Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 89,414
- 176,332
Hahaha unataka nikusaidie na kukuonyesha tena mpendwa? Ok usijali, kuwa tu mvumilivu kwanza
behaviourist anazingua aisee!
Hahaha unataka nikusaidie na kukuonyesha tena mpendwa? Ok usijali, kuwa tu mvumilivu kwanza
Sio kosa lake, na kutojiamini pia.behaviourist anazingua aisee!
Tena waongeze pesa yakutuhonga. Maana vitu vimepanda bei.Kuhongwa raha sana
Wanaume msiache kuhonga
Muhonge basi yule mwanafunzi wa ardhi anayetaka kujiuza kisa kakosa mkopo!
Duh mbona nmekupenda gafla, i wsh nkupate jamn![]()
![]()
![]()
Kweli lazima ikatwe kodiTena waongeze pesa yakutuhonga. Maana vitu vimepanda bei.
Nasikia wewe ndo kinara wa kupenda hongo, nataka nijikongoje na huu umasikini wangu nipande dau dear!.........Are you ready?behaviourist anazingua aisee!

Nasikia wewe ndo kinara wa kupenda hongo, nataka nijikongoje na huu umasikini wangu nipande dau dear!.........Are you ready?![]()
Nimekuwa lonely mda mrefu mno and my heart is so needing love,naomba nikopeshe penzi dear!wmy dear we jikongoje kwanza kuondokana na umasikini unaokufanya upoteze kujiamini, usiwekeze kwenye papuchi, hizi papuchi zipo tu.
Nimekuwa lonely mda mrefu mno and my heart is so needing love,naomba nikopeshe penzi dear!
It was emotional language/expression!!........ Unakwepa kunikopesha ila poa tu!and you said, through yo lonliness you found happiness, thats wht matters. So keep on being happy.
Hata hivyo, hakuna anayehonga bila kutegemea malipo/upnedeleo wa aina fulani (favor). Hata wewe unamhonga mume au mpenzi wako bila kujua kuwa unamhonga.Muanze kubadilika nyie wahongaji, kataeni kuhonga mtangaze bartering,unakuwa ni mwendo wa ku exchange services. Lakini kwa kuwa wenyewe mnapenda kuhonga basi na wenyewe lazima wapende kuhongwa.
Tuongelee zile "direct" hongo, kama cash au materials. Achana na zile zisizoonekana au kushikika. Wanawake na wanaume wote tunahitajiana katika starehe ya kiwiliwili, na tulivyozoea wahongaji wengi ni wanaume kuliko wanawake, Hebu wanaume kataeni kuhonga tuone kama mtasitishiwa hiyo huduma.Hata hivyo, hakuna anayehonga bila kutegemea malipo/upnedeleo wa aina fulani (favor). Hata wewe unamhonga mume au mpenzi wako bila kujua kuwa unamhonga.
Hapo sio kuhonga, ni kutimiza wajibu wa mume kwa mke. Rekebisha Kauli mkuuNamhonga mke wangu tu