Umuhimu wa kuhonga katika mapenzi

Umuhimu wa kuhonga katika mapenzi

Yeah nilihisi tu hilo. Hahhaa kweli bora upewe cash, tatizo hawa vijana wa mwendokasi nao wana akili kama Mchwa, utaambiwa cash uifate home
ahahaa ukifata home ukifika ufue minguo ya week nzima,mashuka yote machafu ufue mwishowe unagegedwa kwenye godoro kavu halafu unapewa elf 20 wakati ulitumia bodaboda elf 10 ili ufike ukiwa msafi
sasa kwenye elf 20 toa nauli elf 10 .ukitoa tena ya kurudi ni ziro juu ya ziro menina!
 
kumuhonga dem kunamfanya ajione wa thaman kwako au akuchukulie kama baba ake
 
Mie napenda kuhonga kwa kuwa inanifanya nione natimiza wajibu wangu kama mwanaume kumhudumia demu wangu
 
yaani taabu tupu, ukipewa gari unanyang'anywa ukipewa nyumba hali kadhalika, pesa nazo ndio vile tena hadi uzifuate basi tafrani. Ila bora pesa tu kuliko kuha kunyang'anywa vitu unabaki ukifedheheka.
Hahaha tutawaundia kamati mbona
 
ahahaa ukifata home ukifika ufue minguo ya week nzima,mashuka yote machafu ufue mwishowe unagegedwa kwenye godoro kavu halafu unapewa elf 20 wakati ulitumia bodaboda elf 10 ili ufike ukiwa msafi
sasa kwenye elf 20 toa nauli elf 10 .ukitoa tena ya kurudi ni ziro juu ya ziro menina!
Teh mabinti wanakutana na mengi jamani mwee
 
Yap... mwanamume ukihonga au kuumpa mwanamke pesa au vitu,hata mwenyewe tu unajiona ni kidume...
 
Back
Top Bottom