Umuhimu wa kuhonga katika mapenzi

Umuhimu wa kuhonga katika mapenzi

Tuongelee zile "direct" hongo, kama cash au materials. Achana na zile zisizoonekana au kushikika. Wanawake na wanaume wote tunahitajiana katika starehe ya kiwiliwili, na tulivyozoea wahongaji wengi ni wanaume kuliko wanawake, Hebu wanaume kataeni kuhonga tuone kama mtasitishiwa hiyo huduma.
Mkuu, yaani hilo siyo la kuuliza, huduma ita/inasitishwa mara moja, utaitwa Mwaume suruali !! Kama Mdada kakupenda kweli kwa maana kwamba huwa unafikisha, atakuwa na wewe kwa ajili hiyo, lakini utachapiwa na Mhongaji fulani.
 
Mkuu, yaani hilo siyo la kuuliza, huduma ita/inasitishwa mara moja, utaitwa Mwaume suruali !!
Teh teh.. Unaitwa hivyo kwa sababu kuna wanao honga, mngefanya kampeni kwa umoja wenu kupinga hongo kwenye mapenzi mkuu.
 
Usipohonga anakimbia mazima.

Unakosa vyote
yaan wahongaji hawapo mwee mi sijawahi hongwa aisee hata birthday gift hakuna aaaah wanaume hawa khaaa yaan anajikuta ana zawadi toka kwangu kibao mwaka mzima ye hana alichotoa hana hata aibu looo wanaume muwe na aibu mtu hongee kha
 
yaan wahongaji hawapo mwee mi sijawahi hongwa aisee hata birthday gift hakuna aaaah wanaume hawa khaaa yaan anajikuta ana zawadi toka kwangu kibao mwaka mzima ye hana alichotoa hana hata aibu looo wanaume muwe na aibu mtu hongee kha
Wahongaji mbona wapo kibao tu.??

Badilisha channel. tafuta channel zinazohonga.

Utakufa na utamu wako , shauri lako.
 
Teh teh.. Unaitwa hivyo kwa sababu kuna wanao honga, mngefanya kampeni kwa umoja wenu kupinga hongo kwenye mapenzi mkuu.
Ni vigumu kuwa na umoja kama huo, hata ukiwepo utakuwa wa mashaka, hakuna mtu atamwamini mwingine maana hiyo ni rushwa na ufisadi ambavyo kama kawaida vinafanyika kwa siri vikihusisha Mtoaji na Mpokeaji.
 
nakufa nao aisee wanaume hawana shukurani
ha ha ha
wanaume wamejaa shukrani sana aisee, tatizo wanawake huwa hawajulikani wanataka nini katika mapenzi.

Mwanamume ukitaka kuishi maisha magumu kwenye mahusiano, we anza kujiuliza tu hivi huyu mpenzi wangu huwa anataka nini nimfanyie kwenye mahusiano??

Hapo utapasuka kichwa.
 
ww unamuona mmbaya lakin wanawake wenzio wanamlilia wanataman wampate aisee inatubidi tusije na wake zetu "dalisalama"
Sio kama ana sura mbaya. He is so beautiful to me. Mwanaume kama huyo hata afanyaje hanisisimui.
 
Na wasipohongwa ao unakuwa heshima yako co kubwa xana Kubali yote na mda wwte unaweza kubadilikiwa yan *
 
1. KUHONGA HUBORESHA MAPENZI:

Fahamu kuwa unapomhonga mpenzi wako unamfanya ajihisi kama ni wapekee kwako, atajiona kama ni mmoja wapo kati ya watu wenye thamani kwako na huamini kama kweli upo karibu yake na unamjali.

Hali hii humfanya yeye kushindwa kutolipa mazuri kwako.
Wengi kabla ya kuomba papuchi hutanguliza hongo kwanza, si lazima iwe pesa hata hongo ya sifa za uongo na ukweli.

Kwa kuhonga kwako inamlazimu na yeye kulipa fadhila kwa kuonesha upendo wa dhati na utamfanya azidishe mapenzi kwako.



2. KUHONGA KUNAJENGA SANA KUMBUKUMBU KATIKA MAPENZI:

Fahamu kuwa unapomhonga mpenzi wako inakusaidia wewe kujijenga katika mawazo yake na endapo kama itatokea mkaachana nae basi pindi mpenzi wako atakapokuwa anaziona zawadi zako zitamfanya akukumbuke kwa mengi na atahisi kama kuachana na wewe kwake kuna tofauti na atajihisi kupoteza vingi toka kwako na kamwe kumbukumbu yako kwake haitofutika kila anapoona vitu ulivyomhonga.

Jitahidi sana unapohonga usihonge pesa tu, honga vitu vya kudumu maana huwa asset yako ya baadaye, pindi unapotokea mkwaruzano baina yenu.

Pesa huwa ni hongo inayovutia kwa muda mfupi na husaidia kupata kile unachokitaka kwa muda mfupi, ila jua atazitumia zitaisha utakuwa hujajenga misingi imara ya mapenzi.

Simaanishi kuwa usimpe mpenzi wako hela, hapana ila inabidi ufahamu kuwa pesa hutumika katika kukidhi mahitaji na sio katika kuboresha mapenzi.

Aisee jifunzeni kuhonga mpunguze stress za mapenzi.
Wamekusikia
 
Wewe unahonga wenzako wanapiga mzigo bure....halafu kwenu wanashida kibao.....
 
Back
Top Bottom