Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 89,414
- 176,331
Kama ni kuhonga huko basi nitahonga!!! kam zis wei pliz...
safi sana, here i am sir.
Kama ni kuhonga huko basi nitahonga!!! kam zis wei pliz...
Ha ha ha...bora umemuita huyo binti maana nahisi HELA ndio msamiati pekee wa maana anaoujua. Kibaya zaidi hapendi kuitwa kwenda kuchukulia hela geto/home kwa mtoaji....yeye anataka atumiwe kwa M-pesa, Tigo Pesa etc. atoto ni shida aisee..lolz!
Hawa dada zetu siyo kabisa, kama mtu ni masikini hupati penzi! Najua am lonely kwa sababu sihongi but i thank God within my loneliness i find happiness na siku zinasonga!.....
Upo sahihi kabisa mkuu.
to yeye uncle wangu hajambo?aisee,kiukweli kuhongwa muhimu sana
Utamu wa chipsi mimba, by R.MugabeMie nikihongwa CHIPS MISHIKAKI roho inakuwa kwatuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu
Asante kwa huu uzi, mwenzenu nina maradhi ya kuhonga (hongariasis), yaani nahonga karibia kila siku, wengine siwajui nahonga tu. Kumebarikiwa kuhonga.
Teh muwe na huruma basiHa ha haah...wewe HS, usijisahaulishe banaa. Hiyo haiitwi kulipisha aisee. Bali tuliambiwa na wahenga (walee wa Msoga) kuwa ukitaka kula na wewe ukubali kuliwa hata kidogo tu. Nafikiri hii ndio ile Waingeretha wanaiita...win-win situation.
Aah mpendwa kisa cha kujikatia tamaa hivyo ni nini?Hawa dada zetu siyo kabisa, kama mtu ni masikini hupati penzi! Najua am lonely kwa sababu sihongi but i thank God within my loneliness i find happiness na siku zinasonga!.....
Yani arelax kabisa, kina miss bonus tupo wa kutosha mnooooAisee umeongea kwa huruma, usijali wapo watu kama akina Heaven Sent na Valentina ambao wao kwao pesa ni bonus tu so watakupenda tu.
Naomba mshtue Heaven Sent mwambie naomba anionee kahuruma dear, ila mwambie kuwa mimi ni masikini sana!Aisee umeongea kwa huruma, usijali wapo watu kama akina Heaven Sent na Valentina ambao wao kwao pesa ni bonus tu so watakupenda tu.
Kisa cha mimi kujikatia tamaa kiasi hicho ni kwamba mimi ni masikini sana!Aah mpendwa kisa cha kujikatia tamaa hivyo ni nini?
Yani arelax kabisa, kina miss bonus tupo wa kutosha mnoooo
yaani mwanaume anayenipa hela namuheshimu kupita maelezo, yaani namuheshimu hadi naogopa. wacha pesa iitwe pesa bwana.
I love it, so if you have it basi i'll love you.
Huyo anapenda kuhongwa ila asivuate hongo ghetoatoto unaitwa huku
Na anayekufikisha kileleni je..??yaani mwanaume anayenipa hela namuheshimu kupita maelezo, yaani namuheshimu hadi naogopa. wacha pesa iitwe pesa bwana.
I love it, so if you have it basi i'll love you.
Teh muwe na huruma basi