Umeona eeh af anageuka kua keroHahaha.... Alaf ata mapenz nae unakosa
Umeona eeh af anageuka kua keroHahaha.... Alaf ata mapenz nae unakosa
Huyo mke sasa labda ukamtoe vjjn kule ndandan, il uheshmike na kmrembo chako honga honga honga had mwsho mkuuHongeni tu, sisi tunapiga bure tu, tunahonga siku ya kupiga mti ili akanunue sabuni ya kufulia chupi yake basi, lakini eti nimekaa ofisini nainua simu namtumia mwanamke hela laki moja, halaf akipokea laki yangu anapokea tena laki nyingine kutoka kwa jitu lingine, tunapangwa, sio mimi aisee
Nyinyi endeleeni tu na huo upumbavu
Siku nikioa nitakua nikimuonga mke wangu as much as i can, maana huyo atakua akiishi ndani mwangu,
Nyinyi endeleeni tu na hiyo karama
Duh mbona nmekupenda gafla, i wsh nkupate jamnAsante kwa huu uzi, mwenzenu nina maradhi ya kuhonga (hongariasis), yaani nahonga karibia kila siku, wengine siwajui nahonga tu. Kumebarikiwa kuhonga.

I love yuuuuuHa ha haah...wewe HS, usijisahaulishe banaa. Hiyo haiitwi kulipisha aisee. Bali tuliambiwa na wahenga (walee wa Msoga) kuwa ukitaka kula na wewe ukubali kuliwa hata kidogo tu. Nafikiri hii ndio ile Waingeretha wanaiita...win-win situation.

Kiserikali ila sio kimapenzHongo ni rushwa, rushwa ni kosa la jinai
For money mongers labda, si kwa mwenye vision ya maisha. Shida mkiona mabinti watatu au wanne wenye tamaa ya kuhongwa basi huwa mnageneralize wote. Huo sio mtazamo sahihi.Labda wale wa miaka ya 70, sio hawa wa simu za tachi. Nakwambia ukimpa vyote hivyo, halafu mchezo wa kitandani ukaujua, hata kuolewa hatataka atabaki na wewe tu ingawa wewe ni mume wa mtu, atakuja shtuka ana miaka 48.
Daaah!!! Hao wakukopwa ndo size na halali yangu dear!!....umeniokoa kwa kunipa idea hiyo!!......You saved me!!!....please,please,please nionyeshe mmoja na rohoo yangu itapona!!!Hahhaha wewe unadhani wote humu wanahongwa? Kuna wengine humu wana nyota za kukopwa kuhongwa wanakusikia tu kwa shostiz wao. Uoga wako ndo umaskini wako
Mwanaume wa shoka ndo ww sasaYap... mwanamume ukihonga au kuumpa mwanamke pesa au vitu,hata mwenyewe tu unajiona ni kidume...
Hahaha unataka nikusaidie na kukuonyesha tena mpendwa? Ok usijali, kuwa tu mvumilivu kwanzaDaaah!!! Hao wakukopwa ndo size na halali yangu dear!!....umeniokoa kwa kunipa idea hiyo!!......You saved me!!!....please,please,please nionyeshe mmoja na rohoo yangu itapona!!!
Wewe ni shahidi kuwa bila kuhonga hakuna penzi,tazama tena huu uzi kila mahali wadada wanasifia hongo!..... Mimi nitakuwa mgeni wa nani jamani!!?

Kama yupo kwenye huu uzi naomba nitajie herufi moja ya jina lake la mwanzo halafu mimi nitajiongeza katika kumgundua ni nani dear!Hahaha unataka nikusaidie na kukuonyesha tena mpendwa? Ok usijali, kuwa tu mvumilivu kwanza

Teh wa kwenye uzi huu wameshawahiwa wote. wewe subiri tuKama yupo kwenye huu uzi nitajie herufi moja ya jina lake la mwanzo halafu mimi nitajiongeza katika kumgundua ni nani dear!![]()
Wameshahongwa wote????!Teh wa kwenye uzi huu wameshawahiwa wote. wewe subiri tu
HahahhahWameshahongwa wote????!![]()
Lengo letu ni kwamba wote wabadilike wawe kama wewe.For money mongers labda, si kwa mwenye vision ya maisha. Shida mkiona mabinti watatu au wanne wenye tamaa ya kuhongwa basi huwa mnageneralize wote. Huo sio mtazamo sahihi.
Muanze kubadilika nyie wahongaji, kataeni kuhonga mtangaze bartering,unakuwa ni mwendo wa ku exchange services. Lakini kwa kuwa wenyewe mnapenda kuhonga basi na wenyewe lazima wapende kuhongwa.Lengo letu ni kwamba wote wabadilike wawe kama wewe.
HahahaKiserikali ila sio kimapenz
I love yuuuuu![]()
![]()