Umuhimu wa kuhonga katika mapenzi

Huyo mke sasa labda ukamtoe vjjn kule ndandan, il uheshmike na kmrembo chako honga honga honga had mwsho mkuu
 
Ha ha haah...wewe HS, usijisahaulishe banaa. Hiyo haiitwi kulipisha aisee. Bali tuliambiwa na wahenga (walee wa Msoga) kuwa ukitaka kula na wewe ukubali kuliwa hata kidogo tu. Nafikiri hii ndio ile Waingeretha wanaiita...win-win situation.
I love yuuuuu[emoji7] [emoji7]
 
Labda wale wa miaka ya 70, sio hawa wa simu za tachi. Nakwambia ukimpa vyote hivyo, halafu mchezo wa kitandani ukaujua, hata kuolewa hatataka atabaki na wewe tu ingawa wewe ni mume wa mtu, atakuja shtuka ana miaka 48.
For money mongers labda, si kwa mwenye vision ya maisha. Shida mkiona mabinti watatu au wanne wenye tamaa ya kuhongwa basi huwa mnageneralize wote. Huo sio mtazamo sahihi.
 
Hahhaha wewe unadhani wote humu wanahongwa? Kuna wengine humu wana nyota za kukopwa kuhongwa wanakusikia tu kwa shostiz wao. Uoga wako ndo umaskini wako
Daaah!!! Hao wakukopwa ndo size na halali yangu dear!!....umeniokoa kwa kunipa idea hiyo!!......You saved me!!!....please,please,please nionyeshe mmoja na rohoo yangu itapona!!!
 
Daaah!!! Hao wakukopwa ndo size na halali yangu dear!!....umeniokoa kwa kunipa idea hiyo!!......You saved me!!!....please,please,please nionyeshe mmoja na rohoo yangu itapona!!!
Hahaha unataka nikusaidie na kukuonyesha tena mpendwa? Ok usijali, kuwa tu mvumilivu kwanza
 
For money mongers labda, si kwa mwenye vision ya maisha. Shida mkiona mabinti watatu au wanne wenye tamaa ya kuhongwa basi huwa mnageneralize wote. Huo sio mtazamo sahihi.
Lengo letu ni kwamba wote wabadilike wawe kama wewe.
 
Lengo letu ni kwamba wote wabadilike wawe kama wewe.
Muanze kubadilika nyie wahongaji, kataeni kuhonga mtangaze bartering,unakuwa ni mwendo wa ku exchange services. Lakini kwa kuwa wenyewe mnapenda kuhonga basi na wenyewe lazima wapende kuhongwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…