Hilo ni sawa but iwe zawdi ambayo mwanaume ataitoa kwa wazazi tena kuna baadhi ya makabila ukipangiwa kwenda kutoa mahari ujipange uwe na zaidi ya hapo maana ukifika hupokelewi mpk uache pesa ambayo uikuta ktk ungo imeandikwa ukishaitoa na unakaribishwa kusikilizwa hv ndugu yangu leo napangiwa mahari 1m ninakaa ktk nyumba ya kupanga mshahara unaujua ulivyo je tutaoana kweli au tutaishia kupeana mimba na kukaa pamoja
Zaman tulikuwa hatutoi pesa in cash, mostly ni mifugo, mazao, ngozi za wanyama, makoti ya wazee, blanket n staff of those kind. Hapo sasa unaongelea Tamaduni zetu, baada ya Ujio wa wajuaji aka wazungu, watu macho yakafunguka, mahar zikaanza kuwa convntd into Cash, sasa hapa mahar ikawa mtaji.
Mfano. Katika Masuala ya Mila n everything, kwa baadhi ya makabila, ilikuwa siku ya ndoa, kitandan wanatandika shuka jeupe, kisha unalala na mkeo, mkimaliza kufanya yenu, shangazi anakuja kukagua shuka ili kudhibitisha kama kweli mtoto alitunzwa.
Hapo naongelea bikra kwa Mwanamke. Leo mahari milioni mbili, afu papuchi yenyewe unakuta used, ishachakachulia mbaya, very unfortunate, watu wanaoa sura nzuri na maumbile kwa gharama kweli, ili hali ndani kushavurugwa, Mantiki nzima ya mahari inapotea, Unasema zawadi. Unamzawadia mzazi nn? Kwa kipi, wakati mtoto hana bikra, na hata hajui ilitoka lini, maana wengine zinatoka bado wako primaly school.
Lakini logic nyingine ni kuwa, Mwanamke akiolewa anakuwa chini ya mamlaka ya alie muoa, ndio maana baada tu ya mahari kutolewa hata baba wa mwanamke anakuwa hana sauti juu ya mume aliemtolea mwanae mahari.
Hata watoto wakizaliwa wanakuwa chini ya Mume na Familia ya Mume, ndio maana ni nadra sana kusikia watoto wanasomeahwa na wajomba zao, yaan kaka za mama zao,
Its like, mwanamke anaachana na familia yake, anaambatana na familia yaMume wake, ankuwa part of that family for good. Sisi kwetu Mke akifariki tunamzika kwetu, maana ni wetu, hana chake kwa baba na Mama yake.
Sina maelezo mazuri sana, but nadhan mmenielewa.