Etwege
JF-Expert Member
- Jul 4, 2018
- 7,856
- 19,566
Alafu malofa chadema wanasema Magufuli amebana wananchi hawana hela mfukoni.!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilitaka kusema hivyo, mods waunganishe huu uziHongera na shukuru Mungu mkuu.
Kumbuka katoe fungu la kumi hata kwa yatima.
Sisi wengine kulikuwa na tatizo la kifundi kidogo.
(nadhani huu uzi utaunganishwa)
Now what kind of ludicrous bollocks is this?Kuokota sio kuzuri mkuu, utakuja kuwa omba omba wewe mpaka ushangae
Sent using Jamii Forums mobile app