Johnson Kazimoto
Member
- Jun 9, 2016
- 33
- 9
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] daaah we nomahahahahahahahahaha😀 mie nikihongwa chips mishikaki sitamsahau huyo mtu kila mara atakuwa anagonga kichwani kwangu hahahaha
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] daaah we nomahahahahahahahahaha😀 mie nikihongwa chips mishikaki sitamsahau huyo mtu kila mara atakuwa anagonga kichwani kwangu hahahaha
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hufai weweMi ukinizingua nakomba adi papuchi yako ubaki empty
Aaah aifate mumlipishe eehHa ha ha...bora umemuita huyo binti maana nahisi HELA ndio msamiati pekee wa maana anaoujua. Kibaya zaidi hapendi kuitwa kwenda kuchukulia hela geto/home kwa mtoaji....yeye anataka atumiwe kwa M-pesa, Tigo Pesa etc. atoto ni shida aisee..lolz!
Wewe ni lady?Mie nikihongwa CHIPS MISHIKAKI roho inakuwa kwatuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] mbona mi ndo nafaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hufai wewe
Sent from my HUAWEI Y330-U11 using JamiiForums mobile app
Kumbe wewe ni KE!Mie nikihongwa CHIPS MISHIKAKI roho inakuwa kwatuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu
Aaah aifate mumlipishe eeh
teh teh teh
Mkuu jifunze kuhonga aiseee
Ila uwe presentable sasa...Kuchomoka
sikia tu mkuu acha kabisa ...mimi mwanaume akinihonga yaani sijui nikuambieje sina tu bahati hyo nikimpata naishia kupigwa mizinga
jitahidi sana kuhonga