Umuhimu wa kuhonga katika mapenzi

Umuhimu wa kuhonga katika mapenzi

kweli kabisa hakuna hela tamu kama ya mwanaume nasema hakuna yaani mwanaume anaetoa hela anaujaza moyo hata ukijamba unasikia harufu yake.
yaani wanaume msioonga jipeni moyo tu ila mjue mnakera kama tume ya uchaguzi
Duuuh! hapa kazi ipo
 
Hahaha wewe usitoe siri bana, wasije wakaghairi bure, tutakufa njaa mjini hapa uwiii

hahahaaaaa! naomba wasisome maana tutaaibika kwakweli, wanatufaa sana hawa viumbe, heko kwa wanaume watoaji na wabarikiwe hadi washangae wazidi kutung'aarisha.
 
Tunahitaji kuhongwa jamani tujickie vizur sio mwanaume unakua na mkono wa birika tu haipendezi kabisa...kuongwa raha jamani..
 
kiuhalisia wote hatuhongwi ila tunatamani sanaaa tungekuwa tunahongwa, hivyo nae aache kulia lia atafute japo kidogo hicho hicho kitawatosha.
Leo sijui tumeamkia upande gani, tunaelewana tu. Actually karibu kila mtu anapenda kuhudumiwa + heshima iwepo palepale. (Maana mwingine akikuhudumia ndo anataka akikohoa tu wewe ushapiga magoti Mfyuuuu).
Yeah kulia lia hakusaidii kabisa, na wala usikutane na mwanamke ukaanza kutangaza njaa zako. Kila mtu ana shida, ila tunakufa tu kisabuni. Sasa ukinililia sijui nikueleweje
 
hahahaaaaa! naomba wasisome maana tutaaibika kwakweli, wanatufaa sana hawa viumbe, heko kwa wanaume watoaji na wabarikiwe hadi washangae wazidi kutung'aarisha.
Hahha wabarikiwe hadi washangae jamani mwee
 
hata mimi nashangaa!! ile chai ulonipa asubuhi ulitia nini? mwanaume lazima awe MWANAUME heshima atapewa tu, tena watashangaa jinsi tunavyokuwa WANAWAKE ila they must lead maana si ndio vichwa ati, basi wawe VICHWA kweli.

Leo sijui tumeamkia upande gani, tunaelewana tu. Actually kila mtu anapenda kuhudumiwa + heshima iwepo palepale. (Maana mwingine akikuhudumia ndo anataka akikohoa tu wewe ushapiga magoti Mfyuuuu).
Yeah kulia lia hakusaidii kabisa, na wala usikutane na mwanamke ukaanza kutangaza njaa zako. Kila mtu ana shida, ila tunakufa tu kisabuni. Sasa ukinilia sijui nikueleweje
 
"Jitaidi sana unapohonga usihonge pesa tu, honga vitu vya kudumu maana huwa asset yako ya baadaye pindi inapotokea mkwaruzano kati yenu"

Hii ni hongo au uwekezaji???
 
hata mimi nashangaa!! ile chai ulonipa asubuhi ulitia nini? mwanaume lazima awe MWANAUME heshima atapewa tu, tena watashangaa jinsi tunavyokuwa WANAWAKE ila they must lead maana si ndio vichwa ati, basi wawe VICHWA kweli.
Chai niliitia juice cola (uhaba wa sugar). Hawa mbona wanajua vizuri, kizazi tu cha mwendokasi
 
Napenda sana tu kuhongwa hasa nikibaini anaenihonga ananihonga kwa upendo wa dhati na si kwa sababu ya kitu fulani, maana mwengine anakuhonga kwa vile anahitaji kitu fulani kwako so anajaribu kukuweka karibu na akishakipata anapotea. lkn kama anakuhonga kidhati sio shida.
Kumgundua sasa ndio shida
 
Mleta mada ni mjanja sana amewatega na ametusaidia tujue aina ya wanawake tulio nao, tena mleta mada ametaja mada direct bila kuficha.

Mleta mada hajazunguka kuita zawadi bali kuhonga"hongo" kuna baadhi walikuwa wakijinasibu kuwa wao wana maisha yao hawategemei kuhongwa wala wanaume. Wengine walitutajia hata vipato vyao kwa siku/ mwezi. Lakini ktk thread hii mambo yote hadharani.

Ktk mada hii imeonekana dhahili wanawake hutegemea kuhongwa na wanaume almost 100% na si vicevesa.
NB; To be independent, you must avoid dependence, aina ya wanawake wa kiafrika ni majanga.
 
Ukitaka kummaliza honga vyote, Kahela kidogo, na ka asset kidogo kama kajumba vile, vifenicha, ka-TV, Kafriji, Kagari na kahela ka -kumalizia kadegree kake hapo umemaliza, hata akitaka kuolewa na mtu mwingine ni lazima wewe ndiye utakuwa Mshenga.
Ha ha ha haaa... Hapa unajipa moyo tu, unaweza kuhonga vyote mwisho wa siku akakuona sio type yake. Mapenzi ni zaidi ya material things.
 
Ha ha ha haaa... Hapa unajipa moyo tu, unaweza kuhonga vyote mwisho wa siku akakuona sio type yake. Mapenzi ni zaidi ya material things.
Labda wale wa miaka ya 70, sio hawa wa simu za tachi. Nakwambia ukimpa vyote hivyo, halafu mchezo wa kitandani ukaujua, hata kuolewa hatataka atabaki na wewe tu ingawa wewe ni mume wa mtu, atakuja shtuka ana miaka 48.
 
Back
Top Bottom