo. Kama digirii zenu zingekuwa mali hao waume zenu wenye digirii...www.jamiiforums.com
DUUUH! HUU UZI WA KIBABE, UNA MADEM KIBAO! HALAFU ID MPYA HAZIJAWAHI KUONEKANA SANA
Taarabu tena Jf!!!!!!!!!!Kama cheti mali kitandike kitandani kwako ukilalie. Au jaribu kujifunika nacho kikutie joto. Nachekajeeee? Halooooooooo?
Na wanangu wana haki zote kwa baba yao.
Nakukumbusha tu.
Wapi nimeandika nimekasirika?Unamlipia bundle? Mwache aandike chochote ... Kama huna mume na una cheti usikasirike
Umeonaeeee!Taarabu tena Jf!!!!!!!!!!
Ndoa ipi? Cheti tu anaringia. Na hakimsaidii. Kila siku mikelele tu huko anakokunywa mipombe na mashangingi wenzie wa kwenye masemina na warsha. Na sasa anko M alivyozipiga panga hizo makongamano mbona mishauo kwishneeeee!Nafikiri hiyo ndoa ya mwenzake inamtesa Sana ,ametamani kuingia kashindwa ,kwa hayo maneno nawaza kama kazaliwa Manzese vile na kukulia uzuri ,Mungu amsaidie ajitambue kama ni mwanamke mwenye watoto wanaomtegemea wapate malezi bora