Mtotowamama
Member
- Oct 25, 2012
- 61
- 13
Zaman tulikuwa hatutoi pesa in cash, mostly ni mifugo, mazao, ngozi za wanyama, makoti ya wazee, blanket n staff of those kind. Hapo sasa unaongelea Tamaduni zetu, baada ya Ujio wa wajuaji aka wazungu, watu macho yakafunguka, mahar zikaanza kuwa convntd into Cash, sasa hapa mahar ikawa mtaji.
Mfano. Katika Masuala ya Mila n everything, kwa baadhi ya makabila, ilikuwa siku ya ndoa, kitandan wanatandika shuka jeupe, kisha unalala na mkeo, mkimaliza kufanya yenu, shangazi anakuja kukagua shuka ili kudhibitisha kama kweli mtoto alitunzwa.
Hapo naongelea bikra kwa Mwanamke. Leo mahari milioni mbili, afu papuchi yenyewe unakuta used, ishachakachulia mbaya, very unfortunate, watu wanaoa sura nzuri na maumbile kwa gharama kweli, ili hali ndani kushavurugwa, Mantiki nzima ya mahari inapotea, Unasema zawadi. Unamzawadia mzazi nn? Kwa kipi, wakati mtoto hana bikra, na hata hajui ilitoka lini, maana wengine zinatoka bado wako primaly school.
Lakini logic nyingine ni kuwa, Mwanamke akiolewa anakuwa chini ya mamlaka ya alie muoa, ndio maana baada tu ya mahari kutolewa hata baba wa mwanamke anakuwa hana sauti juu ya mume aliemtolea mwanae mahari.
Hata watoto wakizaliwa wanakuwa chini ya Mume na Familia ya Mume, ndio maana ni nadra sana kusikia watoto wanasomeahwa na wajomba zao, yaan kaka za mama zao,
Its like, mwanamke anaachana na familia yake, anaambatana na familia yaMume wake, ankuwa part of that family for good. Sisi kwetu Mke akifariki tunamzika kwetu, maana ni wetu, hana chake kwa baba na Mama yake.
Sina maelezo mazuri sana, but nadhan mmenielewa.
Ilikuwa zamani wakati wanaume wanajitambua. Siku hizi changamoto kidogo tu baba anatelekeza familia na watoto wengi wanalelewa na ndugu wa upande wa mama.
Pia mwanaume akifariki ndugu zake wanachojali ni mali alizoacha, watoto anaachiwa mama.
Kuhusu kutunza watoto usiseme kabisa. Ni afadhali mahari ipande ili iwe kama advance ya kutunza watoto lolote likitokea.