Heaven Sent
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 32,717
- 98,375
Hahaha mbona me nikipewa ndo nakuwa mjeuri sasa?yaani heshima na adabu zake zinashika hatamu.
Hahaha mbona me nikipewa ndo nakuwa mjeuri sasa?yaani heshima na adabu zake zinashika hatamu.
tena raha sana, wasijisahau kabisaaa warudi kwenye misingi.vitu vingine ni natural jaman msiache kabisa kutupia kidogo vina raha yake!
Yani unauliza na kujipa majibu hapohapo!
we kila kitu huwa unakwenda vice versa hivyo hata sikushangai, teh teh teh!!Hahaha mbona me nikipewa ndo nakuwa mjeuri sasa?
teh teh tehTUMIA LUGHA TOFAUTI BASI, SEMA KUMHUDUMIA, UKISHASEMA KUHONGA UNAHARIBU, HONGO INA MAANA MBAYA.
Hahaha kwa kweli kumbe bora wasinipe tu ili niwaheshimu hata kidogo tehwe kila kitu huwa unakwenda vice versa hivyo hata sikushangai, teh teh teh!!
Khaa jamani kwa hiyo wewe unahisi huwezi kupendwa kabisa, bali unaonewa tu huruma? Unadhani kila mwanaume anayependwa ni anahonga?
Daah mapenzi ya huruma me mwenyewe siyawezi. Sijui tumuitie nshomile wa kisukuma ampe darsa la ubazazi kidogo. Maana yule akihonga sana ni mihogo, ila yeye na mabinti dam damndio maana nilimuuliza ana plan ya kuwa masikini hadi lini? maana kajikatia tamaa mpaka kafikia hatua ya kubakiwa na huruma tu!! thats too bad.
ukipauka tena usirudi kuomba hela ya mafuta, shauri zako.Hahaha kwa kweli kumbe bora wasinipe tu ili niwaheshimu hata kidogo teh
Teh nisipokuomba wewe nimuombe nani sasa?ukipauka tena usirudi kuomba hela ya mafuta, shauri zako.
Daah mapenzi ya huruma me mwenyewe siyawezi. Sijui tumuitie nshomile wa kisukuma ampe darsa la ubazazi kidogo. Maana yule akihonga sana ni mihogo, ila yeye na mabinti dam dam
Wewe ni shahidi kuwa bila kuhonga hakuna penzi,tazama tena huu uzi kila mahali wadada wanasifia hongo!..... Mimi nitakuwa mgeni wa nani jamani!!?Khaa jamani kwa hiyo wewe unahisi huwezi kupendwa kabisa, bali unaonewa tu huruma? Unadhani kila mwanaume anayependwa ni anahonga?
Teh nisipokuomba wewe nimuombe nani sasa?
Kumbe umewasoma Eeeh. Yani ukiwajulia wale hupati stress hakyanani unaenjoy tuchi ndio hapo chacha!! wale wanaojifanyaga hawahongi ndio wahongaji wazuriii, tena waweza kuta anahonga na hela haifuatwi(you know wht i mean?)
Wewe ni shahidi kuwa bila kuhonga hakuna penzi,tazama tena huu uzi kila mahali wadada wanasifia hongo!..... Mimi nitakuwa mgeni wa nani jamani!!?
Hahhaha wewe unadhani wote humu wanahongwa? Kuna wengine humu wana nyota za kukopwa kuhongwa wanakusikia tu kwa shostiz wao. Uoga wako ndo umaskini wakoWewe ni shahidi kuwa bila kuhonga hakuna penzi,tazama tena huu uzi kila mahali wadada wanasifia hongo!..... Mimi nitakuwa mgeni wa nani jamani!!?
Hahaha ntameremetajeeeesasa mama umepewa ukajitia kiburi eti ndio unakuwa jeuri ili usipewe, alafu uje tena kunisumbua!! walah nakununulia dumu la korie.
Kumbe umewasoma Eeeh. Yani ukiwajulia wale hupati stress hakyanani unaenjoy tu
Hahaha wewe usitoe siri bana, wasije wakaghairi bure, tutakufa njaa mjini hapa uwiiikila mwanaume huwa anajifanya haongi, ila kumbuka kila mjanja ana mjanja wale, unaweza kuta kakamatika analisha ukoo mzima.
Hongeni tu, sisi tunapiga bure tu, tunahonga siku ya kupiga mti ili akanunue sabuni ya kufulia chupi yake basi, lakini eti nimekaa ofisini nainua simu namtumia mwanamke hela laki moja, halaf akipokea laki yangu anapokea tena laki nyingine kutoka kwa jitu lingine, tunapangwa, sio mimi aisee1. KUHONGA HUBORESHA MAPENZI:
Fahamu kuwa unapomhonga mpenzi wako unamfanya ajihisi kama ni wapekee kwako, atajiona kama ni mmoja wapo kati ya watu wenye thamani kwako na huamini kama kweli upo karibu yake na unamjali.
Hali hii humfanya yeye kushindwa kutolipa mazuri kwako.
Wengi kabla ya kuomba papuchi hutanguliza hongo kwanza, si lazima iwe pesa hata hongo ya sifa za uongo na ukweli.
Kwa kuhonga kwako inamlazimu na yeye kulipa fadhila kwa kuonesha upendo wa dhati na utamfanya azidishe mapenzi kwako.
![]()
2. KUHONGA KUNAJENGA SANA KUMBUKUMBU KATIKA MAPENZI:
Fahamu kuwa unapomhonga mpenzi wako inakusaidia wewe kujijenga katika mawazo yake na endapo kama itatokea mkaachana nae basi pindi mpenzi wako atakapokuwa anaziona zawadi zako zitamfanya akukumbuke kwa mengi na atahisi kama kuachana na wewe kwake kuna tofauti na atajihisi kupoteza vingi toka kwako na kamwe kumbukumbu yako kwake haitofutika kila anapoona vitu ulivyomhonga.
Jitahidi sana unapohonga usihonge pesa tu, honga vitu vya kudumu maana huwa asset yako ya baadaye, pindi unapotokea mkwaruzano baina yenu.
Pesa huwa ni hongo inayovutia kwa muda mfupi na husaidia kupata kile unachokitaka kwa muda mfupi, ila jua atazitumia zitaisha utakuwa hujajenga misingi imara ya mapenzi.
Simaanishi kuwa usimpe mpenzi wako hela, hapana ila inabidi ufahamu kuwa pesa hutumika katika kukidhi mahitaji na sio katika kuboresha mapenzi.
Aisee jifunzeni kuhonga mpunguze stress za mapenzi.