Umuhimu wa mahali wakati wa kufunga ndoa

naswabu

Member
Joined
Jun 26, 2014
Posts
55
Reaction score
14
Jina langu marufu naitwa MASTER ON THE BEAT,naomba wadau wenzangu mnisaidie, Hivi kuna umhimu gani wa mahali kuzidi kupanda kwenda kwenye mamilioni ya pesa,jee?
watoto wa kike siku hizi ni biashara au. Pia naomba kujua ni umri gani ambao binti anaruhusiwa kisheria kuolewa kwa mamuzi yake binafsi hata wazazi wakipinga.
 
Mkuu wewe ni kule kule bila shaka.Ni Mahari sio mahali
 
Mahali ni kama zawadi tu kwa wazazi unapomchukua binti yao lakin kwa sasa ni kama mtaji watu wanapanga mahali kubwa kama kukomoa muoaji
 
Mahari ni mila na desturi ambazo jamii imejiwekea. Na umuhimu wake ni kuonyesha heshima tu japo si kweli.
 
Mahali ni kama zawadi tu kwa wazazi unapomchukua binti yao lakin kwa sasa ni kama mtaji watu wanapanga mahali kubwa kama kukomoa muoaji

Kwa mwanaume Hatuna wazazi?!
 
Mahali na mahari yana maana tofauti kabisa. Edit heading.
 
Hata kama una wazazi lakini ni utaratibu ambao upo hata isaka alitoa zawadi kwa wazazi wa rebeka

Mahali ni zawadi?!! Na hata ingekuwa zawadi ndio upande mmoja wa mwanamke tu?!
 
Mahali na mahari yana maana tofauti kabisa. Edit heading.

ivi kama ulisoma hkl unadhani wote wamesoma iyo acheni ulimbukeni ushaelewa anachomaanisha then what watu kama hawa si ajabu form four alifail
 
bado mnatoa tu mahari!!! mabinti wenyewe wana njaa ya kuolewa hata bure hamna wa kukataa we hiyo milioni umeisikia wap
 
Halafu km wanaambizana hv sijui kipuri gani kimependa bei kwa watoto wa kike maana mahari zao utafikiri arudi kwao tena
 
Hata kama una wazazi lakini ni utaratibu ambao upo hata isaka alitoa zawadi kwa wazazi wa rebeka

Zawadi hakupangiwa apeleke nini...unajua baada ya wazazi wafurahie binti yao kuolewa ekiwezekana wampe uhuru mwanaume atoe nini km zawadi na sio kumpangia gharama maana kuolewa ni neema sio wote wanaolewa
 
Halafu km wanaambizana hv sijui kipuri gani kimependa bei kwa watoto wa kike maana mahari zao utafikiri arudi kwao tena

Usiogope mkuu hata hvo mahari huwa haiishi,ukipangiwa milion toa hata laki tatu nyingne unasema ntaleta wakikupa binti yao basi
 
Back
Top Bottom