Umuhimu wa kutozima Simu usiku

Aiseeee,alinusurika
 
kuna miaka ya nyuma kidogo nilikiwa namiliki kibasi cha abiria simu ikipigwa usiku gari imearibika duu nishatoka na pensi la kulalia nakajikuta niko ubungo hapo ndio nilipoona umuhimu wa kuzima simu usiku napatatizo nayajua asubuhi tu
Pole Sana,Ila Anza kuiwasha
 
Ni muhimu boss kuacha simu on,uko sawa
 
Umeanza kuzeeka,hahahaaa
 
Hizi dhana za ilipangwa wakati mwingine yafaa tuzikae kabisa mawazoni mwetu.
Ina maana waafrika ilipangwa tuwe masikini tu
 
Type kisa basi Demi
Kuna kipindi mwanangu alikuwa kwa bibi yake kwa muda, akawa anatokea huko kuelekea shule. Kuna siku ikatokea kaenda shule hakurudi na school bus imepita.
Nilitafutwa hiyo jioni na usiku wote sikupatikana, na mimi pekee ndio nina contacts za shule.
Kesho yake nakuja kupatikana kupewa taarifa nilikaribia kuzimia.

Tangu siku hiyo sizimi simu kabisa tena naweka volume kubwa
 
Kila Jambo Lina Mungu,nakubali kabisa
 
Pole Sana,dogo alienda wapi? Hawa wanetu hawa!
 
Hovyo sana mimi alikinpigia usiku ananikata stimu sana kwahyo bora nizime ata sometimes mchana nikipumzika zangu uwaga nazima kimya
Haya kiongozi,weka hata vibration tuu
 
Mimi nikishalewaga mimi na simu yangu wote tunazima. Tunakuja kuamshana asubuhi atakayemwahi mwenzake kama ni mimi au alarm.
Punguza basi pombe,au uache kabisa
 
Unaweza arrange namna ya kuondoka kabla hujaenda kazini, kuna pesa nk, wanaweza fika hospitali dawa zikakosekana wakahitaji pesa ili utatue changamoto hiyo.
Unawaza kwa MAKALIO
Mambo ni mengi mno
 
Paka!!Kali hiyo
 
Nimekuelewa mkuu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…