Hahhaha wewe unadhani wote humu wanahongwa? Kuna wengine humu wana nyota za kukopwa kuhongwa wanakusikia tu kwa shostiz wao. Uoga wako ndo umaskini wako
Duuuh! hapa kazi ipokweli kabisa hakuna hela tamu kama ya mwanaume nasema hakuna yaani mwanaume anaetoa hela anaujaza moyo hata ukijamba unasikia harufu yake.
yaani wanaume msioonga jipeni moyo tu ila mjue mnakera kama tume ya uchaguzi
Hahaha wewe usitoe siri bana, wasije wakaghairi bure, tutakufa njaa mjini hapa uwiii
Leo sijui tumeamkia upande gani, tunaelewana tu. Actually karibu kila mtu anapenda kuhudumiwa + heshima iwepo palepale. (Maana mwingine akikuhudumia ndo anataka akikohoa tu wewe ushapiga magoti Mfyuuuu).kiuhalisia wote hatuhongwi ila tunatamani sanaaa tungekuwa tunahongwa, hivyo nae aache kulia lia atafute japo kidogo hicho hicho kitawatosha.
Hahha wabarikiwe hadi washangae jamani mweehahahaaaaa! naomba wasisome maana tutaaibika kwakweli, wanatufaa sana hawa viumbe, heko kwa wanaume watoaji na wabarikiwe hadi washangae wazidi kutung'aarisha.
Leo sijui tumeamkia upande gani, tunaelewana tu. Actually kila mtu anapenda kuhudumiwa + heshima iwepo palepale. (Maana mwingine akikuhudumia ndo anataka akikohoa tu wewe ushapiga magoti Mfyuuuu).
Yeah kulia lia hakusaidii kabisa, na wala usikutane na mwanamke ukaanza kutangaza njaa zako. Kila mtu ana shida, ila tunakufa tu kisabuni. Sasa ukinilia sijui nikueleweje
na wote tuseme AIMEEEEEEN!!Hahha wabarikiwe hadi washangae jamani mwee
Chai niliitia juice cola (uhaba wa sugar). Hawa mbona wanajua vizuri, kizazi tu cha mwendokasihata mimi nashangaa!! ile chai ulonipa asubuhi ulitia nini? mwanaume lazima awe MWANAUME heshima atapewa tu, tena watashangaa jinsi tunavyokuwa WANAWAKE ila they must lead maana si ndio vichwa ati, basi wawe VICHWA kweli.
Kumgundua sasa ndio shidaNapenda sana tu kuhongwa hasa nikibaini anaenihonga ananihonga kwa upendo wa dhati na si kwa sababu ya kitu fulani, maana mwengine anakuhonga kwa vile anahitaji kitu fulani kwako so anajaribu kukuweka karibu na akishakipata anapotea. lkn kama anakuhonga kidhati sio shida.
Uwongo ON POINT...mie pesa tu ndio zinanifikisha kileleni.
Hahahaaa pole aisee, au wewe huvutii??sikia tu mkuu acha kabisa ...mimi mwanaume akinihonga yaani sijui nikuambieje sina tu bahati hyo nikimpata naishia kupigwa mizinga
aidha kuacha dudu au kuacha pesa..tehItabidi kua na maamuI magumu katika hilo
teh teh teh
Mku koleo ni koleo tu, hata ukiliita kijiko kikubwa, koleo linabaki koleo tu.
Ha ha ha haaa... Hapa unajipa moyo tu, unaweza kuhonga vyote mwisho wa siku akakuona sio type yake. Mapenzi ni zaidi ya material things.Ukitaka kummaliza honga vyote, Kahela kidogo, na ka asset kidogo kama kajumba vile, vifenicha, ka-TV, Kafriji, Kagari na kahela ka -kumalizia kadegree kake hapo umemaliza, hata akitaka kuolewa na mtu mwingine ni lazima wewe ndiye utakuwa Mshenga.
Labda wale wa miaka ya 70, sio hawa wa simu za tachi. Nakwambia ukimpa vyote hivyo, halafu mchezo wa kitandani ukaujua, hata kuolewa hatataka atabaki na wewe tu ingawa wewe ni mume wa mtu, atakuja shtuka ana miaka 48.Ha ha ha haaa... Hapa unajipa moyo tu, unaweza kuhonga vyote mwisho wa siku akakuona sio type yake. Mapenzi ni zaidi ya material things.
Mi mwenyewe mwanaume asiehonga akuuu naona kaz hata kupokea cm yakeUsipohonga anakimbia mazima.
Unakosa vyote
Hahaha.... Alaf ata mapenz nae unakosaMi mwenyewe mwanaume asiehonga akuuu naona kaz hata kupokea cm yake