Una cha kujivunia mwisho mwa mwaka 2019 ?

Una cha kujivunia mwisho mwa mwaka 2019 ?

1. Nimewavutia maji kwa Babu na Bibi

2. Nime watengenezea choo Babu na Bibi

3. Nimevuta sana Bange

4. Punyeto kama mara kumi Wife hakiwa hayupo.

5. School fees na Bus kwa watoto bila usumbufu

6. Nimejishusha kwa watu wote

7. Nimekaa kwenye Pipa zaidi ya masaa 15

8. Nimetembelea makaburi ya ndugu zangu na kuwaombea.

9. Nimemfanyia Massage Mke wangu kuliko miaka yote.

10. Nimemuombea sana Rais wangu na viongozi wote wa awamu ya tano, bila kusahau kuomba niwe na Busara kama za Babu Mzee Mizengo Pinda.

11. Nimemshukuru sana Mungu kwa Uhai na Amani ya Taifa letu.

NB niombee niache bange maana nikijaribu kuacha sipati Choo na nakuwa mpuuzi wa kutokuwa na malengo.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ww report kwa mod..mm usenge usenge sipend kbs utadhan mlichepuka naye nakuambiaga demi hum kuna matoto hata hayajielewi...!ovyo sana!
Relax maa! Sema ww hunisaidiagi!mie nanunua tu ugomvi..ashukuru sina net nzuri!
😏

Enge
Kuna watu wanapenda tu kumkera mtu. Yaani amkere mtu ambae hata hajamchokoza nimeshangaa sana..itakuwa nilichepuka na mumewe
 
Wivu wa kike huo!leo ndo uelewe why sipend kuwa chitchat..utoto sana.. Pumba tupu!utaona mtu anasema oh mane anaringa..kata kbs jukwaa za kishenzi!jitu hata hulijui linakiattack..ipambane na utahaira wao hukooo!shenzy typ


Sijaelewa hivyo. Umesema niache kuchepuka kwasababu nimeolewa. Nimechepuka na mumeo au na nani? Na kama nachepuka how come unaumia sana? From nowhere unaniambia hivyo unadhani najisikiaje?
Unaona raha gani kumkera mtu kwa makusudi? Anyway...Asante.
 
Wivu wa kike huo!leo ndo uelewe why sipend kuwa chitchat..utoto sana.. Pumba tupu!utaona mtu anasema oh mane anaringa..kata kbs jukwaa za kishenzi!jitu hata hulijui linakiattack..ipambane na utahaira wao hukooo!shenzy typ
Ni upuuzi tu, chit chat ni kujifurahisha tu. Siasa siiwezi mie huko maugomvi kila siku. Ngoja nihamie jukwaa la historia 😆😆
 
1. Nimefanikiwa kuanza kupanga chumba self contained na kuwa na kila kitu cha msingi kwa kijana wa kisasa.
2. Nimefanikiwa kulima shamba langu la eka moja na robo kwetu Bukoba/Missenyi tayari kwa kupanda ovacado. Nina plan ya kulima eka 10 ndani ya miaka mi3.
3. Nimefanikiwa kununua shamba lingine la eka moja na nusu. Hilo nina mpango wa kuanza nalo January kulipiga ovacado pia.
4. Nimefanikiwa kuanza ujenzi kijijini kwangu na nimemaliza msingi. Mwakani nitaanza kupandisha tararibu panapo majaliwa.
5. Nimefanikiwa kuboresha shamba langu la vanilla katika kiwango nilichokitaka.

6. Nimesafiri safari ya kuenjoy tu Dar, Tanga na Zanzibar. Sikuwahi kufika Zanzibar. Na sikuwahi kusafiri kwa ajili ya just kuenjoy. Kwangu ni mafanikio

Majanga:
Nimetapeliwa hela nyingi ambayo sikuwahi kuishika kwa pamoja na ilikuwa mara yangu ya kwanza kuishika. Nimetapeliwa na jamaa angu mmoja. Ila nimegundua tatizo lilipo. Malipo ni hapa hapa duniani. Nami nshawahi kuwaliza washkaji zangu Dar hela ndefu kidogo. Naona ndo malipo yake sasa japo mimi baada ya kuanza kutengamaa kiuchumi nilikubali kuwa nawalipa kidogo kidogo

ALL IN ALL MUNGU APEWE SIFA. AZIDI KUTUJALIA AFYA YA AKILI NA MWILI TUZIDI KUPAMBANA 2020

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom